Wataalam wa umeme msaada pleas

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,167
Wakuu naomben msaada wenu.

Kuna LUKU 2 zinaandika low supply na zikiandika hivyo zinakata umeme kabisa na mda mwingine unaweza ukawasha na zikakubali na huku zimeandika low supply..

Je hapo tatizo hasa ni nin??
Ni LUKU zenyewe zinamatatizo au kuna luz kwenye nyaya zinazotoka kwenye nguzo?? (input ya LUKU).

Naomba msaada wenu wakuu maana tulisha kwenda ripot tanesco nawanatuzungusha tu.
 
Hapo kutakuwa na tatizo la Oxidation katika maungo ya wire za main na zinazoingia kwako jaribu kuwasiliana na tanesco au kama au tumia mti mkavu kupiga piga kwenye hizo connection.
 
Mara nyingine ni low voltage supply from the source. Ndio maana transformer inakuwa muhimu sana within a certain locality ili kuongezea nguvu pale ambapo umeme unaletwa kidogo au losses zinakuwa kubwa kwasababu ya poor distribution system zetu
 
Aliyekudanganya hizi Transformer huwa zinaongeza nguvu ya umeme ni nani? Transformer zote ambazo hufungwa kabla ya watumiaji wadogo wa umeme ni kwa ajili ya kupunguza umeme kutoka High Voltage kwenda Low voltage kwa domestic use i.e 415v
 
Hapo kutakuwa na tatizo la Oxidation katika maungo ya wire za main na zinazoingia kwako jaribu kuwasiliana na tanesco au kama au tumia mti mkavu kupiga piga kwenye hizo connection.

hapo sasa nimekusoma mkuu nilikuwa sina uhakika na kile nilichokuwa nakifikiri.

Tatizo ukiwasiliana na tanesco wapo slow sana kutuhudumia wateja.
 
Mara nyingine ni low voltage supply from the source. Ndio maana transformer inakuwa muhimu sana within a certain locality ili kuongezea nguvu pale ambapo umeme unaletwa kidogo au losses zinakuwa kubwa kwasababu ya poor distribution system zetu

mkuu sio low voltage kwani hiyo low voltage iwe LUKU yetu tuu na huku kunawengine wanachukia hapo na wanadunda kama kawa??.

Hapo ni loose au oxidation kwenye maungio kama alivyo dadavua mkuu hapo juu.
 
Back
Top Bottom