Nchi hii inapoteza uelekeo, wasomi mko wapi?

mayange

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
701
197
Ndugu wanajamvi,
Ni ukweli usiopingika nchi hii inapoteza uelekeo tofauti na miaka ya 60. Miaka ya 60 hatukuwa na wasomi wengi sana kama maprofesa, madoctor, masters, na bachelors ukilinganisha na ilivyo sasa, chakushangaza nchi ndio inazidi kutumbukia kwenye kila aina ya uovu, na kwa bahati mbaya hakuna hata anayefanya utafiti na kujua tatito ninini.

Miaka ya 60 ilikuwa nafuu kulikuwa na uadilifu tofauti na ilivyo sasa, hivi sasa watoto wanazaliwa wanaanza elimu ya msingi mpaka kufikia vyuo vikuu wakiona wizi, chuki, uongo, fitna.... nikitu cha kawaida tofauti na miaka ya 60. Ukosefu wa uadilifu umefanya ongezeko la wahuni mtaani, mpaka kufikia hatua mtu anashindwa kutofautisha msomi na asiye msomi.

kwa bahati mbaya wahuni hao wanaanza kuingilia polepole sector nyeti ya siasa hapa nchini.

Kila anayelala na kuamka anakwambia namimi nataka kugombea ubunge, matokeo yake tunakuja kupata wahuni wa kisiasa kazi kurushiana matusi majukwani mfano halisi ni mh. Lusinde alipokuwa kwenye kampeni huko Arusha. Pia matokeo yake utakuja kuona wahuni wa kisiasa walivyotaka kuivuruga chadema na kuitana wasaliti huku wakipandikiza chuki kwa wanchi huku sisi tunabaki tunashabikia tukiwapoteza watu muhimu katika ukombozi kwa walio masikini.

Hivi sasa msema kweli ndiye muongo na msema uongo ndiye mkweli.Niseme kwamba chadema ni chama makini sana ila kikihendekeza wahuni wanashinda humu Jf wakipandikiza chuki ndani ya jamii kitapoteza uelekeo.

Umuhimu wa kuwasomesha wanafunzi huku hatuoni faida yao uko wapi? Wengi wanaishia kuwa wanywa pombe, na watu wa vijiweni. Kila aina ya raslimali tunazo wameshindwa hata kutupatia elimu zao tukazalishe, wamesubili ajira wakale rushwa au nao kutamani ubunge wakawe wezi na kupata kiinua mgongo.
 
Mkuu haya unayoyaona si watanzania wengi wanayoyaona. Tanzania inaelekea kuzimu, na ni kwasababu ya ufinyu wa viongozi kuona mbali. Kuna vitu vingi sana vinafanyika sasa lakini vitakuja kuleta madhara makubwa na ya muda mrefu sana baadae. Mimi mpaka sasa huwa nashangaa mtu hopeless kama Kikwete alipataja urais?
 
Tatizo ni moja tu mkuu watu waliosoma kukubali kutumika kisiasa tena chini wa wasiosoma!!!!

Ok wote hatuwezi kuwa viongozi lakini hata wanapokosea kuwaambia pia hao waliosoma hawataki!!!! Yaani wamekuwa watumwa wa wanasiasa!!!!!

Mengine ni kukosa uzalendo na kuendekeza sifa na njaa,unakuta msomi mzuri tu eti anashika mkoba wa mtu ambaye hana tija kwa Taifa ili tu awe karibu na kiongozi na hatumii usomi wake kumshauri huyo muhusika!!!!

Ukiniuliza tuanzie wapi mimi ntasema mawaziri wasiwe wabunge kwanza ili nafasi nyeti za nchi zishikwe kwa minajili ya utaalamu na uzoefu wa lile mtu alilosomea na kufanyia kazi!!!! Hii itaamsha ari na hadhi ya elimu na utaalamu na pia itajenga mipaka ya kazi na heshima kati ya wanasiasa na professionals!!!!
 
hakika.
 
mkuu siku zote tungekuwa na uchambuzi kama huu tungeelimishana na tusingekimbilia udakuku wa kisiasa hum jf.asante mkuu kwa mawazo yako.
 
