Wassira awakana 'watoto wake' waliojiunga na CHADEMA...

Nadhani mliomsikiliza Wassira hamkumtendea haki kwani mmeleta sehemu ya vipande vipande ya aliyoyasema.

Nimejaribu kuunganisha vipande kadhaa vya kauli yake vilivyomo ktk uzi huu; inaonekana kuwa Mzee wa Gombe hakusema au hakukusudia kusema hayo ya "kuwakana" hao mabinti.

Tukumbushani tu. Ni vizuri tukawa waungwana na wakweli kwa kuweka kitu kamili ili tunapojadili basi tuwe kwenye mstari. Kwa mfano mdogo tu ukimsoma

RoU # 1"Adai sio watoto wake wanatumia jina la Wasira kama ukoo hana watoto kama wale. Na ametoa onyo kwa vyombo vya habari kuwa wameandika habari kwa lengo la kumchafua na kumtafutia kashfa na wakome"
NA

Ginner #73 ""wale ni watoto wa kaka yangu, kwaiyo ni wa ukoo wetu. na kwenye ukoo wetu hatukuwalea watu kwa misingi ya chama wala dini, wale watoto wanahaki ya kujiunga na chama chochote cha siasa"

Sote tuna mapungufu yetu, lakini tusichoke kujifunza na kujirekebisha

Kutumia jina Wassira ni kuchafuliwa? pengine yeye ndio anachafua jina la ukoo kwa negative publicity anayojenga.Jina hilo hana haki miliki nalo kwa vile ni mwanasiasa na waziri.Kwenye ukoo anaweza kuwa mtu mdogo sana na aibu ya hilo jina anaileta yeye.

Pia hayo maneno unayoyaweka kwa kuchambua ni uzushi mtupu ,kaanza kwa kuwakataa kabisa na kutowatambua.kabla ya kuja na madai mengine kuwa ukoo ni mkubwa...na kumalizia kuwa kuwa ni wa kaka yake.Sasa kama hawajui vipi tena akajua ni wa kakake?naona uantaka kuwa sahihi kuliko yeye mwenyewe.
 
Source Tbc 1

Adai sio watoto wake wanatumia jina la Wasira kama ukoo hana watoto kama wale. Na ametoa onyo kwa vyombo vya habari kuwa wameandika habari kwa lengo la kumchafua na kumtafutia kashfa na wakome

Hivi Wassira ana umaarufu gani mpaka vyombo vya habari kuweka mahojiano ya muda mrefu hivi. Watoto kujiunga na CDM hakuna chochote kibaya. Sasa anaanza kutisha na vyombo vya habari kwa lipi hasa
 
mbona ame wanyanyapaaa ndugu zake kweupe[waz] kwani ni kosa kisheria kujiunga na chadema? au ni dhambi? ni aibu kwa kiongoz mwenye dhamana ka Wasira ajui ni nini maana ya demokrasia
 
hata watoto wake wa kuzaa
alishawakana...baada ya kusababisha kifo cha mzee ndege kwa kumuoa mke
wake..wasira alihamishia kila kitu huko mpa leo wasir hatunzi wale
watoto wala kuwajulia hali......
hata mi nilitaka kushangaa iweje mabinti warembo wawe watoto wake wa kuzaa kumbe ni wa kaka yake.
 
Nadhani Wassira hakushauriwa vizuri.Yeye ni mdogo wake George baba na mama mmoja. Kulikuwa hakuna sababu ya kuzungumza na vyombo vya habari
 
jamani hawa siyo watoto ni watu wazima wana uwezo wa kufikiria kwa akili zao wenyewe ukilinganishwa na wengine wanaofikiria kwa kutumia akili au kichwa cha baba. hakuna mtu yeyote aliye na uwezo mzuri wa kufikiria sehemu serikali ya ccm ilipotufikisha akaona kuna haja ya kujiunga nao inabidi uruhusu akili ya mtu mwingine iingie akili mwako na uzibe mishipa yote ya common sense ndio ujiunge na CCM.
 
Yote tisa, kumi aliposema WAMKOMEEEEE!...:flame:...LOL! I didnt know if grown up, mature men and to make it even better...politician??!!! using that term :confused3:....ONLY IN TANZANIA GUYS!
 
Noo, tatizo ni watu kama nyie kulazimisha kuwa cdm wamekosea! Wassira kaikana damu yake! Mtoto wa kaka!

nyuzi zilizoletwa hapa zilionesha wale watoto ni wa wasira kwa kuwazaa...lakini hapa inaonesha ni watoto wa kaka yake...
Huoni utafauti uliopo au waleta unazi tu
 
What goes around comes around.Hii ndio balaa ya kuhusudisha watoto wa vigogo.Slaa anatakiwa kubadilika sasa na aache umbeya, inanishangaza sana Rais mtarajiwa anashindwa kupata taarifa za uhakika na kuona kama kuna haja ya kuita media ama lah.

Na sisi watoto tuwe na tabia ya kuwataja Wazazi wetu halisi hata kama ni ''wauza kuku'' ama mafundi ''viatu'' hii habari ya kutumia majina,bila kutofautisha ama kufafanua hasa pale inapobidi ni ''kaugonjwa'' kengine hapa Bongo.

mkuu umaarufu wa wasira haimaniishi ndio mmliki wa jina la ukoo. Kama mimi ubini wangu ni wasira nitalitaja sehem yoyote bila kujali tafsri ya watu.!!
 
Huyu mzee ndio alipaswa awe katibu mwenezi wa CCM, mbona ni ishu ndogo sana kuna ubaya gani hata wangekuwa watoto wake wa kuzaa kujiunga na CDM? kha! uzee mwingine unakuja na majanga kichwani.
 
nyuzi zilizoletwa hapa zilionesha wale watoto ni wa wasira kwa kuwazaa...lakini hapa inaonesha ni watoto wa kaka yake...
Huoni utafauti uliopo au waleta unazi tu

Kesha vichwa utambi mkiani kama samsom alivyowavisha mbweha moto huku kafunga mikia ili wakaaangamize shamba za ngano. Tayari yeye na mkapa wameshavishwa wakaichome CCM.Mbaya CCM hakuna wa kumkemea huyu mzee wala mkapa.uchaguzi ujao wakileta mdomo wa kuongea umoja na sijui na amani tayari wanajikuta wakiungua.
 
May be he was trying to translate the "bad" newz from swahili to english to swahili to make it a little better and not too bitter for himself to swallow....Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Cause technically in English language if they're his brother's kids they're really not his kids, they're just nephews and nieces, so people give him the benefit of the d...
 
Watoto wa kaka yake amedai eti sio wake, wakati mke wa boss wake amekuja na kauli mbiu ya mtoto wa mwenzio ni wako pia. sasa huyu jamaa anashindwa hata kutambua jambo dogo kama hilo.
 
hata kama ni wa kaka yake hajiulizi kwa nn wasijiunge na gambaz na wameamua kwenda gwandaz
 
Back
Top Bottom