Wassira: Dk. Slaa ni kama Dereva Learner Kujaribu Ku-Drive Basi la Abiria!

Dr Silaha will expel Indians out of this country because of his personal hatred over Asians!
While Tanzanians of Asian origin have been successful due to hard work, perseverance, and personal sacrifices, majority of you Bantus have been lazy, singing Bongo Flavor, spending your precious time running your big mouths at the beer pubs, and ignorant. CCM knows it very well, and that's why they do not have any beef with us. The opposition and majority of their supporters perceive our success as attributed to corruption and tax evasion! I have a message for you all....CCM will win by a landslide!
While we will continue to run the show economywise, you will have no choice but to go with the flow.
Good night!
 
Tafadhali, habari ya Mwaka Sitini na Moja dunia hii ya leo jamani..Dr. Slaa ni mlipua mabomu, Hana Track Record Tujue atatupeleka Wapi TZ.. MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI...TYSON NI SAHIHI HAPA: CV YA UTENDAJI WA SLAA NI MUHIMU SANA TZ..USHABIKI ASIDE!

Kwa fikra finyu kama hizi nchi hatkaa ibadilike: Mwalimu Angekuwa na fikra hizi finyu tusingepata uhuru; ni wangapi na akina nani walikuwa na uzoefu wa kuongoza nchi kabla ya kupewa? Uraisi ni suala la uzoefu? Tukiendelea na fikra hizi mgando kweli ukombozi utakuwa ndoto.
 
WASSIRA, naona hata aibu kukuelimisha kuwa uwaziri siyo nafasi ya utendaji, ni political post na mtendaji ktk wizara ni katibu
mkuu wa wizara. pamoja na hayo yote kushika nafasi ya utendaji tu siyo swala , isipokuwa ulichokifanya(record) ulipokuwa mtendaji
ni kitu cha msingi. watu wanachompendea SLAA siyo swala la utendaji bali ni record yake nzuri aliyonayo wakati wa nafasi ya ubunge
kwani watendaji wako wanaogombea lakini hawana lolote kwa sababu ya record zao kuwa mbovu. kwa mfano wewe mwenyewe
ulishawahi kufanya biashara ya kuuza samaki ikakushinda maana yake ni kwamba utendaji wako ulikuwa mbovu kwani wako watu
wanaofanya biashara hiyo miaka mingi kwahiyo ni record yako ni mbaya km mfanyabiashara pamoja na kuwa ulishawahi kuwa mfanya
biashara. kuwa tu mtendaji tu hakutoshi bali record yako ndio issue.
 
Dr Silaha will expel Indians out of this country because of his personal hatred over Asians!
While Tanzanians of Asian origin have been successful due to hard work, perseverance, and personal sacrifices, majority of you Bantus have been lazy, singing Bongo Flavor, spending your precious time running your big mouths at the beer pubs, and ignorant. CCM knows it very well, and that's why they do not have any beef with us. The opposition and majority of their supporters perceive our success as attributed to corruption and tax evasion! I have a message for you all....CCM will win by a landslide!
While we will continue to run the show economywise, you will have no choice but to go with the flow.
Good night!
No doubt even bed bugs (kunguni) are hard working...
 
Duh jamaa ana bonge la CV. Ila ni mla rushwa mkubwa! Waulize wahingi wa MUKPAR, kampuni ya inputs za kilimo walivyokuwa wanampelekea briefcases za pesa ili afanikishe mambo yao. Hakuna msafi ndani ya CCM.

CV Nzuri, acha kuchakachua Ukweli..Hiyo Briefcase umeiona wapi, Murongo Mukubwa WEEEE!!! Cement elfu tano kila Mkoa, Transport jee..Murongo kama Paroko Slaa
 
wassira, naona hata aibu kukuelimisha kuwa uwaziri siyo nafasi ya utendaji, ni political post na mtendaji ktk wizara ni katibu
mkuu wa wizara. Pamoja na hayo yote kushika nafasi ya utendaji tu siyo swala , isipokuwa ulichokifanya(record) ulipokuwa mtendaji
ni kitu cha msingi. watu wanachompendea slaa siyo swala la utendaji bali ni record yake nzuri aliyonayo wakati wa nafasi ya ubunge
kwani watendaji wako wanaogombea lakini hawana lolote kwa sababu ya record zao kuwa mbovu. Kwa mfano wewe mwenyewe
ulishawahi kufanya biashara ya kuuza samaki ikakushinda maana yake ni kwamba utendaji wako ulikuwa mbovu kwani wako watu
wanaofanya biashara hiyo miaka mingi kwahiyo ni record yako ni mbaya km mfanyabiashara pamoja na kuwa ulishawahi kuwa mfanya
biashara. Kuwa tu mtendaji tu hakutoshi bali record yako ndio issue.

