Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

1020612.png


Huyo mbunge bungeni anatafakari ladha ya kusuck dole gumba bungeni badala ya kuandika yanayojilia ili baadaye ajenge hoja ya kuuliza maswali
 
Ningekuwa mshauri wa CCM ningeshauri wawaondoe Wasira na Ben kwenye list ya kampeni yao..coz hawana sera ila matusi na personal attacks ambazo haziwasaidii chochote wana-Arumeru. Hawa wazee sijui busara zao wamepeleka wapi..kwa nini wasiige kwa Salim A. Salim, Warioba etc unapanda ndege all the way na per diem, accomodation 400k per day alafu unakuja kuongea ujinga kwenye jukwaa.. Bora tungekuwa hatuna uchaguzi kama N. Korea..
 
Big up ex-extended class 4. Maaskofu walionyesha njia,kama kweli ndio sabab ya kuacha padri Dr. Slaa. Nanyi kwa nini hamfukuzi wezi, au kuvua magamba?
 
Kama Wasira anaweza kututhibitishia nyumba anayojenga "kwa msola" Arusha na nyinginezo nyingi nchini kote pesa zilikotoka, basi ana haki ya kusimama kiume na kunyooshea wenzake kidole la sivyo akae kimya.. uwaziri hauna kipato cha kufanya haya anayofanya sasa.

Kwani hizo mali alizipata akiwa mtumishi wa umma? na unataka kujua hilo unadhani hizo ni hela za walipa kodi au zinatokana na rushwa za kila aina serikalini? 10%? Kama unajua amezipata kwa njia sio halali tubwagie hapa, sio kuropoka tuu. Tunawaita mafisadi sababu wanafuja hela za walipa kodi na kutumia rasilimali za nchii kama yao peke yao kama wangekuwa wanafanya biashara nani angeangaika nao? Bure kabisa wewe
 
Hivi ni Dk. Slaa anagombea ubunge Arumeru Mashariki? Huyu Wasira amechanganyikiwa kiasi cha kumtaja mtu ambaye hagombei ubunge?

CCM ipo ukingoni! kama wapiga debe wake ni kama Mh. Stephen Wasira.
 
Slaa ndiye mwamba nchi hii hiyo kashfa anayodai Wasira mbona kanisa katoliki limekanusha? Halafu wasira si level ya Slaa anaongea pumba tupu.
 
Unajiita BigMan? Huna kitu peleka umbeya wako huko. Unajadili hoja ambayo imeshafungwa na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC). Kawaambie magamba kwamba kwa hili wameingia choo cha wanawake, kutoka ni shughuli. kadri siku zinavyokwenda wataongea mpaka mabo ya ukweni. Safari hii hawachomoki.....Peoples Power.................
 
Back
Top Bottom