Ndugu wanajamvi,
Ni ukweli usiopingika nchi hii inapoteza uelekeo tofauti na miaka ya 60. Miaka ya 60 hatukuwa na wasomi wengi sana kama maprofesa, madoctor, masters, na bachelors ukilinganisha na ilivyo sasa, chakushangaza nchi ndio inazidi kutumbukia kwenye kila aina ya uovu, na kwa bahati mbaya hakuna hata anayefanya utafiti na kujua tatito ninini.

Miaka ya 60 ilikuwa nafuu kulikuwa na uadilifu tofauti na ilivyo sasa, hivi sasa watoto wanazaliwa wanaanza elimu ya msingi mpaka kufikia vyuo vikuu wakiona wizi, chuki, uongo, fitna.... nikitu cha kawaida tofauti na miaka ya 60. Ukosefu wa uadilifu umefanya ongezeko la wahuni mtaani, mpaka kufikia hatua mtu anashindwa kutofautisha msomi na asiye msomi.

kwa bahati mbaya wahuni hao wanaanza kuingilia polepole sector nyeti ya siasa hapa nchini.

Kila anayelala na kuamka anakwambia namimi nataka kugombea ubunge, matokeo yake tunakuja kupata wahuni wa kisiasa kazi kurushiana matusi majukwani mfano halisi ni mh. Lusinde alipokuwa kwenye kampeni huko Arusha. Pia matokeo yake utakuja kuona wahuni wa kisiasa walivyotaka kuivuruga chadema na kuitana wasaliti huku wakipandikiza chuki kwa wanchi huku sisi tunabaki tunashabikia tukiwapoteza watu muhimu katika ukombozi kwa walio masikini.

Hivi sasa msema kweli ndiye muongo na msema uongo ndiye mkweli.Niseme kwamba chadema ni chama makini sana ila kikihendekeza wahuni wanashinda humu Jf wakipandikiza chuki ndani ya jamii kitapoteza uelekeo.

Umuhimu wa kuwasomesha wanafunzi huku hatuoni faida yao uko wapi? Wengi wanaishia kuwa wanywa pombe, na watu wa vijiweni. Kila aina ya raslimali tunazo wameshindwa hata kutupatia elimu zao tukazalishe, wamesubili ajira wakale rushwa au nao kutamani ubunge wakawe wezi na kupata kiinua mgongo.
Kabla ya porojo kuendelea sababu umetumia siasa kibao kunielewesha ila kama nimeona upo kichama zaidi sio kizalendo.Kwa hiyo tukiipa Chadema tutapunguza matatizo kidogo au tutanyamaliza kama ulivyo sisitiza nilipotia red mark.Ila wasiwasi wangu hivi tumpe mtu kama lema uwaziri si yatakuwa yale yale au ?Kuhusu kila mtu anataka kuwa mwanasiasa katiba ya nchi inamruhusu hivyo kwa hiyo unataka hata uchaguzi usiitishwe sababu watu special ndio wanaweza kama mbowe alivyong'ang'ania uwenyekiti?Una hoja ya msingi ila umekaakaa kichama chama sana
 
nimekuelewa ila nimetoa mfano wa chama, kulingana na wahuni wavyokinyemelea kwa kupandikiza chuki. Ila nimekuelewa mkuu.
 
Na huu pia ni uongo uliouandika. Miaka ya 60 ulikuwa na umri gani?
 
Kabla ya porojo kuendelea sababu umetumia siasa kibao kunielewesha ila kama nimeona upo kichama zaidi sio kizalendo.Kwa hiyo tukiipa Chadema tutapunguza matatizo kidogo au tutanyamaliza kama ulivyo sisitiza nilipotia red mark.Ila wasiwasi wangu hivi tumpe mtu kama lema uwaziri si yatakuwa yale yale au ?Kuhusu kila mtu anataka kuwa mwanasiasa katiba ya nchi inamruhusu hivyo kwa hiyo unataka hata uchaguzi usiitishwe sababu watu special ndio wanaweza kama mbowe alivyong'ang'ania uwenyekiti?Una hoja ya msingi ila umekaakaa kichama chama sana

