Wassira kwa ulalaji

Lah! Masatu umetokea wapi tena? Sijakusoma kwa muda mrefu sana nikadhani labda ulisweka kunakohusika; si unaijua tena nchi yetu. well karibu tena JF.

Swali lako: ninataka kuprove kuwa (a) Wasira Massato (somo yako) amechoka sana. Yeye alidai vijana ni wavuta bangi, lakini inaelekea kuwa yeye ndiye anayezidiwa zaidi na madawa ya mafua. (b) Alifanya makosa kulishambulia gazeti la mwananchi lilipotoa picha yake akiwa amelala, kwani kumbe hiyo ni ada yake.

Port nipo ila mbio za kukimbiza shilingi zimezidi muda unakuwa hautoshi.

Back to Wassira, vigezo unavyotumia kumhukumu Wassira sio sahihi, kusinzia (sio kulala) ni involuntary action sio lazima iwe inatokana na uzee, ni maumbile tu hata vijana husinzia/hulala.

Wassiira ni miongoni mwa mawaziri wachache katika baraza la JK walio watendaji mahili.

Kuzidiwa na dawa za mafua hakuna uhusiano na uzee, na zaidi hilo halimnyimi haki ya kukemea vitendo vibaya vya kuvuta bangi.
 
Akistuka tu ataunga hoja mkono asilimi mia.kazi kweli kweli katika nchi ya danganyika.
 
jana nilimuona alikuwa anasoma hotuba..yaani alikuwa anasogeza karatasi karibu na macho kabisa kama anaangalia microscope! anyway ..anaweza akawa na matatizo ya macho lakini na uzee pia umeshamiri!
 
Mara ya kwanza alisingizia kuwa amukunywa Phenegarn, sasa huenda atasingizia amekunywa Valium kwa ajili ya Pressure.Ngoja tusubiri huo utetezi wake utakavyokuwa.
 
Aheri Mugabe alale ana Miaka 90 sasa huyu Wasira kweli amefika huko? Kama ana miaka ya Mugabe ningempa kitanda pale bungeni aendelee kuchuma hizo pesa za kuhudhuria bunge
 
Najua watu walishaongelea topic hii ila nadhani syo vibaya kujikumbusha tena:

Mwezi mmoja uliopita, Kiongozi huyu alilishambulia gazeti la Mwananchi kuwa ni uchochezi kwa kumpiga yeye picha akiwa amelala. Akadai kuwa siku hiyo alikuwa amekunywa dawa ya mafua
View attachment 35856

Hata hivyo, jana tena ameonekana bungeni akiwa amelala.

View attachment 35857
Nadhani Mzee wetu Wassira baada ya kulitumikia taifa hili kwa nguvu sana kwa zaidi ya miaka 40, inabidi akubali kuwa nguvu zimekwisha sasa na hivyo anatakaiwa akapumzike Nyambitilwa awaachie uongozi vijana, siyo kweli kuwa vijana wanavuta bangi kama alivyodai
aliugua tena mafua!!!
 
Mwacheni ajipumzikie mzee wa watu, umri wake mwili wake, he need goddam rest
 
mimi ni jirani yake hapa bungeni mh. alijisahau kidogo akajamba nilipomwambia asilale atachafuka, akanijibu kuwa hajalala ila analiombea taifa.
 
wacha yalale tu. Siku tutapozingira hilo bunge na kuanza kutembeza kichapo. Wataamka tu!

Mkuu nimekosa tu kile kijamaa cha thanks ningekugongea!!

Hivi hili tatizo na wenzangu mnalo au computer yangu tu? Siku hizi kibonyezo cha thanks hakionekani!! Hapo kwenye red mkuu ungesema Yataamka tu!
 
jana nilimuona alikuwa anasoma hotuba..yaani alikuwa anasogeza karatasi karibu na macho kabisa kama anaangalia microscope! anyway ..anaweza akawa na matatizo ya macho lakini na uzee pia umeshamiri!
<br />
<br />
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAA MBAV ZANGU WEE
 
Nadhani anatumia zile dawa maana yule mwanamke aliye naye anao siku nyingi sana, na mmewe alifariki nao kwa tetesi za redio ugali, maana hata ile rangi yake ya usoni Mzee wetu mhmmm siamini kama ni mzima ukiachiambali tumbo alilofuga kwa kodi na peg za whisky.

mkuu umeniamsha, kweli hiyo rangi ya usoni ni kama ya wengi wenye matatizo hayo wale wanaotumia dawa, huyu jamaa ni +ve ila sema tu
lishe inamtetea
 
Hanaweza kuwa ana ungonjwa wa kusinzia, sema nae mbishi ukimwambia kwa nini unalala hovyo anakuambia nakunywa dawa.
Na kukaa nyumbani hawezi hatakosa posho inabidi aje tu bungeni
 
jamani huyu ni WAZIRI ana anaonyesha kwa vitendo jinsi serikali ilvyo lala bado hamuelewi !!!!!!
 
wa hasira.jpg
hili hapa lione!
 
Teh teh teh teh teeeh! Kijana inavyooneka umemuwinda sana huyu mzee ili kumprove failure kutokana na kile alichokuwa anakitetea sana kuhusu yeye, na sasa tuone atatoka na nini kujitetea kwa hili, huyu mzee mwaka huu mpaka avae bukuta jezi
 
Back
Top Bottom