Waswahili Walisema Ndoa........!???Cheki Hii!

Kama ni mimi,hao ndugu zake kama ni wakike alafu wazuri,weee,chapa wote bakora.then atajifunza tamu na chungu ya kunijazia watu ndani.
 
Huyo dada ni Mtu mwenye Moyo Mwema Na Wa huruma.. Ni Jambo la kujivunia kuwa Na Mke mwenye Mapenzi makubwa this way.. Mimi naona mleta maada anakodolea sana familia ya kaka yake. Mimi namshauri ahangaikie yake..
 
Unadhani kuna malezi gani wanayopata hao watoto hapo? Wakifanya maskhara watoto wataishia kutumwa kupeleka love letters tu



WANAE? Labda kama leba alienda yeye. Udhaifu wake usimnyime mke wala watoto haki ya kuishi pamoja.
 
hizo ndio sifa hasi za kuoa mkoa wa tanga! Jamaa yangu ilimlazimu kutoa talaka. Alipomuoa huyo binti wa kitanga alijikuta anafamilia kubwa ajabu!

Ukiwa na msimamo wala hawaji mkuu, sena sisi wenyewe tunakuwa dhaifu
 
Jaman sio watanga wote jaman.. Hatupo hvyo ni watu na hulka zao. Dah lakini sio haki wanavyofanya
 
Hapo inaonesha kaka'ko ndiye aliyeolewa, ngoma droo. Usiwaingilie maisha yao hata kidogo. Wewe yasikilize ukae kimya, usitie lako. Siri ya mtungi aijuwae kata. Kama dada huna mamlaka na kaka'ko na mkewe.
 
Vitabu vya dini vinatuasa tuwe na Busara nadhani kwamba Mke amekosa busara na kuona kama anakomolewa kwa mumewe kuleta nduguze (ambao wanapaswa kuchukuliwa kama ndugu wa mke pia). Tukumbuke kuwa Kumcha MUNGU ni chanzo cha maarifa.
 
Dada mfundishe kaka yako awafukuze mapema kwa kuwaeleza situation yake kimaisha coz siku zote wa namna hiyo ukiwavumilia wanaendaga kutangaza walikuwa wanateswa na kunyanyaswa.
 
sasa inakuwaje watu 15 huduma zinakuwaje chai lunch maji sabuni huyo dem **** hatakaa aendelee milele anajiona kamkomoa bwanaake kumbe ndo anajicheleweshea maendeleo mwenyewe,mwanaume nae dhaifu tu mi ningetimua woooooooooooooooooooote anzia ndugu zangu ,maana hata mwanamke labda anafanyahivyo ajili anaona mumewe ana nduguze pale
 
Kweli kabisa!

Ushauri wangu awatimue wote warudi kwao kijiji, dada yao akikasirika nae akwende na nduguze, shwaini zao....

The guy should act like a man
Sioni kwa nini akalale kwa majirani
Anatakiwa kuwaonyesha hao ndugu kwamba hakuoa ukoo..
Kitendo cha kuhama mjii ni udhaifu!!
 
Back
Top Bottom