Wataalam wa mpira (football) nisaidieni

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
502
938
Wanajf, nisaidieni!!

Hivi ikitokea katikati ya mchezo, iwe ni football, netball, basketball etc mchezaji au mwamuzi (referee akabanwa na haja (iwe ni haja kubwa au haja ndogo)... Je, anaweza kuomba ruhusa ili atoke nje ya uwanja (pitch) kwa ajili ya kujisitiri?


Na kama ni mwamuzi, je anaweza kusimamisha mpira ili aweze kwenda kujisitiri?
 
Kwanijuavyo mimi jibu ni NDIO anaweza,hata mchezaji anaweza pia kuomba ruhusa kwa refa,japo hii ni nadra sana kutokea.
 
swali jepesi sana hilo kwa yule Refa KIPUNJE wa Mwananyamala,
 
anawezq kiomba ruksa. niliwahi kuona epl mech kati ya Southampton na everton Jason Puncheon alibanwa na haja kubwa. alienda toilet fasta katikati ya mech ila alivorudi mashabik waliimba nyimbo za kumtania
 
anawezq kiomba ruksa. niliwahi kuona epl mech kati ya Southampton na everton Jason Puncheon alibanwa na haja kubwa. alienda toilet fasta katikati ya mech ila alivorudi mashabik waliimba nyimbo za kumtania
ha haaaaa.......................
 
Mkuu inawezekana na ni kawaida sana, huwa inatokea refer au msaidizi wake akajeruhiwa, mchezo ubasimama na hatua stahiki inachukuliwa! hata kwa mchezaji husika! Kama ulifuatilia, fainali ya UEFA kati ya MAN U na CHELSEA, Russia, baridi ilikuwa kali sana, kiasi refa alikuwa akisimamisha mchezo mara kwa mara! Na pia Brazil ktk WC, joto lilikuwa kali sana, na kwenyewe refa alikuwa akisimamisha mchezo kwa ajili ya kunywa ama kujimwagia maji mwilini! Ni kawaida, ni kama kondom kupasuka ktkt ya game!
 
Back
Top Bottom