Waswisi wakataa ujenzi wa minara ya misikiti

Nakubaliana nawe kabisa lakini hawa Wasaudi bado wako nyuma sana katika freedom of religion na katika nyanja nyingi nyinginezo. Kama marafiki zao wakubwa US na jumuiya ya kimataifa wakiamua kuwashinikiza ili nao waruhusu freedom of religion na katika nyanja nyingine basi watakuwa hawana jinsi bali kukubali shinikizo hilo na kuleta mabadiliko makubwa katika nchi hiyo na nchi nyingine za kiarabu.

BAK
Mchango wako umetulia sana.Inashangaza sana kuwa inapotokea nchi fulani wakataka kutunza utamaduni wao basi watalaaniwa kwa nguvu zote.Hapo hapo kuna nchi zinasifika sana kwa kukandamiza uhuru wa religion tena to the extreme, wale wenye kulilia freedom of religion huoni wakipiga kelele kwa nguvu ile ile.Ni kwanini kuwe na double standards?Mimi bado silalamiki kwanini SAUDIA wanachukia dini za wengine namna ile maana naamini ni ile hali ya kudumisha utamaduni wao ikiwa ni pamoja na dini yao.Nchi nyingine nazo ziheshimiwe kwa kutaka kudumisha tamaduni zao.Binafsi naheshimu kila dini na sipendi ukandamizwaji wa dini yoyote... ila napenda pia hali ya kuwa na tolerance kwa kuheshimu matakwa ya wenye nchi zao.
 
Tatizo hapo nyinyi mnadhani kwamba uislam ulioko uswis ni waarabu fulani, wahindi and the like..hapo ndipo mnapochemsha...

Pale uswis kuna indegenous waswis whites waislamu hao waende wapi wakitaka kusali..hawa waswis kitu wanachofanya siyo sustainable...na ni short run
poleni waislamu wa uswis but never give up.
 
kura imefanyika wakati kwenye tv kila siku ni habari za
taliban na mauaji yanayotokea pakistan na afghanistan.
aidha kura hii imefanyika wakati waswiss wana bifu kali
na ghadafi. naamini vyote hivi vimechangia katika
matokea ya kura hii.
 
BAK
Mchango wako umetulia sana.Inashangaza sana kuwa inapotokea nchi fulani wakataka kutunza utamaduni wao basi watalaaniwa kwa nguvu zote.Hapo hapo kuna nchi zinasifika sana kwa kukandamiza uhuru wa religion tena to the extreme, wale wenye kulilia freedom of religion huoni wakipiga kelele kwa nguvu ile ile.Ni kwanini kuwe na double standards?Mimi bado silalamiki kwanini SAUDIA wanachukia dini za wengine namna ile maana naamini ni ile hali ya kudumisha utamaduni wao ikiwa ni pamoja na dini yao.Nchi nyingine nazo ziheshimiwe kwa kutaka kudumisha tamaduni zao.Binafsi naheshimu kila dini na sipendi ukandamizwaji wa dini yoyote... ila napenda pia hali ya kuwa na tolerance kwa kuheshimu matakwa ya wenye nchi zao.

Ndiyo hivyo J, Kama kuvumiliana katika mambo ya kuabudu basi ziko nchi nyingi tu ambazo nazo zinstahili kushinikizwa. Hawa viongozi wa dini wa Indonesia na Misri (The Vatican joined Muslim figureheads from Indonesia and Egypt, as well as Switzerland, in denouncing the vote as a blow to religious freedom.) wamekuwa mstari wa mbele kukashifu matokeo ya referendum hiyo lakini kamwe hautawasikia kuzishinikiza baadhi ya nchi za kiarabu ambazo uvumilivu wa kuabudu haupo kabisa. Mimi ikija kwenye kuabudu naamini kabisa kwamba binadamu inabidi tuvumiliane na kuheshimiana lakini ni undumila kuwili kunyooshea kidole kosa moja wakati huo huo kulinyamazia kosa lingine.

Engineer, nakumbuka ile kesi huko Saudi Arabia njemba ya miaka 63 ilikuwa na mke au mchumba mwenye miaka mitano mpaka jumuiya ya kimataifa ilipopigia kelele ushenzi huo ndiyo huyo baba akaamua kumuacha mtoto huyo. Mpaka leo wanawake hawaruhusiwi kuendesha magari na juzi juzi nadhani ndio wamepata University ya kwanza ambapo jinsia zote zina haki ya kusoma hapo.

Tumain,

YOU TALK TOO MUCH.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=X3Kzbo7tNLg&feature=fvw[/ame]
 
AFP Switzerland:

To the dismay of the Muslim minority here, some 57.5 percent of the population and 22 out of 26 cantons voted to ban the towers or turrets attached on mosques from where Muslims are called to prayer.

