Mkuu Mkeshaji usimcheke Wassira kwa sababu hata wewe naona unasinzia usingizi haujakuisha kutokana na kukesha. Bado sijaelewa ulitaka kutoa message gani kwenye hii thread
mkeshaji
habari ya mkesha wa mwaka mpya
mzee wa wau kaonewa,,alikuwa hajalala ni sura yake tu
Ningeambiwa niipe maneno picha hii basi ningemsikia Mh. Wassira msinziaji akimwambia mnyika
Mwaka mpya upi mkuu...? Anxient Greek, Egypt, Jews or...?
Chinese
Ningeambiwa niipe picha hii maneno basi ningemsikia Mh. Wassira msinziaji akimwambia mnyika
Wassira" Yaani nyie vijana mnatuhenyesha kweli kweli, kazi inakuwa ngumu sana bungeni.
Mnyika: hapana mzee ni mambo ya uwajibikaji tu kwa wananchi waliotuchagua.
Wassira: Hapana bwana mmetuamulia sana this term.
Wasirra: Sasa mwanangu John itabidi kabla sijaondoka madarakani nikupeleke CCM una upeo mkubwa sana ukatusaidie maeneo ya uenezi.
Mnyika: Kichekooo, hapana nafikiri nina nafasi kubwa kuwatumikia wananchi nikiwa CHADEMA mzee.
Wote kicheko - huku wakipita mlango mkuu wa bungeni.
Lengo la JK kumweka tyson kwenye baraza la Mawaziri ni kujaribu kuweka watu wanaotishatisha kwa sura na kauli, ili at least baadhi ya mambo yaende kimjinimjini!
I cant celebrate chinese new year is coz am not affiliated to them.
ha haa hvaaaaaa
battery ya simu yako ni ya wapi mkuu
Hapana mkuu, jamaa anaongea point sema tu kuna wakati inabidi aongee upupu ili kumridhisha bosi wakeLengo la JK kumweka tyson kwenye baraza la Mawaziri ni kujaribu kuweka watu wanaotishatisha kwa sura na kauli, ili at least baadhi ya mambo yaende kimjinimjini!
Hapana mkuu, jamaa anaongea point sema tu kuna wakati inabidi aongee upupu ili kumridhisha bosi wake