Wasomi wote hapa!!!!!

mama yangu mmoja tu!!kwa mjibu wa imani yetu mme anakuwa na mke mmoja tu!!hizo za nyumba ndogo hakuna,kama wewe una amini katika mitala poa ila baba anaye mama mmoja na ni mmoja tu!!!

pole mkuu, kama hujui, kuanzia leo, think big(jf) is where we think, just go ahead and think(get out from that box) mkuu siri anaijua baba ako. Ni juu yako lakini, baba ako anae mwanamke nje, watoto sijui kamuulize
 
tatizo lako unataka kumlinganisha baba yako na baba wa wenzio!!!baba yangu hana hayo unayofikiri!!mkuu wewe ndo unatakiwa ku think big!kwa nini unafikiri wanaume wote wana cheat kama baba yako!!!!mkuu samahani baba yangu ha cheat nina maanisha ninacho kisema!!
 
Haya, na wewe sema " Kidumu chama cha Mapinduzi" in English.
Hii Thread imekuja kivingine manake humu ilishaletwa sana ila alikuwa anaulizwa mama...

Long live the revolutionary party

Kudumuring Chamaring charing Mapinduziring
 
tatizo lako unataka kumlinganisha baba yako na baba wa wenzio!!!baba yangu hana hayo unayofikiri!!mkuu wewe ndo unatakiwa ku think big!kwa nini unafikiri wanaume wote wana cheat kama baba yako!!!!mkuu samahani baba yangu ha cheat nina maanisha ninacho kisema!!

loading........
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom