Wataalam wa magari tusaidiane hapa.

Kitty Galore

JF-Expert Member
May 24, 2011
345
100
Ningependa kujulishwa nini tofauti ya Rav4 GX, Rav4 VX, Rav4 L, Rav4 J na mengine mengi ya kitaalam kuhusu hili gari aina ya RAV4. Na pia kuhusu VW Polo na VW Golf upatikanaji wake wa spare hapa bongo.
Heshima zenu sana wakuu
 
RAV4 TX, GX, J, L, Base, ni ile ile ila options za gari hiyo ndo zinaweza kuwa tofauti kulingana na class yake. VW POLO VW GOLF zinatofautiana japo zote ni brand moja. lakini spare zake si nyingi japo haziharibu spea mara kwa mara na ikiharibu mkuu ni gharama kubwa kuirepair au kununua parts mpya. ila ukiwa unaipenda just go for it.
 
Vp mbona kimya hamna anaetoa ushauri kwa mwanajamii huuyu? Naamini wengi wa members humu Jamvini wanamiliki haya magari, je ndo kusema hata wao hawayafahamu magari yao? Come on guys huyu jamaa inaelekea anataka kuvuta RaV 4.
 
uko sawa kabisa mkuu, nina choice ya Rav4 na VW lakini aina za hizi Rav4 ndio zinanichanganya, watu wengi wana haya magari lakini inaonekana hata wao kweli hawayafahamu
 
RAV4 TX, GX, J, L, Base, ni ile ile ila options za gari hiyo ndo zinaweza kuwa tofauti kulingana na class yake. VW POLO VW GOLF zinatofautiana japo zote ni brand moja. lakini spare zake si nyingi japo haziharibu spea mara kwa mara na ikiharibu mkuu ni gharama kubwa kuirepair au kununua parts mpya. ila ukiwa unaipenda just go for it.

asante sana mkuu kwa msaada wako, ningependa kuelewa hizo options ndio zipi
 
asante sana mkuu kwa msaada wako, ningependa kuelewa hizo options ndio zipi

options ni kama unakuta gari nyingine ina dvd au navigator au keyless entry au smart entry nk. lakini cha muhimu zaidi ni kujua ina engine aina ipi. kuna VVTI D4 au kwa zile model za kuanzia mwaka 94 hadi 99 unakuta zina engine za DOHC. Pia uzito wa injini unatofautiana. 1.8, 2.0 na kwa model za kuanzia 2005 ni 2.4 hadi 3.0. ni chaguo lako mkuu. sijui kama umenielewa vizuri lakini. base ni ile haina makolokolo mengi. kwa jina jingine ni standard.
 
Back
Top Bottom