WASSIRA akiri kuzomewa, fuatilia mahojiano ITV siku ya Jumatatu

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Waziri Wasira, kidume toka CCM. Mwenyeji wa Ikulu lakini kwa bahati nzuri naona mwenye nyumba ikulu hana mtoto mchanga manaake jamaa angetumika kama kinyamazisho cha mwana. Amekiri kuzomewa lakini katika maelezo yake anasema alizomewa na mlevi. Songa naye ITV Siku ya j3 saa 3 usiku.
 
Huyu mzee apumzike tu maana siku naye kawa shehk yahya, katabiri CDM kugawanyika na matokeo yake chama lao ni linagawanyika.
 
Waziri Wasira, kidume toka CCM. Mwenyeji wa Ikulu lakini kwa bahati nzuri naona mwenye nyumba ikulu hana mtoto mchanga manaake jamaa angetumika kama kinyamazisho cha mwana. Amekiri kuzomewa lakini katika maelezo yake anasema alizomewa na mlevi. Songa naye ITV Siku ya j3 saa 3 usiku.
Jumakidogo, mkuu hebu funguka kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Nimemuona ktk vjimatangazo ati anasema amezomewa na walevi wanne kati ya watu 6000 walohudhuria mkutano wake..NLICHEKA ATI WATU 6000 wakusanywe na wassira..ajabu!!
 
hata Qadfi aliwaita wananchi wake ni panya wavuta unga..guess whatt happened?
 
Nimemuona ktk vjimatangazo ati anasema amezomewa na walevi wanne kati ya watu 6000 walohudhuria mkutano wake..NLICHEKA ATI WATU 6000 wakusanywe na wassira..ajabu!!
huo mkutano ulioneshwa star tv news hiyo idadi haikuwepo,akubali kuwa alizomewa na bado atazomewa na kuzomewa!
 
zee la gombe limechanganyikiwa kwa kweli, linaona M4C inawabomoa basi anaropoka tu!
 
Kaka yake Ben amesema hataki matatizo zaidi, aliyonayo yanamtosha. kama kustaafu ni matatizo ndiyo maana huyo wasi anaogopa kusaafu, kama waziri anazomewa itakuwaje siku akiuacha huo uwaziri.
 
Back
Top Bottom