Wassira amtupia dongo Mwigulu...

Eti mchumi mwandamizi wa dalaja la kwanza kutoka bot ngoja niache nisije nikakung'utwa ban na leo ndio ijumaa!!!!!!!!!!!!!!!
Hahahahaaa unakuwa kama umeingia sail leo jioni vile, ngoma mpaja j3 halafu karandinga linapita mapema kuwapeleka court
 
Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............


Unajua Mungu hampi binadamu kila kitu. Hata wakali wa kompyuta sura zao zinatisha, lakini mambo yao sasaaaaaa! Wasira alichokisema ni mfano mwingine pevu. Extraordinarily correct!
 
Kwani A nini kwa taarifa yake nchemba kule kwao CCM kuna jamaa yeye alipata A 8 O-level na A-level alipata A3 LAKINI JUZI KAFUKUZWA UWAZIRI KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA WIZARA YAKE.Wajanja wamepiga njuru kibao chini yake bila kujitambua so A hazina tija kinachotakiwa ni competence katika kufanya interpritation ya mambo ya kiutendaji na delivarabilty.
 
well said ......mzee wassira kawarejesha wapinzani kwenye mstari.

anasema kukopa sio kosa kosa ni namna unavyotumia mkopo.
Hakuna kitu kama hicho. Kukopa ni kosa kubwa sana hususan kwa serikali kama ya JK inayoendekeza mikopo. Kosa la bajeti ya kukopa ni kwamba serikali itakuwa busy inahangaika na kulipa madeni huku ikisahau shughuli za maendeleo.
Kingine serikali isiendekeze bajeti ya kukopa itafikia mahala wafanyakazi watashindwa hata kulipwa mishahara yao maana mkopo hauna guarantee tofauti na kukiwa na pesa taslimu
 
Hivi Kikwete naye si ni mchumi? Hivi yeye alipata daraja gani ?
Dah hilo swali gumu sana asee, mi najua aliwahi kuwa huko chamani kwetu ndio akapanda taratibu mpaka kufikia ngazi ya uprezidenti hayo ya daraja mi hata siyajui labda tuwaulize TCU.....Teh teh
 
Hapo hata waje wawakilishi toka mbinguni nchi hii,maendeleo itakuwa hatua mbili mbele tatu nyuma. ISSUE HAPA NI MUUNDO WA HALMASHAURI ZETU, NO BODY IS SAYING ANYTHING ABOUT IT.
madiwani hawana uwezo wa kusimamia rasilimali zinazopelekwa kwenye halmashauri. madiwani wanachowaza wao no posho tu, wachache wanaoweza kuzielewa technical report, kielimu ndo kabisa wamezidiwa na wanaowasimamia

Na watumishi wa Halmashauri ni DHAIFU mno. Kwa kweli uwezo wa kulifikisha taifa hili tunakotarajia hawana. Nenda Namtumbo, Liwale, Lindi, Kasulu etc. Kwa kweli ni DHAIFU. Bila watu makini hakuna maendeleo, hata uwe na raslimali kiasi gani. Serikali iwekeze katika kuvutia vipaji. Hali ilivyo sasa serikali haina uwezo wala nia ya kushindana na sekta binafsi kuvutia vipaji kufanya kazi serikalini. Watumishi wengi wa umma ni wale ambao hawawezi kushindana kwenye sekta binafsi. This is critical!
 
Miongoni mwa mambo aliyonifurahisha wassira, kwa sasa anajibu maswali bungeni kwa niaba ya serikali lakini kuna kipindi anaachana na karatasi lake analosoma na kushusha nondo kali kutoka kichwani na kutoa mifano kuonyesha kwamba sio mtu wa kuandikiwa na kusoma..... ameshusha nondo za uchumi hata mwiguru kaachwa mbali na mzee huyu..... hakika ni jembe kali.


wabunge wametulia kimya kwa busara ya juu wanamsikiliza mzee wassira.
Porojo zako na wassira zinafanana na jina lako!
 
Nchemba amewakoroga si CDM tu hata chama chake, kwa kweli sasa yuko matatani maana kauli zako zimekuwa harmful kwa chama chake.lazima apigwe chini ameonekana ni chizi

Kama ni vilaza CCM wamejaa. Unataja A wakati wana Degree feki.
Hapo sasa amegusa pabaya
 
Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............

This kind of reminding me the JKT times........ "Wewe unajifanya una degree siyo? Watu tuna Diploma hatusemi!"
 
This kind of reminding me the JKT times........ "Wewe unajifanya una degree siyo? Watu tuna Diploma hatusemi!"
Hahahahaaa mkuu MWEEN, hiyo imenifurahisha sana.........halafu ukishaambiwa hivyo ujue cha moto utakiona
 
Last edited by a moderator:
Hamna kitu huyo mzee simkubali tu gamba na msanii tu hamna lolote ashachoka na hana jipya 2015 awaachie jimbo vijana kama wakina Esther Bulaya akapumzike
 
Haya muda wa waziri wa fedha ndio umefika ila bahati mbaya wala hata simuamini huyu mzee kama asivyojiamini mwenyewe
 
[mwongozo;4099787]nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

siyo siri toka bunge la bajeti lilipoanza, ccm imefunika sn. chdm angalien mmejikwaa wapi! chdm hoi bin taaban]

mmmhhh mmmhhh
 
[mwongozo;4099787]nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

siyo siri toka bunge la bajeti lilipoanza, ccm imefunika sn. chdm angalien mmejikwaa wapi! chdm hoi bin taaban]

mmmhhh mmmhhh

Mh we ulikuwa unawatch Bunge la Iraq nini!
 
nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

siyo siri toka bunge la bajeti lilipoanza, ccm imefunika sn. chdm angalien mmejikwaa wapi! chdm hoi bin taaban

miaka 50 ya uhuru mtu anafikiria kama miaka 10 uhuru ccm ni janga la kitaifa.
 
Back
Top Bottom