Wataalam naombeni kujua madhara na faida(kama zipo) ya matumizi ya Konyagi

John L. Mihambo

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
526
174
Nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakitamba kuwa wamepona Malaria, Typhoid na magonjwa yote yanayo husiana na tumbo baada ya kutumia kinywaji cha KONYAGI.
Naomba wataalam mseme neno juu ya hili, na ikiwezekana mtoe na takwimu za tafiti mbalimbali zilizo fanyika!
Ahsanteni

JM
 
halafu wengine wanasema inaongeza perfomance kunako sita kwa sita!!!!
 
Back
Top Bottom