Wasomi wote hapa!!!!!

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
526
583
Wasalaam JF members.
Naomba msaada wa "direct translation" from Kiswahili to English ya hii sentensi.
"BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"
Natanguliza shukrani kwa yeyote atakayejalibu.
 
Dad, what is my birth order? (or something like that ..)
 
Halafu na wewe unajiita ni msomi wa University na bado akili yako pumba tupu kwamba English na Swahili kuna tafsiri ya neno kwa neno!!
Hili ni janga la Taifa wanafunzi wanafaulu halafu hawajui kusoma wala kuandika sasa wale wanaofeli sijui hali yao ikoje!!
 
na wewe kwa nini umuulize baba yako swali kama hilo!!kwani wewe hujui mko wa ngapi nyumbani kwenu,hujui idadi ya kaka na dada zako!!hata hufahamu nani kakuzidi umri katika hao ndugu zako!!...unawahesabu mwenyewe kimya kimya unafahamu wewe ni wa ngapi!
 
Moderator naomba Jukwaa hili hili lipewe heshima yake, hii thread ifutwe au ipelekwe jukwaa la Jokes au jukwaa la Lugha please.
 
na wewe kwa nini umuulize baba yako swali kama hilo!!kwani wewe hujui mko wa ngapi nyumbani kwenu,hujui idadi ya kaka na dada zako!!hata hufahamu nani kakuzidi umri katika hao ndugu zako!!...unawahesabu mwenyewe kimya kimya unafahamu wewe ni wa ngapi!

hivi wewe unajua babako ana mamazako wangapi,

uajuaje idadi enu. unaweza ukamuomba akupe

order/list yenu, ascending order mkuu, ask hem
 
hivi wewe unajua babako ana mamazako wangapi,

uajuaje idadi enu. unaweza ukamuomba akupe

order/list yenu, ascending order mkuu, ask hem
mama yangu mmoja tu!!kwa mjibu wa imani yetu mme anakuwa na mke mmoja tu!!hizo za nyumba ndogo hakuna,kama wewe una amini katika mitala poa ila baba anaye mama mmoja na ni mmoja tu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom