Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

.............. ninavyojua kwa Utawala wa sheria kila anayevunja sheria Huwa anapelekwa Mahakamani na Magamba Ndio Watunza sheria sasa Kwa Issue ambazo wao wanaona ni sensitive za uvunjivu wa sheria .....................
1 kuna viongozi ambao hawaamini katika mfumo wa sheria uliopo na hawautumii, japo wapo nadi ya mfumo huo
2. Kuna viongozi ambao kuwa na facts sio jambo lazima ili wafanye maamuzi, au kutoa matamshi jukwaani, hata majungu pia yanakubalika.
Wewe kama kiongozi,
please kuwa mzalendo simamia utaratibu ilioko kwa matendo.
Epuka kujihusisha na majungu
epuka kujitoa kwa shetani ili upate cheo, faida yake ni ndogo sana.
Kuwa jasiri simama pamoja na maneno yako. Yani practise what you preach,hii si kwa chama kimoja u kingine, ni kwetu wote kuanzia familia hadi taifa
 
nafahamu wengi hamtapenda lakini ndivyo dunia ilivyo ukimwaga ugali watu wanamwaga mboga lakini katika viongozi wa sasa wa vyama vyote vikuu hakuna aliyekuwa msafi tofauti ni kwamba kundi fulani liko jikoni la kundi lingine liko sebuleni waliko jikoni wananafasi kubwa ya kula msosi wanavyotaka lakini ikitokea nafasi ya kundi lililoko sebuleni kuingia jikoni tatizo litakuwa lile lile kwani nao si wasafi ebu soma hii stori ya katibu mkuu wa magwanda akiwa na umri wa miaka sitini na tisa akini bado ana mchumba:....

Kashfa ya katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema),Dk Willibrod Slaa imewekwa hadharani kwamba kiongozi huyo alifukuzwa upadri baada ya kutafuna mamilioni ya fedha zilizochangwa kwa ajili ya ujio wa hapa nchini wa Kiongozi wa Kanisa katoliki nchi duniani papa katika miaka ya tisini

Tuhuma hizo zimemwagwa na Waziri Steven Wassira katika mikutano ya kampeni za ccm kumnadi mgombea wa chama hicho sioi Solomon sumari katika Jimbo la Arumeru mashariuki

tuhuma hizo zinakuja wakati vyama hivyo viwili vikubwa nchini vikirusiana vijembe na makombora mazito mazito

kashfa hiyo imetolewa katika vijiji vya kata Kikwe katika Jimbo hilo la Arumeru Mshariki Mkoani Arusha.

Wassira alisema kwamba Dk Slaa ambaye pia aliwahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu nchini(TEC) kabla ya kukumbwa na kashfa hizo za kutafuna mamilioni hayo ya fedha zilizochangwa na waumini wa katoliki kutoka vigango na parokia mbalimbali nchini ili kufaniisha ujio wa Papa miaka ya tisini kitendo kilichopelekea kufukuzwa kazi ya upadri.

amesisitizas kwamba kiongozi huyo hana kifua cha kupambana na ufisadi kwa kuwa hata yeye alitafuna fedha za kanisa.

Aliwataka wakazi wa kata ya Kikwe kumuuliza Dk Slaa chanzo cha kufukuzwa upadri pindi atakapotia mguu ndani ya kata yao na kuwataka wakazi hao kutosikiliza sera za kiongozi huyo kwa kuwa si msafi wa kujipambanua kwamba anapambana na ufisadi nchini.

Alimtuhumu Dk Slaa Pia katika hatua nyingine anatuhumiwa kumfukuza kazi mhasibu wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo yake amlipe shilingi milioni 10 mchumba wake,Josephine Mushumbushi kitendo kinachotia mashaka ya uadilifu wa kiongozi huyo.

Hata hivyo,alishangaa kitendo cha Dk Slaa kuishi maisha ya uchumba wakati akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60 na kudai kitendo hicho kinashangaza umma wa watanzania pamoja na wafuasi wa vyama vya siasa nchini.

Wakati huo huo,Wassira ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM alisema kwamba mgombea ubunge wa Chadema,Joshua Nassari hafai kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kuwa ni kijana mkorofi na mara kwa mara baba yake mzazi amekuwa akimsihi kuachana na ukorofi tangu wakati akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam.

