Wassira Asema Marekebisho Ya Muswada Wa Katiba Unaorejeshwa Bungeni Ni Juhudi Zao

Hajamaliza evolution, achana nae, kwani bado nawashangaa watu wa Bunda kana kwamba hakuna mutu mwingine wa kuwawakilisha, mbuzi huyu, achana nae

Bora mbuzi ana faida kwa binadamu na mazingira kwa ujumla.Huyu Zinja ana faida gani. Umemsifu sana mkuu.
 
Mkuu, una uhakika wakati anaulizwa hilo swali na mwandishi hakuwa amelala?.........haaminiki huyu!!

wasira%2Bchapa%2Busingizi.jpg

Steven Wassira a.k.a TYSON,

HAPPY BIRTH TO YOU,HOW OLD ARE YOU??KATA POSHO TULE!

Nimeanza na kibwagizo cha Happy Birthday kwa Wassira maana hili zee sijui lina UMRI gani! Jitu likiambiwa ling'atuke ili likalee wajukuu,vitukuu na vilembwe halitaki! Sasa matokeo yake ndiyo haya KULALA TUUUU BUNGENI NA KULA POSHO YA TSHS.200,000/= BURE kwa siku.
 
Mkuu, una uhakika wakati anaulizwa hilo swali na mwandishi hakuwa amelala?.........haaminiki huyu!!

wasira%2Bchapa%2Busingizi.jpg

BIRIGITA!
Nje ya hii picha kuna nyingine inayoonyesha amelala, maana hii imetuchosha.
CHADEMA hawawezi kumpenda WASIRA kwakuwa anawanyima usingizi.
Halaaa!!!!
 
mkuu, una uhakika wakati anaulizwa hilo swali na mwandishi hakuwa amelala?.........haaminiki huyu!!

wasira%2bchapa%2busingizi.jpg
nasikia siku hizi wameachana na sitingi alawansi na wanakuja na slipingi alawansi. Hii ikiwa na kupewa mbu neti,VITANDA NK
 
Back
Top Bottom