Wassira on ITV (kipindi maalum)

Wasira anayo point fulani lakini anashindwa kutetea point yake japokuwa anachanganya na pumba kibao mpaka zinafunika point yake?

Najiuliza maswali haya:
  1. Kama Wasira anasema CDM wanayosema na kutenda ni uhaini iweje mpaka leo wasikamatwe?
  2. Kama CDM wanavunja katiba na sheria kama anavyodai kwanini asiwakamate?
  3. Kama ni wachochozi wanataka kuvunja amani na kuleta vita kwanini wasikamatwe?
  4. Je ni nani atasimamia sheria kama polisi wanakuwepo wakati CDM wanavunja sheria na kuwaacha waendelee kuwa huru mitaani?
My take:
Huyu Wasira amejichanganya mno katika maelezo yake. Anadhani watanzania ni mbumbu kama enzi zileeeeeee! Mwisho wa yote nashawishika kuamini kuwa CDM hawajavunja sheria kwasababu hawa wote wanaojaribu kuwanyamazisha wangekuwa washawapeleka mahakamani!
 
natamani mwalimu (Nyerere) afufuke leo, nadhani kama kale kabakora kake katafanya kazi vile?
 
Unajua mvua wewe malaya!uuuwiiiii haki ya Mungu 2tajitoa muhanga mmetuchosha sana jamani nyie mbwa wewe Wasira umekuwa kiongozi tokea lini?
 
Haya ni matumizi mabaya ya chombo cha habari cha umma kwa kuwa kipindi wamekipachika jina la 'kipindi maalum' lakini wala umaalum wake hauonekani.

Kwanza sijaelewa anaongea kama serikali au mtu wa CCM maana maneno yake mengi anaonekana kushabikia CCM

Pili huwezi kwenda kwenye TV ya uma kushutumu mtu bila hata kutoa evidence ya unayoyaongea na bila hata kumshirikisha huyo unayemshutumu ili ajibu hizo hoja zako,ni matumizi mabaya sana ya madaraka na kama wanafikiri kwa kufanya hivyo watawa-convince wananchi they are very wrong,wananchi wa miaka ile si wananchi wa leo,hawadanganyiki kwa propaganda za kipuuzi kama hizo.Angejibu hoja za Chadema angalao ningemuona wa maana kidogo
 
Anasema 'Dr Slaa amekuwa akiongelea suala la ufisadi miaka mingi sana lakini wananchi hawakumchagua' anamaanisha nini? Je wananchi wanapenda ufisadi, kwa kuwa waliichagua ccm badala ya Slaa anayepinga ufisadi?

Ametuthibitishia kuwa ccm ni chama cha kifisadi, ni jambo la kufanyiwa kazi haraka sana.
 
Hivi ni nani huwa anawaalika hawa wabwabwajaji kutumia facility za umma kwa kuongea visivyo na mashiko! Natamani ku......................, any way we are still having a long road to trade on. Tutafika tu
 
Baada ya kuwaona na kuwasikiliza CCM na Serikali nadhani sasa TBC1 wabalance kwa kuwaalika CDM tusikie upande wao
 
guys hayo ni marudio aliyoongea lat week au hamkumuona huyo mwendawazimu maana naona thread kibao zinazungumzia hii old issue!
 
Acha kuwa biased, tulianza kuwasikiliza CDM, CCM na serikali walikuwa wanatoa reaction yao, mbona tumbo joto, wapi nguvu ya kijiko?
 
Back
Top Bottom