Wassira: Nililala kwa kuwa nilikunywa Dawa

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Steven Wasira anasema gazeti la Mwananchi linapenda kuandika habari za uchochezi hasa kwa kumpiga picha akiwa amelala, amesema siku hiyo ni kweli alilala, na sababu ya kulala ni kutokana na kuumwa kwake, maana alikuwa akiumwa mafua ndio maana akasinzia......

Mwananchi
 
Steven waasira anasema gazeti lwa mwananchi linapenda kuandika habari za uchochezi hasa kwa kumpiga picha akiwa amelala,amesema siku hiyo ni kweli alilala,na sababu ya kulala ni kutokana na kuumwa kwake,maana alikuwa akiumwa mafia ndio maana akasinzia......
Sosi:Mwananchi

Sasa kama alikuwa anaumwa kwa nini hakwenda hospitali?? ama kwa nini hakwenda kulala nyumbani badala ya ke akageuza kiti cha bunge kuwa kitanda.
 
Hahahahahaaaaaaa,Mwita sijui ni kwanini,ila amesema kuwa alienda kwenye zahanat ya bunge wakampa dawa ya mafua ndio maana akalala,ila sijui ni kwanini amelishutumu gazeti kuwa ni la uchochez tena amesema haya leo niko live nipiogeni tena

Yeye kama nani eti kwa kupigwa kwake picha amani itavunjika, naamini hayuko sawasawa , IQ Yake ni sawa na mtoto wa miaka 7.
Nani anabisha kuwa mzee Wasira hayuko sawasawa kiakili, labda uzee. Mpuuzeni.
 
Nahisi ni UZEE...........lakini kwangu mimi nisingeongea
Yeye kama nani eti kwa kupigwa kwake picha amani itavunjika, naamini hayuko sawasawa , IQ Yake ni sawa na mtoto wa miaka 7. Nani anabisha kuwa mzee Wasira hayuko sawasawa kiakili, labda uzee. Mpuuzeni.
 
Steven waasira anasema gazeti lwa mwananchi linapenda kuandika habari za uchochezi hasa kwa kumpiga picha akiwa amelala,amesema siku hiyo ni kweli alilala,na sababu ya kulala ni kutokana na kuumwa kwake,maana alikuwa akiumwa mafia ndio maana akasinzia......
Sosi:Mwananchi
Anataka kutuambia Bungeni imekuwa rest room kuwa mtu yeyote akijisikia kulala analala apendavyo aache uhuni.
 
Wanasiasa ndugu yangu......unakumbuka komba alisema alkuwa analiombea Bunge sijui Taifa
Anataka kutuambia Bungeni imekuwa rest room kuwa mtu yeyote akijisikia kulala analala apendavyo aache uhuni.
 
Inawezekana kweli alikuwa anaumwa na busara ingekuwa ni kubakia chumbani kwake kwa bed rest lakini angefanya hivyo angekosa mshiko yaani posho ya kuhudhuria bunge. Kiukweli huyu mzee ingekuwa ni gali tungesema "mileage" zimesogea mbele then tuliuze kama chuma chakavu kwa kuwa gari ambayo iko beyond economic repair haiuziki kama gari. Bali unaipeleka pale mtaa wa Lindi Kariakoo wanai 'chinja' na kuuza kama spea kwa magari mengine. Tusubiri tu iko siku atatoka amebebwa
 
HTML:
Yeye kama nani eti kwa kupigwa kwake picha amani itavunjika, naamini hayuko sawasawa , IQ Yake ni sawa na mtoto wa miaka 7.
Nani anabisha kuwa mzee Wasira hayuko sawasawa kiakili, labda uzee. Mpuuzeni.

Akili yake ni kama ya Tyson, ndiyo maana wanamwita Tyson
 
Inawezekana kweli alikuwa anaumwa na busara ingekuwa ni kubakia chumbani kwake kwa bed rest lakini angefanya hivyo angekosa mshiko yaani posho ya kuhudhuria bunge. Kiukweli huyu mzee ingekuwa ni gali tungesema "mileage" zimesogea mbele then tuliuze kama chuma chakavu kwa kuwa gari ambayo iko beyond economic repair haiuziki kama gari. Bali unaipeleka pale mtaa wa Lindi Kariakoo wanai 'chinja' na kuuza kama spea kwa magari mengine. Tusubiri tu iko siku atatoka amebebwa
Kama ni gari basi ''Scrap Value'' yake ni negative (below zero), yaani atakaepewa hilo gari ndo inabidi alipwe kwa kukubali kulichukua
 
Hahahaahahaaaa......unajua wanatafuta 7bu tuuuu juuu ya mwananchi,kuna kipindi waliwahi toa picha ya mbunge na waziri kama wanabusiana pale mjengoni wakaambiwa wameitengeneza......
Kama ni gari basi ''Scrap Value'' yake -ve (below zero),yaani atakaepewa hilo gari ndo inabidi alipwe kwa kukubali kulichukua
 
Ameshazeeka akapumzike hawa watu ndo hatuwataki Bungeni
Kazi kutuletea usingizi tu sasa hapo hoja ikija ataunga mkono 100%
bila kujua ni hoja ya nini?? Kama anaumwa akalale kitandani sio lazima awe bungeni
na kutuletea siasa za ajabu ajabu tu hapa magamba bana nawachukia sana
 
Hawa ndo wale huwa wanashtuka na kukuta wenzao wapiga kelele na wao wanadakia bila kujua watu wanacheka au kukataa nini!!

au anakurupuka na kupiga meza huku hata hakusika mtu ameongea nini, kwa style hii na watu kama wasira... tusitegemee maendeleo...
 
Bwana Wassira ndugu yangu hapo uchochezi uko wapi?
Hahahahahaaaaaaa,Mwita sijui ni kwanini,ila amesema kuwa alienda kwenye zahanat ya bunge wakampa dawa ya mafua ndio maana akalala,ila sijui ni kwanini amelishutumu gazeti kuwa ni la uchochez tena amesema haya leo niko live nipiogeni tena
 
Pale lazima alijamba kaushuziii fuuu, ila sema harufu haiwezi kusikika kwenye picha
 
Back
Top Bottom