Wassira amtaka Dr. Slaa aache kuita wake za watu chumbani!

IMG_1641.JPG
Juzi juzi hapa jamvini tulimshuhudia Makongoro Wassira anayeishi Marekani akikabithiwa kadi ya CDM
Na kwa kauli yake mweyewe akasema kuwa katika familia yao yeye ametangulia kujiunga CDM lakini wengine wengi watafuata nyayo na ni baba yake tu atakaye baki CCM.
Kwa makusudi kabisa Steven Wassira sikumsikia aseme lolote kuhusiana na mwanae kujiunga na CDM wala matamshi yake.
Cha ajabu hawa mabinti walipojiunga na CDM haraka akakimbilia kuwakana. Mbaya zaidi akaingiza mambo ya wivu kwa watu ambao kesha wakana as if wale ni wake zake,hapa naona tatizo ni kuwa mambo mtu anayoyafanya nakuyahusudu ndiyo huwa kichwani mwake kila kukicha kwa vile yeye anafanya upumbafu huo ofisini anadhani wote wanafanya hivyo mbona hajahoji sehemu Makongoro alikokabithiiwa kadi yake.
Lakini huyu mtu inabidi asamehewe bure si rahisi kujua hizo hoja zake anazitoa akiwa macho au amechapa usingizi kama vile mbung'o wanamwonea huyu babu kama anadiriki kuuchapa kisawasawa mjengoni sijui akiwa nje inakuwaje.
To be realistic the guy is nothing but a spent force we should not take him seriously.
 
Ha ha haaa, makubwa! Yani huyu Wassira kachanganyikiwa, manake mbona waandishi wa habari walikuwepo na pale ni ofisini?
 
Hizo ndio akili za wanaccm ! nikisema wanaccm wengi wao ni Vilaza na Hamnazo watu wanabisha humu.
 
Kulingana na gazeti la Majira leo tarehe 1/20/2012, Wassira alikuwa akijibu mapigo kwa jina lake kutumiwa na Dr Slaa katika kuwapa kadi wanachama waili wenye jina la Wassira.

Hiyo tarehe tajwa mbona haijakaa sawa, mwezi ishirini ndio upi huo?

Laana ya mzee Ndege itamtafuna milele!:A S 39:

Hiki ndicho kinamsumbua mzee wassira, anatambua kabisa jinsi alivyosaidia kuwahisha kifo cha mzee ndege na kupelekea kusambaratika kwa familia ile. Sasa anatafuta pahali pa kupumulia...
 
.... Waziri Wassira amemtaka Dr Slaa awe mwangalifu katka kutoa kadi za chama chake chumbani bila wadau wengine kuwepo..."Namtahadharisha Dkt Slaa kwani alichokifanya kinaweza kuleta mtafaruku katika ndoa za watu"
Aliyepiga picha alikuwa panya ama binadamu?
 
Hii habari imekaa ki Chit Chat zaidi!
Nani kakuambia ukurasa wa siasa ni boring?
Wakati mwingine ukurasa unafurahisha na kuchekesha, kama hivi vibabu.
Na ujumbe unakuwa umefika, with a light touch.
 
Sio kosa lake jamani,hawa viumbe wa gombe wamezoea kukaa porini na kuona miti sasa tofauti ya chumba na ofisi ataijuaje?wassira ni kituko wallah.
 
Kuna watu labda hamumfahamu vizuri Wassira, ni kwamba Wassira alipigika na maisha ile kisawasawa, sasa wakati JK ankwenda kuomba baraka kwa mama Maria Nyerere, Maria Nyerere alimwambia nakubali mwanangu uwe Rais ila usimuache Wassira anaadhirika.

Wengi hili hawalijui ila kwakuwa JF ni mkusanyiko wa watu wengi najuwa wapo watakaothibisha maneno haya, Wassira mpaka leo nina uhakika hawezi kukosa sugu kwenye bega lake la kulia maana baada ya kupigigika na maisha ilibidi awe mbeba mabegi ya mawakili ili na yeye apate pesa ya kula. kwahiyo sishangazwi na lolote kutoka kwa Wassira.
Mwanaume kuganga njaa ni wajibu.

Waswahili walisema, Tumikia kafiri upate ujira wako.
 
Katika kile sasa kinachoonekana kuwa bifu kali kati ya hawa wanasiasa waili wa umri mkubwa, Waziri Wassira amemtaka Dr Slaa awe mwangalifu katka kutoa kadi za chama chake chumbani bila wadau wengine kuwapo!!

Kulingana na gazeti la Majira leo tarehe 1/20/2012, Wassira alikuwa akijibu mapigo kwa jina lake kutumiwa na Dr Slaa katika kuwapa kadi wanachama waili wenye jina la Wassira.
Hata hivyo Nd Wassira alisema ndugu zake hao ambao ni watoto wa kaka yake,Lilian na Ester Wassira wana haki ya kujiunga na chama chochote cha kisiasa.

Ni kinukuu gazeti la Majira la leo, lina sema:

" Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Bunda,mkoani Mara, Bw Wassira alimshukia Dr Slaana kumtaka awe makini kuwaita wake za watu chumbanina kuwapa kadi bila maofisa wengine wa chama hicho kushuhudia tukio hilo."

Wassira aliendelea,

"Namtahadharisha Dkt Slaa kwani alichokifanya kinaweza kuleta mtafaruku katika ndoa za watu"

Wana bodi hili bifu sasa ni kali, lakini namii niliona lile jicho alilolikata yule binti mdogo mdogo kwenye TV, lilikaa kimahabuba, sijui pengine macho yangu.
imagejpeg

Nawapongeza CDM kwa kupata wanchama wazuri hivyo.

Duh, kazi kweli kweli, ngoja tusubiri nani ataibuka kidedea kati ya hawa wawili.
 
Hiyo tarehe tajwa mbona haijakaa sawa, mwezi ishirini ndio upi huo?

Hiki ndicho kinamsumbua mzee wassira, anatambua kabisa jinsi alivyosaidia kuwahisha kifo cha mzee ndege na kupelekea kusambaratika kwa familia ile. Sasa anatafuta pahali pa kupumulia...
Hivi yule mume mwenza wa SLAA yeye ana hali gani jamani?
 
Ha ha haaa, makubwa! Yani huyu Wassira kachanganyikiwa, manake mbona waandishi wa habari walikuwepo na pale ni ofisini?

mwandishi anaweza a kawa kwenye payroll ya babu.hakuna linaloshindikana dunia hii.inaonekana hapo sio ofisini.
 
View attachment 66757

Back
Top Bottom