angegombea ubunge hayo yangetosha...hata ndondi kuna uzito tofauti..sasa kagombea urais, ni kama katoka moja kwa moja light weight kupigana uzito wa heavy weight...swala la ubunge halitoshi, haombi kwenda karatu jimboni, anaomba aende ikulu na ndio sababu anakuwa compared na learner

...alikuwa ccm mwaka 1995, akatoswa ndio kaenda chadema..sasa yote heri, urais bwana slaa anapwaya, suala la utendaji ni muhimu kuhoji na ndio point ya wasira..habari ya samaki, hata magufuli walimshinda
 
WasiraSteve(1).jpg

Wasira anahitaji matibabu ya akili

Wewe Mwafrica mbona umeweka hii. Mi naogopa jamani mwe. Naona leo hata nitashindwa kulala usingizi!
 
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Bunda mkoani Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amewaomba wapiga kura jimboni humo kutompigia kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa kwa madai kuwa hana uzoefu wa uongozi.

Wasira amesema, kama wakimpigia kura Dk. Slaa ni sawa na kumkabidhi dereva anayejifunza gari, usukani wa basi la abiria.

Badala yake Wasira ambaye pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, (Nec) amewataka wapiga kura hao kumpatia kura nyingi za ushindi mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete kwa kuwa ni dereva makini aliyehitimu mafunzo yote aliyeiendesha nchi kwa usalama katika miaka mitano iliyopita.

Akihutubia mkutano wa kampeni za CCM juzi kwa nyakati tofauti katika vijiji vya Bukama na
Nyabehu, Wasira alisema tofauti na Kikwete, Dk. Slaa hajawahi kushika nyadhifa zozote za kiutendaji ambazo zinaweza kutumika kushawishi watanzania wamchague kushika mamlaka makubwa ya kiutendaji.

“Slaa huyu hajawahi kushika wadhifa wowote ule wa kiutendaji, hata uofisa utendaji wa kijiji ili tumwone anavyoamua mashauri mbalimbali yanayomfikia. Leo tumpe kura za urais?

Tumechanganyikiwa yaani tumpe ‘learner’ gari la abiria! Akiwaangusha nani alaumiwe? Mnyimeni kura,” alisema Wasira.

Wasira ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika alisema nafasi ya urais ipo ya juu zaidi katika muundo wa serikali na inahitaji mtu makini.

Alisema licha ya umakini wa mtu, pia anatakiwa atoke chama makini na awe amepimwa na kuonekana anafaa kwa kazi hiyo na kamwe siyo ya kutolewa kwa kila aiombaye kama majaribio.

Kuhusu hoja kwamba mgombea huyo wa Chadema ameshika nyadhifa kadhaa ikiwemo ya ubunge wa Karatu, Wasira alisema mbunge hakumaanishi kuwa unafaa kuwa rais kwani ubunge ni uwakilishi na wala siyo utendaji.

“Ndugu wananchi ubunge siyo utendaji, ni uwakilishi tu. Unazidiwa na utendaji wa kijiji na kata ndio maana hawa wanaamua kesi mbalimbali tofauti na mbunge, na unaweza kukaa bungeni muda wote wewe ni kusinzia tu,” alisema Wasira.

Akimwelezea Kikwete, Wasira alisema mgombea huyo amejaribiwa kupitia nyadhifa mbalimbali za kiutendaji ndani na nje ya chama ukiwamo uwaziri katika wizara za Maji, Nishati na Madini, Wizara ya Fedha na pia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Alisema, katika miaka mitano ya Rais Kikwete madarakani, ameiwezesha nchi kung’ara katika medani za kimataifa huku akihifadhi amani, utulivu na mshikamano ndani ya nchi.

“Huyu ndiye rais anayefaa. Amejaribiwa kwa nyadhifa mbalimbali na zote alifanya vizuri. Hata tulipomkabidhi nchi mwaka 2005 ameiwezesha kubakia katika hali yake ya amani na utulivu. Tumpe kura zetu,” alisema.

