Wasomi wanafunzi na kazi za ughaibuni!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Jamaa yangu huwa nafanya part time job baada ya masomo yake muda wa jioni nchini Norway. Hivi karibuni kakutana na kauli ya dharau toka kwa kibabu kinachotunzwa ktk nyumba za wazee. Jamaa wakati anamfanyia usafi kile kizee-baada ya kuwa amejisaidia haja kubwa. Akiwa bize kumvalisha pampas-kumbuka norway wazee hutengwa na jamii ktk nyumba maalum- kibabu kikamuuliza swali. Mahojiano yakawa kama hivi:

Kibabu: where do you come from?
Mtanzania mwanafunzi: i come from Tanzania
Kibabu:eek:hhhhhh! where Mt Kilimanjaro is!
Mtanzania mwanafunzi: Yes! have you ever been to TZ?
Kibabu: Yes, i came to TZ three times in my life
Mtanzania mwanafunzi: That's very nice!
Kibabu: So, you came all the way from Africa to Europe just to do the job of cleaning my ass after dropping my shit in the closet!!!!!!
Mtanzania mwanafunzi: He remained puzzled not knowing what to answer or do to an old man.

Siku iliyofuata, jamaa aliamua kuacha kazi kwani alihisi amedhalilika sana ukitilia maanani jamaa alikuwa ni PhD candidate lakini amehisi kudhalilika pamoja na usomi wake.

Swali: Je ungekuwa wewe baada ya kuambiwa kauli ya dharau kama ile ungefanyaje?
 
story yako kama ya kutunga
hakuna mwanafunzi wa kitanzania anefanya kazi kama hizo ktk nyumba za wazee
kwani lazima usome lugha na uwe na fani ya uuguzi
sasa huyo ya phd mda wa kusoma lugha kaupata wapi
kazi wanazofanya ni kama usafi kwenye mahoteli,viwanja vya michezo
au kugawa magazeti kwenye nyumba za watu

wewe kudhalilishwa huko hamna shida yoyote....nenda chukuwa ulichokifuata huku. wacha waseme wanachotaka!!!
 
story yako kama ya kutunga
hakuna mwanafunzi wa kitanzania anefanya kazi kama hizo ktk nyumba za wazee
kwani lazima usome lugha na uwe na fani ya uuguzi
sasa huyo ya phd mda wa kusoma lugha kaupata wapi
kazi wanazofanya ni kama usafi kwenye mahoteli,viwanja vya michezo
au kugawa magazeti kwenye nyumba za watu

Mkuu uko sahihi, inaonekana jamaa kasimuliwa hadithi ya uongo halafu kaileta hapa. Norway kwenye hizo 'sykehjem' huwezi kufanya kazi kama 'Norsk' haipandi. Lakini kikubwa zaidi ninavyowajua wanorway ni ngumu mtu kukudharau kwa kazi unayofanya, unaweza kudharaulika kwa rangi yako lakini sio aina ya kazi unayofanya kwani Norway hata hizo kazi chafu zinalipa vizuri.
 
yap deoadat kasimuliwa tu
norway hakuna ubaguzi wa rangi sijaona.
wapo weusi wengi kutoka somalia,iran ethiopia nk
wakisikia Mtanzania wanajua nchi ya amani
lkn ina viongozi wazembe wasiojua kutumia rasilimali kuinua uchumi
 
sasa hii habari imeingiaje kwenye jukwaa hili hata kama ni ya ukweli?
 
..jamaa wewe muongo unasitahili kupigwa mawe mpaka ufe! usiwaharibie wanorway ukarimu wao, hawana dharau kiasi hicho, ni mapedeshee wasiokuwa na maneno, wanapesa hawajitapi kama wabongo, na wanaishi kwa baraka za mababu zao!
 
Hiyo kazi yenyewe ya kumvalisha mtu pampas ni ya kudhalilisha, hivyo hiyo kauli sione kama ina-contribute chochote kumfanye huyo ndugu apigwe na butwaa!
 
Mkuu uko sahihi, inaonekana jamaa kasimuliwa hadithi ya uongo halafu kaileta hapa. Norway kwenye hizo 'sykehjem' huwezi kufanya kazi kama 'Norsk' haipandi. Lakini kikubwa zaidi ninavyowajua wanorway ni ngumu mtu kukudharau kwa kazi unayofanya, unaweza kudharaulika kwa rangi yako lakini sio aina ya kazi unayofanya kwani Norway hata hizo kazi chafu zinalipa vizuri.

kwa hoja zenu sijaona u great thnker wenu.kwanza mtoa mada hajatwambia elimu ya jamaa mtz af pili ajasema kama lugha ilikua haipandi inawezkana jamaa alikua na vigezo vyte ndo maana aliajiriwa uko..afu frow no where m2 anapinga tuu thn u consinder ya self a great thnker!shame on u guys.less thnkers.
 
Soma tena Great Thinker!!
 
phd candidate
unakurupuka bila kuelewa mada
sisi tunachambua hoja ilio mbele yetu na sio mambo ya kufikirika. ww ndio less thinker kwa vile hujajibu hoja umekimbilia kukandia.
kwa hoja zenu sijaona u great thnker wenu.kwanza mtoa mada hajatwambia elimu ya jamaa mtz af pili ajasema kama lugha ilikua haipandi inawezkana jamaa alikua na vigezo vyte ndo maana aliajiriwa uko..afu frow no where m2 anapinga tuu thn u consinder ya self a great thnker!shame on u guys.less thnkers.
 
Acheni upuuzi kama haifai iwekeni kapuni

Inaonekan wakuu mnasoma huko, mtabisha tu lakini ukweli uko pale pale na wale wanaopanda na kushuka maghorofani kusambaza magazeti pia mtabisha. Acheni hasira, kama wewe uliishi huko hukufanya hiyo kazi sawa, lakini ukweli wa hii kitu uko wazi. Hizi ni kazi za wasomi wanaonda norway na wanazifanya sana. Tena kwa taarifa yenu hii kazi ndiyo inalipa zaidi kwani hata wanafunzi wa east europe huwa hawazipendi, lakini kwa wanafunzi waafrika ndio wanazozifanya sana. Kusambaza magazeti kama machinga wa bongo na kulea wazee. kama wewe hukufanya, mwenzio kafanaya na wanaendelea kufanya.

Huo upedeshee wa wanorway hauna uhusiano na umasikini wako kama mwafrika!
 
Je huyo rafiki yako alikuwa analipwa kiasi gani? kwani kama malipo yake yalikuwa kama ya mshahara wa director wa TRA powa tu. Hapa haijalishi kama unarusha gazeti au unasafisha hotelini ili mradi tu salio linalosoma ni la ukweli... we endelea tu kukaa gizani hapo bongo, kuhemeana kwenye foleni ya Jangwani, kutokuoga coz maji mgawo pia na kero zingine nyingi wenzako wakirudi mifuko imetuna,phd wamepata na bao wamekupiga..........
 
Back
Top Bottom