Wasomi wetu watakwenda wapi? serikali haiwezi kuwaajiri.Athari ya mfumo mbovu wa elimu.

antendembaga

New Member
Dec 29, 2011
4
2
Inasikitisha idadi kubwa ya wasomi ama wahitimu wa viwango mbalimbali vya elimu wamezagaa mitaani na kuwa ombaomba.Hali hii inatokana na serikali kushindwa kuwaajiri.Tatizo ninini? jibu ni rahisi,mfumo wetu wa elimu unategemea wasomi waajiriwe na serikali tu.Twaelekea wapi sasa? nini tufanye kunusuru hali hii.Nadhani hili ni bomu jingine la kujitakia.Tusubiri tuone......
 
kuna mchangiaji humu amesema hivi: wenzetu Kenya graduates hawawazii huo upuuzi wa kuajiliwa! Ni sisi tu watanganyika tunaoamini graduate hawezi kufungua kijwe cha kubrash na kushona viatu.
 
Back
Top Bottom