Njaa za kija Chiligati na Membe
 
Kama JK ni Dereva basi katika mafunzo yake ya udereva alijifunza gia ya kurudi nyuma na si namba 1,2,3,4,5 JK kumpa kura ni kukubali kurudi nyuma MUNGU IBARIKI TANZNIA
 
Historia ya uongozi sio lazima iwe ya urais, marais wote duniani wanakuwa hawana historia ya kuongoza nchi, zaidi ya utendaji wao wa kazi ktk idara na sehemu mbalimbali za jamii. Nadhani Dr. anayohiyo hiyo experience. Tumeiona Bungeni, tumesikia alipo kuwa CARITAS nk.
 
Dr. Slaa ni Paroko wa Diyosisi ya Mbulu..Experience zaidi ya uhubiri hakuna..Baba yetu Uliyembinguni, jina lako litukuzwe--tuepeshe na Father huyu Dr. Slaa aliyekimbia Kanisa lako Takatifu na Kutua Bungeni, na ghafla kujaribu kulaghai Watanzania eti ana karma ya kuwa kiongozi wa Watanzania..Kweli nchi ina shida, ila afadhali shida tuzijuazo za Kikwete kuliko Shida ya Kutokujua kama Slaa atakuwa kama Obama au Iddi Amin..Ukweli Baba, hatumjui, Slaa na anatetewa kuwa ana sifa, baba tuepushe na Wingu hili..Tunaamini unatupenda na Utasimamia Uchaguzi wetu tupate Kiongozi Bora atakayedumisha Amani na Mshikamano!!!! Mungu Ibariki Afrika, Mungu Tuepeshe Balaa la Slaa. Amen
 
CV Nzuri, acha kuchakachua Ukweli..Hiyo Briefcase umeiona wapi, Murongo Mukubwa WEEEE!!! Cement elfu tano kila Mkoa, Transport jee..Murongo kama Paroko Slaa

Hapa naona udini umekushika, haya twende kwenye udini basi:

Kumbe wapagani mnawaona bora sana kuliko wakristo. Maana unapomuita Dr Slaa paroko, JK tumuite vipi maana hata mahakama ya kadhi kaipiga chini kwa kuwadharau waislamu. Nyie ndo mnaosema CUF ya waislamu wa pemba, CHADEMA ya wakristo wa Moshi na CCM ya wachawi wa bagamoyo na sumbawanga.

Haya twende kwa dini tuone nani atashinda 2010.

Kwa mujibu wako umetoa kura kwa wachawi. Ndio maana taifa letu haliwezi kuendelea kamwe maana limejaa ushirikina na unafiki.

Twende kwa dini, wakristo waipigie CHADEMA, na waislamu waipigie CUF kisha CCM ipigiwe kura na wapagani kama wewe.

Amka wewe udini haulipi. ebu ona kauli yako maana yake 'paroko Slaa, Sheikh lipumba,Mchawi Kikwete. Kumbe ndio maana anaitwa dokta, mambo ya kina maji marefu.
 
angegombea ubunge hayo yangetosha...hata ndondi kuna uzito tofauti..sasa kagombea urais, ni kama katoka moja kwa moja light weight kupigana uzito wa heavy weight...swala la ubunge halitoshi, haombi kwenda karatu jimboni, anaomba aende ikulu na ndio sababu anakuwa compared na learner

...alikuwa ccm mwaka 1995, akatoswa ndio kaenda chadema..sasa yote heri, urais bwana slaa anapwaya, suala la utendaji ni muhimu kuhoji na ndio point ya wasira..habari ya samaki, hata magufuli walimshinda

tumekuwa na mgonjwa wa akili huyo kikwete wenu kama rais kwa miaka mitano. nchi imeongozwa na watu wa chini yake na yeye ameendesha zaidi zinaa na anasa.

Sasa tumechoka, tunataka Rais wa nchi yetu ambaye ni Dk Slaa. Hatutaki watu wazembe, waongo, wasiotulia, wababaishaji kama Kikwete.
 
Dr. Slaa hawezi kumjibu wassira..jembe, dr. Slaa anajua..mhe. Wassira muadilifu ndio maana slaa hana jibu..nywea learner dr. Slaa..akiguswa hujibu, kwa wassira chadema kimya..ufisadi hauapply, shida tupu
 
tumekuwa na mgonjwa wa akili huyo kikwete wenu kama rais kwa miaka mitano. Nchi imeongozwa na watu wa chini yake na yeye ameendesha zaidi zinaa na anasa.

