Wasomi wa Tanzania poleni

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
Sina la kuwalaumu wasomi wa tanzania, ila hamsaidii kuiletea maendeleo nchi yetu. Hivi wana jf mnajua kuwa sifa ya kuwa mwl mkuu ni diploma, au kuwa mkuu wa shule ni degree 1 au zaidi? Lkn mratibu elm kata ni bosi regardless elm yake ya ualm daraja la 3.

Wana jf mnaamini wakurugenzi wa halmshr na usomi wao wanatetemeka mbele ya std IV/ VI tunaowaita waheshiwa wa kata? Hv tunajua policy makers/planners wanawategemea wapiga poroja wa makinda ili ionekane wanawaridhisha.

Wasomi wetu, akina profesa nani na nani wapo tu hapo udsm na kwingineko wanasubiri kutekeleza maagizo ya madiwani wengi ambao ni illiterates. Kwa mfumo huu MASIKINI TZ ITAKUFA IKIWA MASIKINI.

Wana Jf kama nakosea nikosolewe.
 
Utazeeka na kufa na kuiacha na umaskini wake
Sina la kuwalaumu wasomi wa tanzania, ila hamsaidii kuiletea maendeleo nchi yetu. Hivi wana jf mnajua kuwa sifa ya kuwa mwl mkuu ni diploma, au kuwa mkuu wa shule ni degree 1 au zaidi? Lkn mratibu elm kata ni bosi regardless elm yake ya ualm daraja la 3. Wana jf mnaamini wakurugenzi wa halmshr na usomi wao wanatetemeka mbele ya std IV/ VI tunaowaita waheshiwa wa kata? Hv tunajua policy makers/planners wanawategemea wapiga poroja wa makinda ili ionekane wanawaridhisha. Wasomi wetu, akina profesa nani na nani wapo tu hapo udsm na kwingineko wanasubiri kutekeleza maagizo ya madiwani wengi ambao ni illiterates. Kwa mfumo huu MASIKINI TZ ITAKUFA IKIWA MASIKINI. Wana Jf kama nakosea nikosolewe.
 
mfumo mbovu mkuu wasio na elimu ndio wana nafasi na channel za kupata nafasi kubwa lkn wenye elimu hawana chance hizo na nafikiri unajua kuwa pesa humfanya mtu aabudiwe
 
Sina la kuwalaumu wasomi wa tanzania, ila hamsaidii kuiletea maendeleo nchi yetu. Hivi wana jf mnajua kuwa sifa ya kuwa mwl mkuu ni diploma, au kuwa mkuu wa shule ni degree 1 au zaidi? Lkn mratibu elm kata ni bosi regardless elm yake ya ualm daraja la 3. Wana jf mnaamini wakurugenzi wa halmshr na usomi wao wanatetemeka mbele ya std IV/ VI tunaowaita waheshiwa wa kata? Hv tunajua policy makers/planners wanawategemea wapiga poroja wa makinda ili ionekane wanawaridhisha. Wasomi wetu, akina profesa nani na nani wapo tu hapo udsm na kwingineko wanasubiri kutekeleza maagizo ya madiwani wengi ambao ni illiterates. Kwa mfumo huu MASIKINI TZ ITAKUFA IKIWA MASIKINI. Wana Jf kama nakosea nikosolewe.

Walimu wanaojiendeleza kielimu wakiwa kazini wako wengi na masters zao za utawala na ualimu lakini hawapandishwi daraja wanasubiria afsa elimu wa mkoa mwenye degree astaafu ndo mwenye masters afikiriwe kupanda daraja. Hapo kwenye madiwani sioni kuwa ni issue coz elimu bila maadili kwenye uongozi wa kisiasa ni kujichimbia kaburi.
 
Back
Top Bottom