Wataalam nauliza site za kudownload music freely

charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,320
1,369
Habari wakuu,

Nafahamu fika jamvi lina watu na ujuzi mbalimbali.Ninaomba msaada kwa yeyote anaejua website zipi naweza kupata access ya ku download miziki tofauti tofauti freely.
 
yu can instal torrent in ya comp from there unaweza kudownload ma clips ma mp3 ya kufa mtu from all ove da world
 
Site zipo nyingi tatizo ni je unataka miziki gani? wadau wamekupa hizo site ni nzuri sana ila cha muhimu ni kugoogle wimbo unao utaka kisha angalia upo site gani kisha shusha mzigo
 
Wataalamu pia na mimi naomba site ya kupata nyimbo za Gospel

Sijui kama ulikuwa unatambua hili au la!
Ukiandika wimbo wa dini kwenye Google zitakuja site nyingi zinazo kupo access za kudownload free na kulipia kupitia hizo site pia na nyingine ambazo walio tangulia wameziorodhesha zitakusaidia mkuu.
Vile vile hata 'cool swahili bible' kama ukizita zipo huko.
 
Zolong 1,Sinziga,Ivunga,Chelenje,Paulss,Majimshindo,Kilimasera na X-not heshima kwenu kwa kuniongezea elimu.
 
Back
Top Bottom