Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,289
- 781
Wakuu, nina pc zangu kadhaa (3 to be specific!) zilikuwa zinashare broadband internet (on a wired LAN), pc ya chumbani nilikuwa natumia kama "server" kugawia net study room na living. Mwanzo connection ilipiga kazi flawlessly!..hv karibuni connection yangu ilipotea (tatizo la miundombinu ya ISP), walivyokuja kurekebisha waya zao, connection yangu inakubali kwenye pc ya chumbani tu!! na inaonesha error "Limited or no connectivity", nyingine zinaoesha error kama hiyo na hazipati internet kabisa!
Nimejaribu mbinu kibao, Registry Fix, Static IP, Renew IP, lakini wapi!
Nimebaki na maumivu tu wakuuu, hebu nijuzeni mbinu zaidi tafadhali!
Asenti!
Nimejaribu mbinu kibao, Registry Fix, Static IP, Renew IP, lakini wapi!
Nimebaki na maumivu tu wakuuu, hebu nijuzeni mbinu zaidi tafadhali!
Asenti!