Wassira (Mbunge wa Bunda) azomewa na wananchi wasio zidi 50

hili ni tatizo la JF watu hawawi wakweli hii inatupa taabu sana tulio mbali na matukio

alizomewa hakuzomewa jamani black is black semeni ukweli tujadi kwa umakini siasa za TZ
 
Wasira ali zomewa na wananchi katika mkutano aliyo ualika kuhusu
katiba mpya maudhulio yali kuwa afifu watu wasio zidi hamsini katika
mkutano cha ajabu wakati akiendelea kuelezea watu wakaanza kuzomea
ika sababisha kushuka jukwaani na kuailisha mkutano na siku iliyo fuata
kamati ya kukusanya maoni ya katiba ili kuwana mkutano na wasira ali arikwa
lakini akutokea.

Jamani Jitahidi kuandika lugha sahihi ili taarifa uliyoleta iweze kueleweka.
 
Wasira ali zomewa na wananchi katika mkutano aliyo ualika kuhusu
katiba mpya maudhulio yali kuwa afifu watu wasio zidi hamsini katika
mkutano cha ajabu wakati akiendelea kuelezea watu wakaanza kuzomea
ika sababisha kushuka jukwaani na kuailisha mkutano na siku iliyo fuata
kamati ya kukusanya maoni ya katiba ili kuwana mkutano na wasira ali arikwa
lakini akutokea.

Naomba huu uwe mpango endelefu kwa kuwakataa magamba kwa vitendo na maneno yao
 
Back
Top Bottom