Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Kwa hili, nachukulia kuwa mtu yeyote aliyefanikwa kupata elimu ya sekondari na kuendelea ni MSOMI.
Nashangazwa kuona kuwa wasomi wengi wa Afrika wanakumbatia utamaduni wa kimagharibi kwa nguvu sana.
Jambo hili naliona katika,
MAVAZI,
MAHUSIANO,
NYIMBO(MUZIKI/NGOMA),
MICHEZO YA KUIGIZA,
VYAKULA,n.k.
Je hawa wasomi wetu wamegundua nini kibaya katika utamaduni wa kiafrika kisha kuusukumia pembembeni?.
Ninyi wasomi wetu mlioko katika uwanja huu wa JAMII mko upande gani kuhusu jambo hili?