Mkuu unapoteza muda.CDM hawana mtu wa kupewa uongozi. wote walokuwa na mwelekeo wa kiuongozi hawako CHADEMA tena, ZITTO wameshamkroga, BAREGU ndo huyo kila siku anawakosoa, Mabere Marando aliwarudishia Kadi siku wanamfukuza ZITTO ikabidi wakae kikao tena cha kumbembeleza. Prof. Safari, akina Arfi ndo kabisa kutokana na imani zao wanajua lolote laweza kuwatokea, hivyo wako mguu ndani , mguu nje. Akina Mwigamba ambao walikuwa wakikisaidia chama kushinda chaguzi ndogo katika hatua za majeruhi nao wako nje. Nani sasa wa kuwa kiongozi ndani ya CHADEMA? LISSU? LEMA? MSIGWA? SUGU?. Watanzania watakuwa wamechanganyikiwa labda.
 
mkuu, unanifahamu mi ninaumri gani?

Maneno yako tu yanaonesha wewe ni bongo flavor. Utaongeleaje miaka ya 60, miaka ambayo ndo kwanza tulikuwa tumetoka kwenye mikono ya wakoloni? jipambanue tu kuwa wewe ni bongoflaver kuliko kuzunguka mbuyu.
 
mkuu ingekuwa vizuri ungepinga hoja au kusupport ili kuwaelimisha wengine.
 
Ndugu wanajamvi,
Ni ukweli usiopingika nchi hii inapoteza uelekeo tofauti na miaka ya 60. Miaka ya 60 hatukuwa na wasomi wengi sana kama maprofesa, madoctor, masters, na bachelors ukilinganisha na ilivyo sasa, chakushangaza nchi ndio inazidi kutumbukia kwenye kila aina ya uovu, na kwa bahati mbaya hakuna hata anayefanya utafiti na kujua tatito ninini.

Miaka ya 60 ilikuwa nafuu kulikuwa na uadilifu tofauti na ilivyo sasa, hivi sasa watoto wanazaliwa wanaanza elimu ya msingi mpaka kufikia vyuo vikuu wakiona wizi, chuki, uongo, fitna.... nikitu cha kawaida tofauti na miaka ya 60. Ukosefu wa uadilifu umefanya ongezeko la wahuni mtaani, mpaka kufikia hatua mtu anashindwa kutofautisha msomi na asiye msomi.

kwa bahati mbaya wahuni hao wanaanza kuingilia polepole sector nyeti ya siasa hapa nchini.

Kila anayelala na kuamka anakwambia namimi nataka kugombea ubunge, matokeo yake tunakuja kupata wahuni wa kisiasa kazi kurushiana matusi majukwani mfano halisi ni mh. Lusinde alipokuwa kwenye kampeni huko Arusha. Pia matokeo yake utakuja kuona wahuni wa kisiasa walivyotaka kuivuruga chadema na kuitana wasaliti huku wakipandikiza chuki kwa wanchi huku sisi tunabaki tunashabikia tukiwapoteza watu muhimu katika ukombozi kwa walio masikini.

Hivi sasa msema kweli ndiye muongo na msema uongo ndiye mkweli.Niseme kwamba chadema ni chama makini sana ila kikihendekeza wahuni wanashinda humu Jf wakipandikiza chuki ndani ya jamii kitapoteza uelekeo.

Umuhimu wa kuwasomesha wanafunzi huku hatuoni faida yao uko wapi? Wengi wanaishia kuwa wanywa pombe, na watu wa vijiweni. Kila aina ya raslimali tunazo wameshindwa hata kutupatia elimu zao tukazalishe, wamesubili ajira wakale rushwa au nao kutamani ubunge wakawe wezi na kupata kiinua mgongo.

sasa kama wasomi tulionao ndo wakina MWIGULU NJEMA,SAADA NA WENGINEO WHAT DO U EXPECT?NI JANGA
 
watanzania tujenge tabia ya kuwaunga mkono watu wanaojitokeza kuwapigania wananchi na sio ushabiki wa kisiasa.

nakubaliana na wewe kwa asilimia mia ila kuna wapiga deal wasiopenda kutumia vichwa vyao kwa kufikiri wata kucrash sasa hivi wako njiani subiri uone
 
nikweli kabisa mkuu, sasa tutashindwa kusema ukweli kwa sababu ya hao wahuni wa kisiasa?
 
Watu wengine mi nashindwa kuwaelewa, mtu kaja na mada safi badala yakuchangia, wanaleta ushabiki, cjui nani anawalipa
Mkuu naunga mkono hoja.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom