Wassira awakana 'watoto wake' waliojiunga na CHADEMA...

hata kama ni wa kaka yake hajiulizi kwa nn wasijiunge na gambaz na wameamua kwenda gwandaz
Au ajiulize kwanini uwepo wake CCM na nafasi aliyo nayo haijaweza washawishi wajiunge gambaz matokeo yake wakazaa gwanda.
 
Ndiyo maana nimekuwa na-question sana busara za Mzee Wassira. Yeye angesema tu kuwa watoto wake ni watu wazima na wana uhuru wa kufanya lolote wanalotaka. Makongoro Nyerere alipojiunga na NCCR-Magezui na kuwa mbunge wa Arusha, baba yake Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa akiipigia kampeini CCM wakati huo alimpongeza kwa ushindi wala hakumkana.

Watoto wa kaka yake bado ni watoto wake pia, na wala asifanye interest zao kisiasa iwe ni chuki ya kuvunja undugu baina yao. Mzee huyu huwa ana visasi sana, sijui atawafanyaje kama kweli anaonekana kachukizwa na kitendo chao hicho.
 
Labda kaona wale hawana sura za kule mbugani!
Mandingo, bahati mbaya tu weekend ndio inaishia vinginevyo ningekununulia kinywaji! Ni kweli, hata ukiwaangalia akina Esther ni binadamu wakati Wassira ni sokwe aliyeko Magogoni kumfurahisha Mkwerre kila anapotoka ziara za ughaibuni. Wee unadhani ni kwanini kapewa uwaziri katika Ofisi ya Mkulu? Hujui kuwa huyo ni kivutio cha utalii cha Mzee?
 
Jamani, kuna mtu alishawahi kuonya dhidi ya kukosoa sura za watu. Hayo ni maumbile ambayo Mungu mwenyewe ameyaweka. Weye unayemponda Wasira, hebu weka picha yako tuione. Si ajabu unafanana na NDEZI. Mie ni CDM damu na huwa sipendi hoja za Wasira. Lakini, hebu fikiria mkewe na watoto wake wakisoma point zenu za kumkosoa mtu kutokana na maumbile; wanajisikiaje? Acheni bwana, onyesheni nguvu za hoja!
 
Ha ha ha ha ha aahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
Lakini nyieeeee.....LMAO!

Let me pop my french champaigne....LOL!, this's too good to be goin through while dry...LOL!
 
Ndiyo maana nimekuwa na-question sana busara za Mzee Wassira. Yeye angesema tu kuwa watoto wake ni watu wazima na wana uhuru wa kufanya lolote wanalotaka. Makongoro Nyerere alipojiunga na NCCR-Magezui na kuwa mbunge wa Arusha, baba yake Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa akiipigia kampeini CCM wakati huo alimpongeza kwa ushindi wala hakumkana.

Watoto wa kaka yake bado ni watoto wake pia, na wala asifanye interest zao kisiasa iwe ni chuki ya kuvunja undugu baina yao. Mzee huyu huwa ana visasi sana, sijui atawafanyaje kama kweli anaonekana kachukizwa na kitendo chao hicho.

you are the G.thinker
 
huyu mzee jamani, bora angebaki kimya kabisa na hata asingeita media kuongelea jambo hili,nadhani mshituko wake ni kuwa hakutegemea ndg.wa karibu na yeye angekuwa mpinzani wake, ninaamini kabisa wale mabinti walipokabidhiwa kadi hawakusemwa kuwa ni watoto wa Stephen au George Wasira, wao walisemwa kuwa ni watoto wa Wasira (kwa maana jina la ukoo - Wasira), na hata yeye mwenyewe amesema Wasira ni jina la Ukoo and wapo (akina Wasira) wengi.
Wasira amepata mshituko tu wa kushangaa watoto wa kaka zake nao wamestukia usanii wa CCM ambayo baba yao mdogo ni kiongozi wake (anaogopa kujibu swali la wanaBunda kuwa mbona hata watoto wako (ukoo wako) unakupinga na wameenda chama pinzani?).
Hivi huyu Wasira si na yeye alikwenda NCCR-Mageuzi na ndg zake wangine akina George, walibaki CCM, sasa anapanic nini? Namhurumia kwa kukana "mila na na desturi za watu Mara" ambazo huwa hazina ukomo wa undugu hata kwa vizazi 10 vilivyopita (undugu wa kutafutana unakubalika)sasa sembuse hawa watoto wa kaka yake? Watu wa Mara hawana uzungu huo? kwa mila na desturi hizo Wasira bado hajajitoa, Wasira atabaki salama kwa hili iwapo hao mabinti watarudisha kadi za CDM na kuchukua za chama cha Wasira
 
Jamani, kuna mtu alishawahi kuonya dhidi ya kukosoa sura za watu. Hayo ni maumbile ambayo Mungu mwenyewe ameyaweka. Weye unayemponda Wasira, hebu weka picha yako tuione. Si ajabu unafanana na NDEZI. Mie ni CDM damu na huwa sipendi hoja za Wasira. Lakini, hebu fikiria mkewe na watoto wake wakisoma point zenu za kumkosoa mtu kutokana na maumbile; wanajisikiaje? Acheni bwana, onyesheni nguvu za hoja!

Kwani uwongo?
 
nyuzi zilizoletwa hapa zilionesha wale watoto ni wa wasira kwa kuwazaa...lakini hapa inaonesha ni watoto wa kaka yake...
Huoni utafauti uliopo au waleta unazi tu

Ushabiki unapo ondoa uwezo wa kufikiri kazi mno,watu hawajakomaa bado,tatizo ni watu kuabudu vyama.
 
Slaa na yeye kakosea kuwakabidhi
hizo kadi mbele ya media.

kakosea nini sasa?Kila mtu ana usajili wake katika chama.Iwapo De Lima hakuona shida Cristiano kusajiliwa Madrid kwa kelele kubwa huku akiw ana Jina kama lake iweje wassira akatae watoto wa kakake aliyeona jua kwa jina hilo kabla yake?

Pia hiyo ni attack nzuri sana kisaikologia kwa CCM.Na reaction imeonyesha kuw aimefanikiwa sana.Tatizo la wassira haa kumbukumbu wala uelewa wa kutosha wa mambo.Alipokuwa Arumeru aliona Mkapa alivyo nyamazishwa kwa game kama hilo.
 
Hivi inakuwaje hadi mtu anajiunga na chadema??? Can't get it ... maana kuna millions of reassons hiki chama kina mrengo kwa manufaa ya watu wachache ... vyeo wanapeana kiuchumba, wadini , chama cha kikanda, nawashangaa sana wenye akili zao wakishabikia hawa wahuni .. any ways wanabahati jk ni mvumilivu ... ningekuwa mimi hiki chama kingebaki historia
 
CCM na CDM ni chama kipi cha kisultani wewe dada njiwa ?
 
Last edited by a moderator:
Asema si watoto wake ni ndungu wa ukoo wake,na kusena anawatambua kama watoto wa kaka yake

ITV HABARI

Na haya ndio mapungufu ya kitaaluma ktk vyombo vyetu vya habari. Ufafanuzi huu ulitakiwa ufanywe na chombo kilichotoa habari mara ya kwanza. Nasi tumeibgia mkenge kujadili?
 
Tusubiri mtoto wake atakapojiunga na CDM sijui atamkana?subiri tu maana hili ni wimbi sasa!!Masatu karibu CDM una haki zote na wajibu!
 
Amesema ni watoto wa kaka yake na wala si wake kama vyombo vya habari vilivyoripoti.SOURCE ITV HABARI

Yes ni watoto wa George B. M. Wasira ambae ni mmoja wa wauasisi wa CDM and proud to be!!!!!!!!!!! na sidhani kama kuna utata wowote ila hakuwa na sababu yeyote ya kusema hayo kwenye vyombo vya habari, hii inaonesha ni jinsi gani hawa viongozi wa CCM hawana majukumu ya kufuatilia. Nchi inaibiwa mnaenda mjukwaani kukanusha watoto wa kaka yako, Mungu akusamehe!!
 
Back
Top Bottom