Wassira awaonya UVCCM Arusha 'ni uhaini kuongelea urais'

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Wassira juzi alianza mchakato wa vikao vinavyowashirikisha viongozi na baadhi ya makada wa chama hicho wa wilaya na mkoa wa Arusha, kwa kuonya kuwa "ni uhaini kuzungumzia urais wakati huu ambao Rais Jakaya Kikwete hajamaliza muda hata mwaka mmoja kati ya mitano ya awamu yake ya pili na ya mwisho ya uongozi".

Habari zilizopatikana kutoka ndani ya kikao hicho zilisema, licha ya kuelezwa kuwa ni uhaini kuzungumzia nafasi hiyo kwa sasa, pia vijana hao waliambiwa kwamba hoja hiyo inatumiwa na watu wenye malengo binafsi kwa nia ya kuwagawa wana CCM.

Hata hivyo, inasemekana baadhi ya wajumbe wa Baraza la Vijana wilayani humo wanadaiwa kufurumusha makombora mazito ndani ya kikao cha juzi wakituhumu viongozi wao kwamba ndio chanzo ya mgogoro mkoani hapa.

Mmoja wa vijana hao alinukuliwa akitoa kauli nzito mbele ya Wassira katika kikao cha juzi, akiwatuhumu baadhi ya viongozi kwamba wao ndio chanzo cha mgogoro unaofukuta huku akisisistiza kuwa wanaendeleza sera ya kutaka nchi na CCM visitawalike kwa maslahi yao binafsi.
 
Huyo mzee kama ni kweli amesema hivyo inabidi apumzike sasa uwezo wake wa kufikiri na kutend utakuwa umeshafikia kikomo. Yaani JK mwenyewe tunaambiwa alijiandaa miaka 10. Na wote tuliona harakati zake five yrs before elections, ulikuwa ni uhaini ule???????
 
Tatizo la uvccm Arusha linakuzwa,kuratibiwa na kusimamiwa na EDO, na kama ccm hawatamvua gamba mapema wajue hawafika mbali,imeanzia Arusha lakini lengo ni kusambazwa nchi nzima kwa ajili ya kuutafuta u RAIS 2015.

Huyu Edo nadhani kuna pesa alikopo mwaka 2005 kwa ahadi kwamba atazirejesha atakapoingia Ikulu,sasa anahaha kutaka kuingia ikulu.

Ila huo mvurugano wao ni furaha kwa cdm kwani sasa ndiyo wakati wa kuzidi kujijenga ifikapo 2015 wachukue dola,vita vya panzi furaha ya kunguru!
 
Tatizo la uvccm Arusha linakuzwa,kuratibiwa na kusimamiwa na EDO,na kama ccm hawatamvua gamba mapema wajue hawafika mbali,imeanzia Arusha lakini lengo ni kusambazwa nchi nzima kwa ajili ya kuutafuta u RAIS 2015.

Huyu Edo nadhani kuna pesa alikopo mwaka 2005 kwa ahadi kwamba atazirejesha atakapoingia Ikulu,sasa anahaha kutaka kuingia ikulu.

Ila huo mvurugano wao ni furaha kwa cdm kwani sasa ndiyo wakati wa kuzidi kujijenga ifikapo 2015 wachukue dola,vita vya panzi furaha ya kunguru!
Edo na Kikwete hawakukutana barabarani hayo ni makubaliano yao kuwa baada ya Kikwete ni EL tatizo linakuja baada ya JK kutaka kumzidi mwenzake ujanja.
 
Na hapo ndipo mvunjano ulipo, mwaka 2000, Edo alipoahirisha ghafla kugombea uraisi wakati alishachukua fomu,ilikuwa ni makubaliano m.kwere akimaliza ngwe yake yeye ndo achukue ngwe.
 
Wassira juzi alianza mchakato wa vikao vinavyowashirikisha viongozi na baadhi ya makada wa chama hicho wa wilaya na mkoa wa Arusha, kwa kuonya kuwa "ni uhaini kuzungumzia urais wakati huu ambao Rais Jakaya Kikwete hajamaliza muda hata mwaka mmoja kati ya mitano ya awamu yake ya pili na ya mwisho ya uongozi".

Habari zilizopatikana kutoka ndani ya kikao hicho zilisema, licha ya kuelezwa kuwa ni uhaini kuzungumzia nafasi hiyo kwa sasa, pia vijana hao waliambiwa kwamba hoja hiyo inatumiwa na watu wenye malengo binafsi kwa nia ya kuwagawa wana CCM.

Hata hivyo, inasemekana baadhi ya wajumbe wa Baraza la Vijana wilayani humo wanadaiwa kufurumusha makombora mazito ndani ya kikao cha juzi wakituhumu viongozi wao kwamba ndio chanzo ya mgogoro mkoani hapa.

Mmoja wa vijana hao alinukuliwa akitoa kauli nzito mbele ya Wassira katika kikao cha juzi, akiwatuhumu baadhi ya viongozi kwamba wao ndio chanzo cha mgogoro unaofukuta huku akisisistiza kuwa wanaendeleza sera ya kutaka nchi na CCM visitawalike kwa maslahi yao binafsi.

katika miaka ya sabini ambapo rais wa Kenya akiwa Jomo Kenyatta aliyekuwa amezeeka sana na afya yake ilikuwa haitabiriki, baadhi ya wabunge wa kikikuyu Kenya waliona wazi kuwa Kenyata angeweza kurudisha faili wakati wowote na walikuwa na wasiwasi kuwa huenda hali hiyo ingeweza kumfanya makamu wa rais wakati huo, yaani Daniel Arap Moi, ambaye hakuwa mkikuyu kutawala.

Kwa hiyo wakawa wanapanga kuweka sheria inayoondoa uwezekano wa makamu wa rais kuwa rais moja kwa moja baada ya rais aliyepo madarakani kufariki. Hata hivyo, waziri wa sheria wakati ule aliyekuwa Charles Njonjo alitaka yeye ndiye awe rais baada ya Kenyatta.

Kwa hiyo akawa ameplani kuwa kuwa Moi awe Rais wa muda, kusudi yeye atumie uwezo wake kisheria, kifedha, na zile connection alizokuwa nazo kwenye jamii ya wakikuyu kumwondoa Moi madarakani kirahisi na kuyachukua madaraka yale yeye mwenyewe.

Unfortunately, trick yake ilikwama na kufutika kabisa katika siasa za kenya kupitia kampeini iliyofanwa na Moi ya kumwita TRAITOR.

Baada ya stori hiyo iliyotokeza takriban miaka 35 iliyopita huko kenya, ndipo napenda kuunganisha maneno yaliyotolewa na Mheshimiwa Wassira na yale yaliyotolewa na Charles Njonjo:

Njonjo alizimisha mjadara wa bunge kuhusu urithi wa kiti cha uraisi akisema: "It is treasonous to speculate the president's death"

Wasira anataka kunyamazisha mjadara wa urithi wa kiti hicho miaka minne ijayo akisema: "ni uhaini kuzungumzia urais wakati huu ambao Rais Jakaya Kikwete hajamaliza muda hata mwaka mmoja kati ya mitano ya awamu yake ya pili na ya mwisho ya uongozi"

Waafrika tuna matatizo gani na uraisi?
 
Huyo mzee kama ni kweli amesema hivyo inabidi apumzike sasa uwezo wake wa kufikiri na kutend utakuwa umeshafikia kikomo. Yaani JK mwenyewe tunaambiwa alijiandaa miaka 10. Na wote tuliona harakati zake five yrs before elections, ulikuwa ni uhaini ule???????
Japo sina hakika na umri wake, lakini ni kweli amefikia stage ya mind incapacitation, anatakiwa ajipumzikie ajilie pensheni yake salama huku akiwasimulia wajukuu hadidhi za enzi zake za u tyson.
 
Tatizo la uvccm Arusha linakuzwa,kuratibiwa na kusimamiwa na EDO,na kama ccm hawatamvua gamba mapema wajue hawafika mbali, imeanzia Arusha lakini lengo ni kusambazwa nchi nzima kwa ajili ya kuutafuta u RAIS 2015.

Huyu Edo nadhani kuna pesa alikopo mwaka 2005 kwa ahadi kwamba atazirejesha atakapoingia Ikulu,sasa anahaha kutaka kuingia ikulu.