Alisema kwamba baba wa mgombea huyo ambaye ni kiongozi wa dini amekuwa akimsihi kuachana na ukorofi ikiwa ni pamoja na kuoa ili aweze kutulia lakini cha ajabu Nassari amekuwa akionekana na bibi wa kizungu mwenye umri wa zaidi ya miaka 60 akizunguka naye mitaani.

Wassira amewataka wananchi wote waliojiandikisha kuhakikisha wanatunza shada zao ili kuepuka kuporwa na wafuasi wa chadema

Amesema tayari chama cha chadema kimeanza mchezo mchafu kwa kusambaza waraka pamoja na vijana kwa ajili ya kununua shahada

Je uchafu wa Dr. Slaa ndio unaohalalisha ujambazi, uporaji na wizi ya mali ya umma unaofanywa na Wassira na wenzake wa CCM? Kwa maoni yangu hii si justification ya vandalism ya CCM. CCM na serikali yake ndiyo yenye vyombo vyote vya ulinzi na usalama wa nchi na mali za watu, sasa kama wenyewe wanaanza kulalamika badala ya kuchukua hatua hii ina maanisha nini. Kama Gr. Slaa kakwapua, sheria iko wazi.
 
Huyu sokwe kila mtu anajua matatizo yake.
Mzimu wa mwalimu umewapa wenge watetezi wa Chama Cha Mauaji.
Kitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
- Ndio tatizo la siasa za majitaka ukizianza tu uwe tayari kuishi nazo, na huwezi ku-draw a fine line na the worst of all zinatuondoa kwenye hoja always na kuishia wake za wananchi badala ya maji na bara bara, it stinks! Sasa huyu ameanza na wengine watajibu kwenye hizo line za wake zao, huku wananchi wa Arumeru wanachwa solemba!, nonsense!


Es!
 
Halafu watu wakianza kurusha madongo watu wataanza kuwabembeleza jamani heshimu watu wazima... yangu macho...

Nakumbuka ni huyuhuyu wasira juzijuzi alilalamija kuwa kumsema mkapa ni kukosa adabu.sijui anachofanya yeye ni adabu au nini?au kwakuwa wao ni magamba ukiwaambia wakaoge watoe uchafu wao mwilini inakuwa unawakosea adabu.shame on you wasila na unazeeka vibaya.
 
- Ndio tatizo la siasa za majitaka ukizianza tu uwe tayari kuishi nazo, na huwezi ku-draw a fine line na the worst of all zinatuondoa kwenye hoja always na kuishia wake za wananchi badala ya maji na bara bara, it stinks! Sasa huyu ameanza na wengine watajibu kwenye hizo line za wake zao, huku wananchi wa Arumeru wanachwa solemba!, nonsense!


Es!
Hawa wanasiasa wazee wa CCM sijui wanaipeleka wapi nchi yetu,wameishiwa hoja wamebakiza silaha ya siasa za majitaka! Naomba kanisa langu Katoliki lijibu hizi tuhuma kama ni kweli ama la ili siku nyingine lisiingizwe ktk siasa uchwara za majitaka!
 
Jamani kuna mwanamke namjua yupo Morogoro ambaye Wassira ndiye kimada wake. Mara nyingi wenzake huwa wanamuuliza amempendea nini huyo Wassira na ile sura yake kama ya dubu/shetani. Yeye huwa anawajibu kirahisi tu kuwa kimsingi anampenda Wassira kwa sababu ya hela zake tu, kama ni mwanaume huyo hawezi kuwa mwanamume wa kuishi naye. utatoka naye uende naye wapi na alivyo na sura ya ajabu kama shetani.

Na hapa kuna ukweli kwani sura na *ma**ya wake Morogoro unajulikana kwa wengi. Asidhani watu hawajui na siku yake ikifika itakuwa kama ya yule naibu waziri fulani hivi.

Kikwete anajua pia kuwa jamaa sio presentable before the public ndo maana huwa hata hampi mitoko ya nje ya nchi watu wasije wakakimbia vikao bure!
 
