minda
JF-Expert Member
- Oct 2, 2009
- 1,068
- 65
wakati ccm ikiuguza machungu ya sintofahamu ya matokeo ya kura za maoni ndani yake (iringa, dodoma,nk) kwenye kinyang'anyiro cha kampeni uchaguzi 2010 hasa kwa ngazi ya ubunge na udiwani, hali inaonekana kuwa tofauti kwa upande wa chadema kwani mshindi wa kura za maoni kwa jimbo la Segerea ambaye hata hivyo hakupitishwa na chama hicho kugombea (Rachel Mashishanga) ubunge na badala yake akapitishwa aliyeshika nafasi ya pili (Fred Mpendazoe); ameamua kusahau sintofahamu hiyo na kumuunga mkono mpendazoe.
mashishanga ambaye pia ni mwenyekiti wa chadema jimboni humo ameamua kumuunga mkono mpendazoe kwa 100%
katika ufunguzi wa kampeni hivi karibuni, mashishanga akamnadi mpendazoe hivi:
"Ikiwa mahanga, aliyekuwa mbunge wenu kwa miaka kumi hakuwahi kukutana nanyi kujadili vipaumbele vya maendeleo jimboni, nani anafahamu zilikoishia[?], tumewaletea mpambanaji mpendazoe, amueni kumpa fursa ya kuwakomboa."
source: Mwananchi 16 Septemba, 2010.
nota bene: hilo la 'wasukuma' ni title tu; ipuuze!!!
15 novemba 2010
hatimaye makongoro mahanga ameshinda ridhaa ya wananchi wa jimbo la segerea na kuapishwa hivi karibuni.
hata hivyo tunaambiwa mpendazoe tayari ameshakata rufaa mahakamani. lets just wait and see!