Sasa tumechoka, tunataka rais wa nchi yetu ambaye ni dk slaa. Hatutaki watu wazembe, waongo, wasiotulia, wababaishaji kama kikwete.

kasirika..kura za mhe. Slaa hazitoshi 2010, na bila platform ya ubunge..slaa is finnished like mrema..mark my words
 
Hapa naona udini umekushika, haya twende kwenye udini basi:

Kumbe wapagani mnawaona bora sana kuliko wakristo. Maana unapomuita Dr Slaa paroko, JK tumuite vipi maana hata mahakama ya kadhi kaipiga chini kwa kuwadharau waislamu. Nyie ndo mnaosema CUF ya waislamu wa pemba, CHADEMA ya wakristo wa Moshi na CCM ya wachawi wa bagamoyo na sumbawanga.

Haya twende kwa dini tuone nani atashinda 2010.

Kwa mujibu wako umetoa kura kwa wachawi. Ndio maana taifa letu haliwezi kuendelea kamwe maana limejaa ushirikina na unafiki.

Twende kwa dini, wakristo waipigie CHADEMA, na waislamu waipigie CUF kisha CCM ipigiwe kura na wapagani kama wewe.

Amka wewe udini haulipi. ebu ona kauli yako maana yake 'paroko Slaa, Sheikh lipumba,Mchawi Kikwete. Kumbe ndio maana anaitwa dokta, mambo ya kina maji marefu.

MWAMBIE BANA, jina lenyewe ngurudoto mali za waheshimiwa, labda ana cheo huko.
 
Hisia, Hisia, Hisia Tanzania..Tuna Watu wawili, watatu Kupewa nafasi ya Urais 2010, Kupima ndio Usaili Tutumia Demokrasia..Ukitaka Kusema Nyerere na Kikwete nani Bora Kiuongozi, rekodi ya Nyerere iko viwango (sio mjadala)..

Mfumo wetu TZ umetupa Jakaya Kikwete, Dr. Wilbroad Slaa, Prof. Lipumba...Atapewa Mtu mmoja hapo Urais, ukienda CV wise, Slaa Haitwi kwenye Usaili sababu BACKGROUND "NOT FOUND", sio kashfa, Hatujui tu..Prof. Lipumba kaomba Hii kazi ya Urais mara nne, ila ataitwa kwenye Usaili aliwahi kuwa Mshauri wa Rais wa Uchumi. nae atashindwa.

Uzoefu sio swala la Watanzania tu, Dunia Nzima huuliza Experience!! The End of the day: Busara itashinda Hisia

CV ina vipengele viwili muhimu yaani Elimu (Education qualification) na uzoefu (Experience). Kielimu Dr Slaa (PHD), Kikwete (Degree ya kwanza + ?Honorary degree). Experience inayotakiwa ni ya kisiasa siyo ya kiutendaji. Political experience Dr. Slaa (Mbunge 15 yrs), Kikwete (waziri +Raisi). Utendaji serkalini una husisha wataalamu wa sekta mbalimbali na zingine ni technical, haiwezekani raisi kuwa mjuzi wa utendaji wa sekta zote labda awe Idd Amin. Mimi nilimwona Kikwete alipofungua mtandao wa fibre optic, eti yeye ndiye alikuwa anawaelezea waandishi wa habari na wote waliohudhuria jinsi mitambo hiyo inavyofanya kazi!! CRAP! Uzoefu (experience) wa wanasiasa ni sera zinazotekelezeka zenye lengo la kukomboa maisha ya watu kutokana na umaskini, ujinga na maradhi. Experience ya mwanasiasa ni jinsi alivyoweza kusimamia sera hizo na matokeo yake. Experience ya wanasiasa haipimwi na jopo la waajiri kwenye interview au na Ngurudoto bali inapimwa na wananchi wenyewe kwenye boksi la kura. Viongozi duniani waliopata nafasi ya kuongoza nchi zao walifanya hivyo siyo kwa experience ya utendaji bali sera walizosimamia: Nelson Mandela (RSA)- Prison to President kwa sera ya kuondoa ubaguzi, Tony Blair (UK) - lawyer to Labour leader to PM kwa sera ya new labour ya maisha bora kwa kila mwingereza, Baraka Obama (USA) senator to President kwa sera ya change we can believe in, Laira Odinga (Kenya) - mbunge to PM kwa sera ya maisha bora kwa wakenya wote, Morgan Tsivingarai (Zimbabwe) - Trade union leader to PM kwa sera ya haki na uchumi bora kwa wazimbabwe. JK Nyerere (Tanganyika) secondary school teacher to first PM and later President - kwa sera ya kuondoa ukoloni. Mifano ni mingi
 
Mbulu ya Diocese, kuna fit na hao Waheshimiwa uliowataja Mkuu..Mandela, Blair, Nyerere, Obama then Dr. Slaa in the same sentence..Nigga Please.
 
Back
Top Bottom