Wassira: Dk. Slaa ni kama Dereva Learner Kujaribu Ku-Drive Basi la Abiria!

Wasira afunge domo lake, huyu anatetea ufisadi tu, anajulikana yeye na kiringi chake ccm wamekuwa wakipeana trasportation and distribution tender zote za chakula cha ziada. Mtoto wa mkuu huchukua zote na kuzi subcontract kwa swahiba wake Saimon Group, fungu nyingine ni kwa mwenyekiti wa ccm mkoa Iringa maarufu kama Jah people trans, walala hoi wengine huambulia tani 50 au 100. tender ya over 1b Wassira and his gang suck it up, of course atasema chochote kutetea uhuo mlo. lakini ukweli ni kwama DR SLAA IS A REAL DEAL.
 
Dr. Slaa is playing loose with the facts...playing loose with facts ndio njia ya kistaarabu kusema "mtu ni mwongo"

cement 5,000/=, alipita na helikopta musoma akasema bwawa kubwa la maji la mifugo, kasema hilo lingejengwa kwa sh. Mil 35 tu...unajuaje kutoka juu gharama ni ndogo, populism ya kupandisha hisia za watu masikini..akiulizwa cv, kujitetea tu..

Oh, mbona obama, oh mbona kabila hakuwa na experience, oh nyerere aliingia wakati wa uhuru.. Kuweka slaa is not equal to obama, nyerere, kabila...hakuna achievement ya kumpeleka katika medani hiyo..bado na ndio miaka 62 na mchumba wake anayempenda wataoana ikulu mwakani...tumchangie harusi ya Slaa, ila akishindwa kutueleza uwezo wake kindakindaki, sio lazima urais wa Nchi hii, mwaka huu..Bado hajajibu hoja Mhe. Slaa..Sisi ndio waajiri wake, sisi ni waTZ
Usipandishe steam:
Cement: Unajua materials gani cement hutengenezwa na unajua gharama yake?? Chunguza; Mfuko Mmoja wa tani ya cement 42.5 50kg; kule China FOB ni Dollar 2. Hii bei ina-include 17% VAT; Transportation, warehosing, custom duties na handling charges zote. Kwa nini unadoubt maneno anayosema Dr. Slaa; fanya utafiti kwanza. Tanzania tuna gypsum kibao, Limestone; makaa na gas piga hesabu.

Nashindwa kuelewa kuan watu either wananufaika na utawala mbovu tulionao; au la nao ndiyo wamesoea tabu; mana nimegundua kuwa hata kuzoea taabu na ujinga ndiyo vimetufanya watanzania tufike hapa!!
 
Tafadhali, habari ya Mwaka Sitini na Moja dunia hii ya leo jamani..Dr. Slaa ni mlipua mabomu, Hana Track Record Tujue atatupeleka Wapi TZ.. MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI...TYSON NI SAHIHI HAPA: CV YA UTENDAJI WA SLAA NI MUHIMU SANA TZ..USHABIKI ASIDE!
matahila wengi nchi hiiii
 
Ndio Hisia + Pumba...Dr. Slaa hasemi atafanyaje mfuko wa Cement uwe Tsh. 5,000/=.. Show us experience aliwahi kufanikisha hilo wapi, lini?

Perform a task so we can know your capable of achieving..Otherwise, Mageuzi Tanzania bado kama Dr. Slaa is one of TZ best..more info please

we ndo ile hoteli ambayo kikwete alikwenda kuwafunda mafisadi? ooh no I mean mawaziri?
 
Kauli ya uyu mzee ni kuwa kama Slaa atagombea mwaka 2015 CCM watakuwa hawana mgombea mwenye uzoefu bse am sure ataibuka mmojawapo kutoka katika genge la mafisadi.
Alafu uyu dingi naona mpaka aambiwe staafu ngoja atakuja umbuka siku kama JOHN S.MALECELA.
 
Nlisikia mkulu akisema miaka-5 ilikuwa ya kujifunza..
Sasa "uzoefu" unasaidia nini kama huo muda alikuwa akijifunza... na umaskini wetu ndo unazidi shika chati..
watasema tayali amejifunza, uraisi si wakujalibu!
 
kauli ya uyu mzee ni kuwa kama slaa atagombea mwaka 2015 ccm watakuwa hawana mgombea mwenye uzoefu bse am sure ataibuka mmojawapo kutoka katika genge la mafisadi.
Alafu uyu dingi naona mpaka aambiwe staafu ngoja atakuja umbuka siku kama john s.malecela.
mzee ananiboa kweli yule hovyo kweli! Kweli siraha kawanyima usingizi ndo maaana jk anaongea utafikiri analia!
 
salutation honourable
first name: Dr. Wilbrod
middle name: Peter
last name: Slaa
member type: Constituency member
constituent: Karatu
political party: Chama cha demokrasia na maendeleo
office location: P.o. Box 119, karatu - arusha
office phone: +255 784 666995
ext.:
Office fax: +255 22 2668866
office e-mail: wslaa@parliament.go.tz
member status: Current member
start date: 28 december 2005
end date: 30 august 2010
date of birth 29 october 1948

educations
school name/location course/degree/award start date end date level
st. Thomas aquinas university advanced diploma in rural development 1980 1981 adv diploma
transworld tutorial college, london certificate in management 1985 1985 certificate
kwermusl primary school(mbulu) primary education 1958 1960 primary
daudi primary school primary education 1961 1961 primary
karatu primary school primary education 1962 1965 primary
dung'unyi seminary school o-level education 1966 1969 secondary
itaga seminary school a-level education 1970 1971 high school
kibosho seminary school certificate in philosophy 1972 1973 certificate
st. Urban university, rome phd (jcd) law 1977 1981 phd
kipalapala seminary certificate in theology 1974 1977 certificate
international eye h. Centre certificate in eye health 1993 1993 certificate



employment history
company name position from date to date
tanzania society for blind managing director 1992 1998
tanzania episcopal conference secretary general 1985 1991
diocese of mbulu development director 1982 1985
diocese of mbulu vicar general 1982 1985
diocese of mbulu development director 1977 1979
diocese of mbulu - roman catholic church padre 1977 1991
political experience
ministry/political party/location position from to
chadema secretary general 2002
chadema vice chairman 1998 2002
chadema member of parliament (karatu constituency) 1995 todate
chadema member of national executive committee 1995 -
chama cha mapinduzi - ccm secretary foreign branch(rome) 1980 1982
youth union -tanu secretary 1974 1977
tanu chairman (kipalapala branch) 1974 1977
publications
description published date
no items on list

special skills
skill name or description years experience acquired through skill level
no items on list

recognitions
recognition type recognition date reason action taken issued by
no items on list


cv ya slaa hiyo hapo!!!!!
ya jk je hujui kama alikuwa na pass chuo!?????
 
Tafadhali, habari ya Mwaka Sitini na Moja dunia hii ya leo jamani..Dr. Slaa ni mlipua mabomu, Hana Track Record Tujue atatupeleka Wapi TZ.. MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI...TYSON NI SAHIHI HAPA: CV YA UTENDAJI WA SLAA NI MUHIMU SANA TZ..USHABIKI ASIDE!
Kwa hiyo mpaka uwe rais kwanza ndo uchaguliwe?
Kikwete ana CV gani ya utendaji mahiri?.........atuongelei kuwa waziri peke yake inamfanya mtu apate uzoefu.......lazima utende na unayoyatenda yaonekane.
Yataje aliyoyatenda Kikwete akiwa waziri.

1) Hakuna
2)Hakuna
3)Hakuna
 
Tafadhali, habari ya Mwaka Sitini na Moja dunia hii ya leo jamani..Dr. Slaa ni mlipua mabomu, Hana Track Record Tujue atatupeleka Wapi TZ.. MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI...TYSON NI SAHIHI HAPA: CV YA UTENDAJI WA SLAA NI MUHIMU SANA TZ..USHABIKI ASIDE!

Hivi track record ya JK ilkoja na ilikuwaja kabla ya 2005. Kuna mzee mmoja alisoma na JK UDSM alimsifia sana kuwa ana karama ya uongozi na aliionyesha toka akiwa chuo. Mimi nilimpinga sana nikasema time will tell. Hivi sasa huyu bwana hataki hata kumsikia JK. Nafikiri kwa vile tu si rafiki yake wa karibu ila wangekuwa karibu huyu bwana nafikiri asingeongea na JK tena.
59360.jpg
 

Attachments

  • 63078.jpg
    63078.jpg
    29 KB · Views: 31
Usipandishe steam:
Cement: Unajua materials gani cement hutengenezwa na unajua gharama yake?? Chunguza; Mfuko Mmoja wa tani ya cement 42.5 50kg; kule China FOB ni Dollar 2. Hii bei ina-include 17% VAT; Transportation, warehosing, custom duties na handling charges zote. Kwa nini unadoubt maneno anayosema Dr. Slaa; fanya utafiti kwanza. Tanzania tuna gypsum kibao, Limestone; makaa na gas piga hesabu.

Nashindwa kuelewa kuan watu either wananufaika na utawala mbovu tulionao; au la nao ndiyo wamesoea tabu; mana nimegundua kuwa hata kuzoea taabu na ujinga ndiyo vimetufanya watanzania tufike hapa!!
Ikiwa Wasira na wenzake hawaamini mfuko wa cement unaweza kuuzwa Tsh 5,000 basi tutegemee nini kutoka kwa viongozi hawa wenye uzoefu..
 
“Slaa huyu hajawahi kushika wadhifa wowote ule wa kiutendaji, hata uofisa utendaji wa kijiji ili tumwone anavyoamua mashauri mbalimbali yanayomfikia. Leo tumpe kura za urais?


“Ndugu wananchi ubunge siyo utendaji, ni uwakilishi tu. Unazidiwa na utendaji wa kijiji na kata ndio maana hawa wanaamua kesi mbalimbali tofauti na mbunge, na unaweza kukaa bungeni muda wote wewe ni kusinzia tu,” alisema Wasira.


“Huyu ndiye rais anayefaa. Amejaribiwa kwa nyadhifa mbalimbali na zote alifanya vizuri. Hata tulipomkabidhi nchi mwaka 2005 ameiwezesha kubakia katika hali yake ya amani na utulivu. Tumpe kura zetu,” alisema.


Huyu Mzee naye mbona anataka kutuchanganya huyu jamani? Asitukumbushe anavyosinzia bungeni mwenyewe kwani huwa hatumwoni?? ni mzee wa kusinzia mwanzo hadi mwisho. Tena asitudanganye kabisaaaaaaaa!!!!! Dr. Slaa amekuwa mwenyekiti wa kamati nyeti bungeni ni mabo mangapi kayaamua katika nafasi yake hiyo? kama ubunge unazidiwa na utendaji wa kijiji au Kata kwa nini hili lizee halijaomba kupewa hizo nafasi linakaa linang'ang'ania kurudi bunge na uzee wote huo!! KWENDA ZAKO HUKO!!!!

Wa-TZ kura zetu kwa Dr. Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 
miaka 75 ya babu yako...you my friend, are playing loose with the fact(mwongo wewe)!! Like dr. Slaa, angalia website ya bunge, stephen masatu wassira kazaliwa mwaka 1945, dr. Slaa 1948...kizazi hicho hicho tu!! Wasira mchumi, slaa paroko.

Sasa nani ana mawazo zaidi kitaaluma...sio kubwabwaja tu!!

Na wewe usituletee mambo yako ya kizamani hapa umri uliochakachuliwa ndo unatuambia hapa?? nani kakudanganya kwamba kazaliwa 1945? Thubutu!!!!!!!! Mtu wako mchumi nini kaifanyia nchi hii na uchumi wake? Bunda kwenyewe kunamwakia mwaka huu lazima abwage manyanga!!!!!!!! tangu leo elewa kwamba Wassira ni babu yako wewe kama ulikuwa hujui! habari ndo hiyo!!!!!!
 
Kipi..Kafanya nini akiwa Mbunge Bwana? Utendaji wa Serikali Kuu au Serikali za Mitaa, SLAA NI STRANGER--HATA WEWE HUJUI..Hisia Hizi!!

hebu nyamaza bwana huna lolote la kutuambia Pumba tupu unazomwaga hapa!!! Fuatilia kamati ya bunge iliyoongozwa na Dr. Slaa utajua ni nini walichokifanya!! Slaa JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU JUU ZAIDI YA KIKWETE
 
“Ndugu wananchi ubunge siyo utendaji, ni uwakilishi tu. Unazidiwa na utendaji wa kijiji na kata ndio maana hawa wanaamua kesi mbalimbali tofauti na mbunge, na unaweza kukaa bungeni muda wote wewe ni kusinzia tu,” alisema Wasira.

QUOTE]

jamani wasira ni mmoja wa wabunge wanaopenda kuuchapa sana bungeni naomba wale wenye picha wazipost
 
Salutation Honourable
First Name: Stephen
Middle Name: Masatu
Last Name: Wasira
Member Type: Constituency Member
Constituent: Bunda
Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location: P.O.Box 9153, Dar es Salaam
Office Phone: +255 754 447064
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: swasira@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start Date: 28 December 2005
End Date: 30 August 2010
Date of Birth 1st July 1945

EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Bariri Primary School Primary Education 1956 1959 PRIMARY
Nyambitilwa Middle School Primary Education 1960 1961 PRIMARY
Kisangwa Middle School Primary Education 1962 1963 PRIMARY
British Tutorial College O-Level Education 1964 1968 SECONDARY
American University Washington DC BA Economics & International Studies 1982 1986 GRADUATE
American University - Washington DC Masters of Public Administration (MPA) 1985 1986 MASTERS DEGREE
American University - Washington DC MA (Applied Economics) 1993 MASTERS DEGREE


EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Ministry of Agriculture, Food Security and Co-operatives Minister 5/12/2008
Parliament of Tanzania Member of Parliament - Bunda Constituency 2005 2010
Prime Minister's Office - Regional Administration & Local Govt. Minister 2/13/2008 5/12/2008
Siza Cold Storage Co. Ltd Managing Director 1996 2005
Parliament of Tanzania Member of Parliament - Bunda Constituency 1995 1996
Coast Region Regional Commissioner 1990 1992
Ministry of Agriculture and Livestock Development Minister 1989 1990
Ministry of Local Government Co-operatives and Marketing Deputy Minister 1987 1989
Plenpotential Embassy of Tanzania - Washington DC Minister 1982 1986
Mara Region Regional Commissioner 1975 1982
Ministry of Agriculture and Livestock Development Junior Minister 1973 1975
Parliament of Tanzania Member of Parliament - Mwibara Constituency 1970 1975
Community Development Assistant 1965 1967
Ministry of Agriculture, Food Security and Co-operatives Minister 10/17/2006 2/8/2008
Ministry of Water Minister 1/1/2006 10/16/2006
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Tanganyika African National Union - TANU District Executive Secretary 1967 1973

CV YA WASIRA HIYO HAPO!!! YEYE NA SLAA WOTE WALIKUWA TANU, CCM...NI KAZAZI HICHO HICHO..SASA MAWAZO MAPYA KUTOKA KWA SLAA KULIKO WASSIRA YANATOKA WAPI...CV YA MGOMBEA NI DINI, DINI, DINI TU AMBAYO SIDHANI NI SIFA KIUTENDAJI WA SERIKALI

Duh jamaa ana bonge la CV. Ila ni mla rushwa mkubwa! Waulize wahingi wa MUKPAR, kampuni ya inputs za kilimo walivyokuwa wanampelekea briefcases za pesa ili afanikishe mambo yao. Hakuna msafi ndani ya CCM.
 
Ni metaphor nzuri!

Waliopata urais baada ya uzoefu wametufikisha wapi? Kwanza hata uzoefu si lazima iwe katika aina ile ile ya kazi hasa kwa swala la uongozi. Yeyote aliyewahi kuwa kiongozi wa kundi la watu au jamii ya watu anao huo uzoefu. Au kuwa na uzoefu wa kuongo lazima uwe umipitia jeshi au uandishi wa habari? Kwa mawazo kama ya mwenzetu huyu TZ itazidi kudidimia.
 
Back
Top Bottom