Far-right politicians across Europe celebrated the results, while the Swiss government sought to assure the Muslim minority that a ban on minarets was "not a rejection of the Muslim community, religion or culture."
The Swiss People's Party (SVP) -- Switzerland's biggest party -- had forced a referendum after collecting a mandatory 100,000 signatures from eligible voters within 18 months.
They said that the minarets -- of which Switzerland has just four -- were not architectural features with religious characteristics, but symbolised a "political-religious claim to power, which challenges fundamental rights."
Having won a double majority -- both in terms of cantons and absolute numbers -- from the 53 percent of the population who turned up to vote, the initiative will now be inscribed in the country's constitution.
"The Federal Council (government) respects this decision. Consequently the construction of new minarets in Switzerland is no longer permitted," said the government, which had firmly opposed the ban, in a statement.
Justice Minister Eveline Widmer-Schlumpf said the result "reflects fears among the population of Islamic fundamentalist tendencies."
"These concerns have to be taken seriously... However, the Federal Council takes the view that a ban on the construction of new minarets is not a feasible means of countering extremist tendencies," she stressed.
She also sought to reassure the Muslim population, saying: "It is not a rejection of the Muslim community, religion or culture. Of that, the Federal Council gives its assurance."
But for the 400,000-strong Muslim community here, comprised mainly of ex-Yugoslav and Turkish migrants, the harm has been done.
"The most painful for us is not the minaret ban, but the symbol sent by this vote. Muslims do not feel accepted as a religious community," said Farhad Afshar, who heads the Coordination of Islamic Organisations in Switzerland.
The Conference of Swiss Bishops also criticised the result, saying that it "heightens the problems of cohabitation between religions and cultures."
Young people carrying candles and cardboard minarets led a mock funerary procession in the federal capital Bern, carrying a banner reading "This is not my Switzerland," the ATS news agency reported.
In Zurich's central Helvetia Platz demonstrators erected around 12 mini-minarets made out of recycled objects, ATS said, with a total of a few hundred people protesting in the two cities.
Amnesty International said the minaret ban is a "violation of religious freedom, incompatible with the conventions signed by Switzerland."
The Swiss Green party said it was contemplating lodging a complaint to the European Court of Human Rights in Strasbourg for violation of religious freedoms as guaranteed by the European Convention on Human Rights.
In Morocco, a parliamentarian from the Justice and Development Islamist Party expressed surprise.
"I think that Muslims in Switzerland, and those who live in the European Union, have a lot of work to do in communication to show their real face of tolerance and cohabitation of Islam," said Saad Eddine Othmani.
French far-right politician Marine Le Pen welcomed the outcome, saying that the "elites should stop denying the aspirations and fears of the European people, who, without opposing religious freedom, reject ostentatious signs that political-religious Muslim groups want to impose."
Meanwhile, SVP Vice-President Yvan Perrin cheered the fact that his party had won the vote "without difficulty."
He told Radio Suisse Romande that Swiss companies should not worry about suffering from a possible backlash from Muslim countries.
"If our companies continue to make good quality products, they have nothing to worry about," he said.

watu weupe wanaoogopa Dini ya kweli si unajuwa hata kama hiyo minara wamekataa lakini Dini ya Mwenyeezi mungu na jina lake litakuwa mbele mpaka mwisho wa dunia wanaogopa Dini ya haki na Haki ni ya Mungu

9.Surat At-Tawba 32. Wanataka kuizima Nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao, na Mwenyezi Mungu anakataa ila aitimize Nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia. 32

33. Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ipate kushinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia.
 
Sikonge,
We have the freedom to talk..najua wewe na slaa hampendi lakini ndiyo too late..
 
Waswizi na maadili wapi na wapi! mihela inakupuliwa kutoka nchi maskini inafichwa kwao kama kweli watu maadili wange force referendum ya kupiga marufuku uwekezaji wa mapesa ya wizi.

Lakini kama alivyo nukuu msema kabla, wanataka kufunika nuru ya M/mungu kwa vinywa vyao... hawataweza kwani dini ya kweli haifutwi kwa ma referendum wala miswada ya kibunge.

Ni ujinga wa mchana na utawa gharimu sana wezi wakubwa
 
Tatizo hapo nyinyi mnadhani kwamba uislam ulioko uswis ni waarabu fulani, wahindi and the like..hapo ndipo mnapochemsha...

Pale uswis kuna indegenous waswis whites waislamu hao waende wapi wakitaka kusali..hawa waswis kitu wanachofanya siyo sustainable...na ni short run
poleni waislamu wa uswis but never give up.

Tumain,

Hii habari umeifuatilia vizuri au unakurupuka?

