Wataalam wa lugha msaidie babu yenu.

Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,321
Wajukuuuuuuu zangu hamjambo? nisaidie babu yenu sina nguvu za kutoka kitandani,uzee umeninyemelea na sina mtoto wa kumtuma kwa Samir pale interneti,ni kwamba watoto wangu wote wanaishi libya na ktk misuko suko ya juzi wanataka kukimbilia Marekani, sasa wamepewa interview na ubalozi na wasubmit ndani ya siku mbili na wanaogopa soo kumshirikisha jirani yeyote isipokuwa MIMI. Swali la 8 limeuliza waweke kwa kiingereza kauli hii "BABA MI NI MTOTO WA NGAPI KUZALIWA" swali la 9. TOFAUTI YA QUIETE NA QUITE NA QUIT.Naomba jibu wajukuu zangu ili wanangu walame visa jamani. Nasubiri jibu, tafadhali kama ujui swali la kwanza usijibu lolote, usijaribu jaribu, hamna nusu maksi!
 
Kiinglishi hicho jamani mlojaaliwa kukiweza, msaidieni Babu! Mi nimepita tu si mkaaji hapa.
 
(a)'YOUR FATHER IS HOLDING WHICH PLACE IN THE SEQUENCE OF BIRTH FROM HIS MOTHER OR YOUR GRAND MOTHER' (b)QUIET=hali ya ukimya au utulivu,QUITE=hali ya ukamilifu au uhakika au kutokuwa na shaka kabisa,QUIT=kitendo cha kuacha au kuachana na kitu fulani.
 
Ina maana hiyo interview wamepewa kwa kiswahili siyo?
Nakumbuka kuna kipindi niliwahi kupost swali kama hilo hapa na nilipata jibu kuwa Ni 'which sibling are you among your brothers/sisters?' na jibu huwa I am a first/second...../last born.
 
Siblings simply means bloody relatives,haielezei wewe ni wangapi kuzaliwa.
 
teh teh teh

jamani jamani kina kayumba hapo juu,

Kiingereza wito, waachieni wenye wito wao wajibu........

lol
 
wewe nae vipii?? unaomba msaada alafu unaanza kuzungumza masuala ya marks hapa. Husaidiki........
Wajukuuuuuuu zangu hamjambo? nisaidie babu yenu sina nguvu za kutoka kitandani,uzee umeninyemelea na sina mtoto wa kumtuma kwa Samir pale interneti,ni kwamba watoto wangu wote wanaishi libya na ktk misuko suko ya juzi wanataka kukimbilia Marekani, sasa wamepewa interview na ubalozi na wasubmit ndani ya siku mbili na wanaogopa soo kumshirikisha jirani yeyote isipokuwa MIMI. Swali la 8 limeuliza waweke kwa kiingereza kauli hii "BABA MI NI MTOTO WA NGAPI KUZALIWA" swali la 9. TOFAUTI YA QUIETE NA QUITE NA QUIT.Naomba jibu wajukuu zangu ili wanangu walame visa jamani. Nasubiri jibu, tafadhali kama ujui swali la kwanza usijibu lolote, usijaribu jaribu, hamna nusu maksi!
 
Mkuu,majibu yamekataliwa: a) umetumia maneno ya 'your" "chako" ,hold "beba au chukua ,place sehemu ,grandmoter bibi nk eti wasahihishaji wamesema kwenye sentensi yao hawajatamka maneno hayo ila wanataka tafsiri ya maneno na si kukalimani.
b) Hapa hajataka maana, eti wanata tofauti yake tu.Nisaidie mjukuu! tukipata ntakuita tusherehekee pamoja.
 
Maria maria maria,umesema rip au ripe. unanichanganya maria. Maria ebu hongeza 'e' ili nikuelewe maria.
 
wameniambia eti wewe umesema "BABA,NAFASI GANI NIPO KATIKA MFUATANO WA KUZALIWA KWENYE FAMILIA YETU?". Eti kwa fasihi uko sahihi ila kwa tafsiri sisisi umebaldilisha maneno,kwangu bado naona ugumu.
 
Back
Top Bottom