Ila huo mvurugano wao ni furaha kwa cdm kwani sasa ndiyo wakati wa kuzidi kujijenga ifikapo 2015 wachukue dola,vita vya panzi furaha ya kunguru!

Maarko, tuache chuki binafsi dhidi ya watu, ukiondoa majungu dhidi ya EL, jamaa angekuwa rais bora mara 100 ya JK, tuache ushabiki, tende moro practical, JK ni rais msemaji, EL angekuwa rais mtendaji na kama bado angekuwa yeye ndie PM, amini usiamini tusingefika hapa tulipofika!, dola ndio hiyo inakwenda 2000.

Juzi juzi nikiwa nyumbani ilikuwa 1,500 kuna mtu akanituma nimnunulie kitu nje, huyo mtu wa kijijini akadeposi TS kwangu, muda wa huo mzigo ndio sasa, najifikiria, unaanzia wapi kumweleza yule mzee wa kijijini kuwa ile pesa haitoshi, inabidi mimi ndio nibebe hiyo inflation, huu mfumuko utakaotokea kuanzia sasa, ndio mtaelewa wale wanaomkubali EL tunamaanisha nini.

Walipotangaza tuu kuvuana magamba, niliuliza RACHEL wavuliwe magamba kwa makosa gani?. La pili nilisema Hata JK hana ubavu huo mbele ya EL, subirini kazi ya TB Joshua itamaliza kila Kitu, rais 2015 lazima atoke Kaskazini.

Hivi karibuni nitajiunga rasmi CCM kwa kazi moja tuu, kupiga debe au EL, au Membe ndio lazima apitioshwe mgombea wa CCM ili urais 2015 utoke Kaskazini.
 
Wassira juzi alianza mchakato wa vikao vinavyowashirikisha viongozi na baadhi ya makada wa chama hicho wa wilaya na mkoa wa Arusha, kwa kuonya kuwa "ni uhaini kuzungumzia urais wakati huu ambao Rais Jakaya Kikwete hajamaliza muda hata mwaka mmoja kati ya mitano ya awamu yake ya pili na ya mwisho ya uongozi".

Habari zilizopatikana kutoka ndani ya kikao hicho zilisema, licha ya kuelezwa kuwa ni uhaini kuzungumzia nafasi hiyo kwa sasa, pia vijana hao waliambiwa kwamba hoja hiyo inatumiwa na watu wenye malengo binafsi kwa nia ya kuwagawa wana CCM.

Hata hivyo, inasemekana baadhi ya wajumbe wa Baraza la Vijana wilayani humo wanadaiwa kufurumusha makombora mazito ndani ya kikao cha juzi wakituhumu viongozi wao kwamba ndio chanzo ya mgogoro mkoani hapa.

Mmoja wa vijana hao alinukuliwa akitoa kauli nzito mbele ya Wassira katika kikao cha juzi, akiwatuhumu baadhi ya viongozi kwamba wao ndio chanzo cha mgogoro unaofukuta huku akisisistiza kuwa wanaendeleza sera ya kutaka nchi na CCM visitawalike kwa maslahi yao binafsi.
kumbukeni alishawahi kupitia NCCR na ukipita pale hutoki ukiwa timamu

we umesikia wapi mtu tena waziri mstaarabu ana historia ya kutandika watu akaitwa tyson, na kulala-lala bungeni
 
Mkuu sijakuelewa hapo
MTM, mimi chaguo langu kwa 2015, rais atoke Kaskazini, nitajiunga CCM ili nimpigie debe EL, kama ni kweli watamvua gamba, basi hasira zangu za kumkosa EL nazielekexza kumsupport Membe, amenifariji sana alivyomlilia Ghadaffi, ameonyesha ni mtu wa msimamo.

Lile jina la joka la mdimu, ni wale wanaomuonea wivu na kama Membe atakataliwa, basi tunaanzisha kampeni za kikabila iwe zamu ya Wasukuma, tunamtuma Chenge wetu chama chochote atakachojiunga, Wasukuma wote tuko nyuma yake.

Wasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa watu wengi tuko milioni 8, ikipigwa kampeni ya kikabila, lazima awe ni yeye!. Angalizo, itakuwa ni kampeni tuu ya kikabila, lakini sio utawala wa ukabila, Wasukuma hatuna ukabila wa kihivyo!

MTM haya ni machaguo yangu, kila mtu anaruhusiwa kuwa na chaguo lake!.
 
Japo sina hakika na umri wake, lakini ni kweli amefikia stage ya mind incapacitation, anatakiwa ajipumzikie ajilie pensheni yake salama huku akiwasimulia wajukuu hadidhi za enzi zake za u tyson.

huyo Mzee Ni hakuwahi kuwa Great thinker , ni wale waliokua wanasubiri Julius Nyerere afikiri na kuwatuma.
Anapata sana shida anapoona demokrasia inachanua.

Hicho anachoita uhaini ni matokeo ya Fikra za kihayawani na mtizamo mchundo ktk madaliko ya uhuru wa kujieleza.
Ni mbumbu wa sheria, bingwa wa matusi na mmbabe hata katika mambo yanayohitaji ufumbuzi wa Akili.
 
Maarko, tuache chuki binafsi dhidi ya watu, ukiondoa majungu dhidi ya EL, jamaa angekuwa rais bora mara 100 ya JK, tuache ushabiki, tende moro practical, JK ni rais msemaji, EL angekuwa rais mtendaji na kama bado angekuwa yeye ndie PM, amini usiamini tusingefika hapa tulipofika!, dola ndio hiyo inakwenda 2000. Juzi juzi nikiwa nyumbani ilikuwa 1,500 kuna mtu akanituma nimnunulie kitu nje, huyo mtu wa kijijini akadeposi TS kwangu, muda wa huo mzigo ndio sasa, najifikiria, unaanzia wapi kumweleza yule mzee wa kijijini kuwa ile pesa haitoshi, inabidi mimi ndio nibebe hiyo inflation, huu mfumuko utakaotokea kuanzia sasa, ndio mtaelewa wale wanaomkubali EL tunamaanisha nini.

Walipotangaza tuu kuvuana magamba, niliuliza RACHEL wavuliwe magamba kwa makosa gani?. La pili nilisema Hata JK hana ubavu huo mbele ya EL, subirini kazi ya TB Joshua itamaliza kila Kitu, rais 2015 lazima atoke Kaskazini.

Hivi karibuni nitajiunga rasmi CCM kwa kazi moja tuu, kupiga debe au EL, au Membe ndio lazima apitioshwe mgombea wa CCM ili urais 2015 utoke Kaskazini!.

Mkuu Membe hatoki kaskazini!
 
MTM, mimi chaguo langu kwa 2015, rais atoke Kaskazini, nitajiunga CCM ili nimpigie debe EL, kama ni kweli watamvua gamba, basi hasira zangu za kumkosa EL nazielekexza kumsupport Membe, amenifariji sana alivyomlilia Ghadaffi, ameonyesha ni mtu wa msimamo. Lile jina la joka la mdimu, ni wale wanaomuonea wivu na kama Membe atakataliwa, basi tunaanzisha kampeni za kikabila iwe zamu ya Wasukuma, tunamtuma Chenge wetu chama chochote atakachojiunga, Wasukuma wote tuko nyuma yake. aWasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa watu wengi tuko milioni 8, ikipigwa kampeni ya kikabila, lazima awe ni yeye!. Angalizo, itakuwa ni kampeni tuu ya kikabila, lakini sio utawala wa ukabila, Wasukuma hatuna ukabila wa kihivyo!

MTM haya ni machaguo yangu, kila mtu anaruhusiwa kuwa na chaguo lake!.

Its too early for me as i would wait until November 2014 (Inshallah) to make my decision coz I am seeing neutrals to benefit more kwenye uchaguzi ujao kuliko walioegemea chama

wait for huge changes in the whole political arena
 
Pasco, ukabila tena? Vijana wa CCM wana kazi, manake kutwa kufunikwa mablanketi wasilione jua!
 
Kuna mtu aliambia eti WASIRA ANAJIANDAA KUGOBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM! NINAKSHANGAA NA NIKAMWABIA NI VIZURI MKWAMWAMBIE UKWELI KUWA HAFAI NA HATA HIVYO UMRI WAKE UTAKUWA MKUBWA MNO.

LAKINI PIA MEPROVE KUWA KAMA DIKITETA KWA NAFASI ALIYOPEWA HAIUJI VIZURI ANZANAI NI YA CHAMA , YEYE NDIYE WAZIRI ANEPASWA KULTEA MAELEWANO LAKINI ANALETA VIJEMBE NA CHUKI.

NINADHANI ANAKUJA MGOMBEA WA CCM BUT ATAKUWA CHINI YA 47 YEAR OLD NA ANAWEZA KUKUBALIKA!
 
Edo na Kikwete hawakukutana barabarani hayo ni makubaliano yao kuwa baada ya Kikwete ni EL tatizo linakuja baada ya JK kutaka kumzidi mwenzake ujanja.
kwasababu Kikwete ni kigeugeu na ni mrahisi kuwageuka marafiki zake kwa maslahi binafsi na sifa binafsi, EDO ameshaliona hilo, hivyo anaanza kujipanga kivyake, akijua kwamba kikwete anaweza kumtosa kwa gia ya ''wajumbe wameamua'' sio mimi.

go EDDO go......endelea kuwavuruga ili udhaifu wa uongozi wa JK uonekane hata ndani ya chama chake.
 
Tatizo la uvccm Arusha linakuzwa,kuratibiwa na kusimamiwa na EDO,na kama ccm hawatamvua gamba mapema wajue hawafika mbali,imeanzia Arusha lakini lengo ni kusambazwa nchi nzima kwa ajili ya kuutafuta u RAIS 2015.Huyu Edo nadhani kuna pesa alikopo mwaka 2005 kwa ahadi kwamba atazirejesha atakapoingia Ikulu,sasa anahaha kutaka kuingia ikulu.
Ila huo mvurugano wao ni furaha kwa cdm kwani sasa ndiyo wakati wa kuzidi kujijenga ifikapo 2015 wachukue dola,vita vya panzi furaha ya kunguru!

Jamaa alishaweka mitandao mpaka wilayani huku kanda ya ziwa asha maliza kabisa hakuna mwana Magamba anaye taja jina la JK huku kama mwenyekiti ajaye bali ni EL na urais vyote kwa pamoja jamaa lipo na wafuasi wazuri na wengi ndani ya NEC yao na ss ana deal na zones kwanza.
 
MTM, mimi chaguo langu kwa 2015, rais atoke Kaskazini, nitajiunga CCM ili nimpigie debe EL, kama ni kweli watamvua gamba, basi hasira zangu za kumkosa EL nazielekexza kumsupport Membe, amenifariji sana alivyomlilia Ghadaffi, ameonyesha ni mtu wa msimamo. Lile jina la joka la mdimu, ni wale wanaomuonea wivu na kama Membe atakataliwa, basi tunaanzisha kampeni za kikabila iwe zamu ya Wasukuma, tunamtuma Chenge wetu chama chochote atakachojiunga, Wasukuma wote tuko nyuma yake. aWasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa watu wengi tuko milioni 8, ikipigwa kampeni ya kikabila, lazima awe ni yeye!. Angalizo, itakuwa ni kampeni tuu ya kikabila, lakini sio utawala wa ukabila, Wasukuma hatuna ukabila wa kihivyo!

MTM haya ni machaguo yangu, kila mtu anaruhusiwa kuwa na chaguo lake!.
Pasco bana! Kwa hiyo umeamua kwamba uchaguzi ujao uwe wa kikanda au kikabila?

Mkuu, huwezi kutaka rais awe msukuma kwanza ili apigiwe kura na wasukuma wengi then, awe rais wa wote, haiwezekani. Lakini pia, ''the idea'' kwamba mgombea akiwa anatokea usukumani, basi atapigiwa kura na wasukuma wote bila kujalisha anatokea chama gani sio sahihi sana.

Pamoja na hayo, naona bado unaamini kwamba mgombea bora na utakayemsupport atatoka CCM. Kuna miaka minne hapa........wait and watch
 
Sizipendi hizi rangi.........

article-2054262-0E8DD4DB00000578-284_964x707.jpg
 
Back
Top Bottom