Wassira kwa ulalaji

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,502
19,341
Najua watu walishaongelea topic hii ila nadhani syo vibaya kujikumbusha tena:

Mwezi mmoja uliopita, Kiongozi huyu alilishambulia gazeti la Mwananchi kuwa ni uchochezi kwa kumpiga yeye picha akiwa amelala. Akadai kuwa siku hiyo alikuwa amekunywa dawa ya mafua
View attachment 35856

Hata hivyo, jana tena ameonekana bungeni akiwa amelala.

wasira akifuatilia.jpg
Nadhani Mzee wetu Wassira baada ya kulitumikia taifa hili kwa nguvu sana kwa zaidi ya miaka 40, inabidi akubali kuwa nguvu zimekwisha sasa na hivyo anatakaiwa akapumzike Nyambitilwa awaachie uongozi vijana, siyo kweli kuwa vijana wanavuta bangi kama alivyodai

attachment.php

Jamani muwe na huruma huyu mzee alisha sema ni mgojwa na posho anazitaka sasa nyie mnataka akalala nyumbani akose posho eboooooooooo....yaani hapa ni sawa na kuwambia Shibuda posho ifutwe.....hahahahahahahahahah

Nadhani anatumia zile dawa maana yule mwanamke aliye naye anao siku nyingi sana, na mmewe alifariki nao kwa tetesi za redio ugali, maana hata ile rangi yake ya usoni Mzee wetu mhmmm siamini kama ni mzima ukiachiambali tumbo alilofuga kwa kodi na peg za whisky.

Viongozi wa ki-afrika kundoka kwenye madaraka hadi wapigwe tanganyika jeki.

Kesho mtamsikia huo ni uchochezi unahatarisha usalama wa taifa.

Posho za nini sasa mtu analala namna hii. Tanzania nchi ya mazonge

...halafu mjanja huyo, eti nadanganyia kwa kushika kalamu kama vile yuko busy anafuatilia mjadala!

Viongozi wa ki-afrika kundoka kwenye madaraka hadi wapigwe tanganyika jeki.

Kesho mtamsikia huo ni uchochezi unahatarisha usalama wa taifa.
Anatafakari!

Hahahahaha safari hii atasema swaum ilikuwa kali sana! Daah sasa si kashachakachua tangu siku hizo!akafanye miradi yake makwao aachie dam changa ilijenge taifa!huu ni ulafi sasa lool

Najua watu walishaongelea topic hii ila nadhani syo vibaya kujikumbusha tena:

Mwezi mmoja uliopita, Kiongozi huyu alilishambulia Mwananchi kuwa ni uchochezi kwa kumpiga picha akiwa amelala. Akadai kuwa siku hiyo alikuwa amkunywa dawa ya mafua
View attachment 35856

Hata hivyo, jena tena ameonekana bungeni akiwa amelala.

View attachment 35857
Nadhani Mzee wetu Wassira baada ya kulitumikia taifa hili kwa nguvu sana kwa zaidi ya miaka 40, inabidi akubali kuwa nguvu zimekwisha na ahivyo sasa anatakaiwa akapumzike Nyambitilwa.

Hivi wewe Kichuguu una tatizo gani na mzee Wassira? Kwa kuanzisha hii thread unataka kuprove nini hasa?

wangeweka ka utaratibu kwa wanao lala no posho, hapo wote wangekuwa alert

Najua watu walishaongelea topic hii ila nadhani syo vibaya kujikumbusha tena:

Mwezi mmoja uliopita, Kiongozi huyu alilishambulia Mwananchi kuwa ni uchochezi kwa kumpiga picha akiwa amelala. Akadai kuwa siku hiyo alikuwa amkunywa dawa ya mafua
View attachment 35856

Hata hivyo, jena tena ameonekana bungeni akiwa amelala.

View attachment 35857
Nadhani Mzee wetu Wassira baada ya kulitumikia taifa hili kwa nguvu sana kwa zaidi ya miaka 40, inabidi akubali kuwa nguvu zimekwisha na ahivyo sasa anatakaiwa akapumzike Nyambitilwa.
Umekosea kidogo, huyu jamaa siyo wa Nyambitilwa ni wa pale Kabasa Kung'ombe karibu na Manyamanyama. Enzi zile za zamani alikuwa katibu wa TANU wa hicho kijiji cha Kung'ombe!

Hivi wewe Kichuguu una tatizo gani na mzee Wassira? Kwa kuanzisha hii thread unataka kuprove nini hasa?
Lah! Masatu umetokea wapi tena? Sijakusoma kwa muda mrefu sana nikadhani labda ulisweka kunakohusika; si unaijua tena nchi yetu. well karibu tena JF.

Swali lako: ninataka kuprove kuwa (a) Wasira Massato (somo yako) amechoka sana. Yeye alidai vijana ni wavuta bangi, lakini inaelekea kuwa yeye ndiye anayezidiwa zaidi na madawa ya mafua. (b) Alifanya makosa kulishambulia gazeti la mwananchi lilipotoa picha yake akiwa amelala, kwani kumbe hiyo ni ada yake.

Kichuguu naona umemrejesha Masatu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee long time.

Back
Top Bottom