Je, unaelewa kwamba kilichokatazwa ni minarets na sio misikiti? Je unaelewa kwamba misikiti inaendelea kujengwa, ilmuradi kusiwe na minarets tu?

Jaribu kufuatilia habari kabla ya kuchangia.

Halafu, bora hata hao waswizi wanaruhusu misikiti minus minarets, huko Saudi ukishikwa unasali kikristo ni kosa la jinai, makanisa hayaruhusiwi.

Sasa mbona hawa huwaambii kwamba kuna wasaudi wengine natural born ni wakristo, na wanahitaji uhuru wa kuabudu?
 
Wasaud kama wanafanya hivyo wabanwe kisawasa...waache watu waabudu wapendavyo...
misikiti ni totality sio onaondoa sehemu ya msikiti (minarets)..wakiendekezwa wataleta another innovation..hata kufikia sasa kusali mara mbili inatosha..gosh waache watu na dini zetu..wao kama hawana habari na Muumba...wakeshe kwenye pombe who care?
 
Wabane basi wasaud, mbona naona unawashikia bango wa swiss tu?

Msikiti si lazima minara, kuna watu wanasali kwenye ma garage.

Serikali ya mji wa Chicago ilipitisha sheria kukataza ma dish nje ya nyumba kwa kuwa yalikuwa unsightly, kwa hiyo waacheni waswiss waamue swiss iweje.

Kwangu hata wakiamua kupiga marufuku misikiti na makanisa poa tu, kama unapenda sana misikiti na makanisa utatafuta yalipo.
 
Sijaona anayelalamika kwamba anataka kujenga kanisa akazuliwa kufanya hivyo..of course ikitokea huko tutakuwa pamoja na wanaowabana!

Misikiti ni lazima minara, serikali haitakiwa kuingilia namna misikiti inatakiwa iwe..hilo liko ndani ya mamlaka ya waumini na taratibu za ibada yao.

kwako wewe kupigwa marufuku miskiti/makanisa..ni sawa ok...endelee na msimamo wako...lakini kwangu ni BIG concern..lazima nisali mara tano na ntashukuru kama minara itarudishwa waumini wa uswis waabudu wewe nenda unakopenda
 
Wewe sali mara tano, lakini ukiwa unasali mara tano kaa ukijua kuna watu wanafanya kazi na kukuwezesha wewe kusali mara tano.

Dini ni kupoteza muda na resources for the most part.
 
Hunishindi kwa kazi hata kidogo, nikimaliza kusali dk 10 x5=50min per day nafanya kazi zangu kwa ajili ya dunia na watu wake...

sina muda ya kupoteza kwenye pombe wala bar..nachapa kazi

wewe huwezi shindanana na mcha mungu...
 
Of course siwezi kushindana na mcha mungu, wakati yeye anasali mimi ninafanya kazi, na si kweli kwamba kila mtu asiyeamini mungu ni mtu wa bar na pombe.

Habari nzima ya kuamini mungu ni fix tupu, ndio maana watu waliochunguza vitu makanisa ni sehemu za wazee kwenda kufarijiana tu, na hata hao wazee wenyewe wanajua deal, wamebakisha tradition tu.

Ni huku Afrika, South America na Asia tu ndiko watu bado wako stone age katika swala hili.
 
kwamba habari ya mungu ni fix..wewe wasema?...

kwahiyo hata kama husali tuko sawa kwa kufanya kazi na matokeo ya kazi vilevile tuko sawa ila mimi nimekushinda na kitu kimoja mimi nasali (pleasing my creator) wewe huko una sifuri...
 
Sijaona anayelalamika kwamba anataka kujenga kanisa akazuliwa kufanya hivyo..of course ikitokea huko tutakuwa pamoja na wanaowabana!

Misikiti ni lazima minara, serikali haitakiwa kuingilia namna misikiti inatakiwa iwe..hilo liko ndani ya mamlaka ya waumini na taratibu za ibada yao.

kwako wewe kupigwa marufuku miskiti/makanisa..ni sawa ok...endelee na msimamo wako...lakini kwangu ni BIG concern..lazima nisali mara tano na ntashukuru kama minara itarudishwa waumini wa uswis waabudu wewe nenda unakopenda

Ngoja niulize hiyo mirates zipo required na Kuran au ni architecture tu influenced by Arabic culture? Kama kuran hailazimu hiyo minara kuna ulazima iwepo?
 
unafahamu kazi za minara misikitini?

Ndiyo it is meant to call people to worship.But other means of calling people to worship can be utilized. At this day & age you can't tell me the only way tocll people to worship is through a tower. Sasa jibu swali langu. Kuran imesema lazima hiyo minara iwepo?
 
Why dictate waumini for other means?
 
Back
Top Bottom