Wataalam wa TV Broadcasting; MAWAZO YENU TAFADHALI.

Nina wazo la kuanzisha kituo kidogo cha kurusha free to air TV katika mkoa fulani, vifaa vya production vingi ninavyo; tatizo nililonalo ni kwenye upande wa transmission;
1. Ni transmitter gani ya analogi ambayo naweza kuitumia kurusha kwenye radius ya 30-70 km, na ni wapi naweza kupata kwa berahisi?
2. Ni vifaa gani vingine vinavyohtajika katika transmission?
3. Kuna sheria yoyote inayonibana ktk kujenga transmission tower kwenye eneo la makazi?

Tafadhali izingatiwe kuwa bajeti yangu ni ndogo, wastani wa M4-7 kwa upande wa transmitter, na ninaweza kuafford kiasi flani kwa mtaalam kufanya setup, kama nitafanikiwa.

Natanguliza shukrani.
Mi naomba ajira ya kurusha matangazo mkuu.ila vyeti vya hiyo kitu sina.
 
Back
Top Bottom