Hivi Kampeni za kumchafgua Dr.Slaa zimeanza tayari kwa uchaguzi wa mwaka 2015? Kusema kweli mimim sionmi kabisa sababu ya Wasira kumzungumzia Dr.Slaa katika mkutano wa propaganda za Arumeru maana yeye sii mgombea. Ni aibu kubwa sana kwa kiongozi mtu mzima kama Wasira kuanza kuzungumzia vitu visivyohusika..Hivi kweli atapenda watu tuyazungumze ya kwake na familia yake?
 
yaani haya yote ni uchaguzi wa Arumeru.

zaidi ya ziito kabwe niiyewai kuona bandiko lake humu kuhuusu mambo ya ardhi na maji wanasiasa wenngi 90% wayaoongea ni Mipasho. Si mkapa , Si wassira

Too sad zaidi kwa CCM chama ambacho kinaongoza serikali na chenyewe kinatumia effort kubwa kufikisha ujumbe kwa mipasho na kurusha.

Hivi mkapa alikosa kukumbuka hata sera moja ambayo hata chini ya utawala wake(CCM) au huu wa sasa wa JK (CCM) inayosaidiaidia wana arumeru. Yaani hata danganya toto

Je Wassira anamaanisha kama Dr slaa si msafi CCM wana uhalali wa kuendelea kuwa wachafu?
 
huyu Chipanzee karopoka ndotoni,mchapaji wa usingizi mjengoni anaropoka pasipo kujua anachokifanya, ka gamba kao ka SIOI hakajui hata siasa masikini kana bwabwaja tu jukwaani ndo maana wanahaha kujinasua japo tope liko shingoni tayar.Wana wa ARUMERU tuwe makini na utawala huu wa kiimla katika kipindi hiki, piga chini magamba hawa huu ndo mwanzo........................,wasira we ni sawa na kunguni weweeeeeeeeeee
 
nafahamu wengi hamtapenda lakini ndivyo dunia ilivyo ukimwaga ugali watu wanamwaga mboga lakini katika viongozi wa sasa wa vyama vyote vikuu hakuna aliyekuwa msafi tofauti ni kwamba kundi fulani liko jikoni la kundi lingine liko sebuleni waliko jikoni wananafasi kubwa ya kula msosi wanavyotaka lakini ikitokea nafasi ya kundi lililoko sebuleni kuingia jikoni tatizo litakuwa lile lile kwani nao si wasafi ebu soma hii stori ya katibu mkuu wa magwanda akiwa na umri wa miaka sitini na tisa akini bado ana mchumba:....



Wassira amewataka wananchi wote waliojiandikisha kuhakikisha wanatunza shada zao ili kuepuka kuporwa na wafuasi wa chadema

Amesema tayari chama cha chadema kimeanza mchezo mchafu kwa kusambaza waraka pamoja na vijana kwa ajili ya kununua shahada
Kama ndio mambo ya kumwagiana ugali na mboga ...Kwa hiyo mnataka kutuambia kuwa SISIEMU NI KWELI WALIMUUA MJKY?
Tanzania hii ya sasa unaweza kukasirika na kuomba uraia hata SYRIA.....
 
PAUKWAAAAAAA!!!!
pakawaaaaaaaaaa!!!
Hapo zamani za kale.....!!
Enh!
Palikuwepo bwana mmoja...
ndioo
Alisoma weeee....
Enhee
Hadi akawa padri.....
Lete! Lete! Leteeee!!
Sasa wakati ule akiwa padri....
Leteeeee!
Inasemakana akananiii...
Nini?
Hadithi yangu imeishia hapo!
el madrasatasa
 
''hata yeye'' this is very nonsense statements of our politicians

kwa hiyo wassira na CCM yake wana fanya ufisadi kwa sababu Slaa naye alifanya ufisadi......what a shame on this

Chimpazee!!

I am not obliged in any way to respect you.But out of your statement saying that wassira is a chimpanzee,you totally disrespect yourself and show how you are such a morally retarded person.I really dont know why the moderators of this forum Should keep you.Shame on you.If you disagree with someone's view,it is not (in any way) necessary to pose such abusive and bad names.In fact ur boring gentleman.
 
Wasira anaganga njaa ndiyo maana anabweka. Kwani si wana vyombo vya dola kama ana uhakika na maneno yake wamkamate Dr. Slaa na wenzake, kama wameshindwa kutumia mamlaka tuliyowapa waachie ngazi. Ameanza Mkapa kudanganya na yeye anaendeleza, hapo Mch. Nassari atakapomkana kuwa hajawahi kuona nidhamu mbaya wala ukorofi wa Joshua sijui ataondoka kabla ya kampeni kuisha? Hiyo inadhihirisha jinsi ccm walivyo waongo hasa wazee tuliowaamini.
 
Back
Top Bottom