Wasomi (PhD..Dr...Msc...etc ) mlioko CCM mmelogwa?

Hawatoki kwenye CCM labda bado wanaamini kwamba wanaweza wakafanya mapinduzi ndani ya chama bila kutoka kwenye chama.Lakini ni vigumu kufanya mapinduzi bila kuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama.Lakini wanaposhindwa kutimiza yale waliokusudia wanabakia kuwa popo (neutral) ili walinde mkate wao.In other words their victims of curcumtances.


"If you can not defeat them join them"
 
Kwani wana sauti vyeti vyao lazima kwanza vikaguliwe na Makamba kabla ya kupewa kama ni ukuu wa Chuo au kazi nyingine, hata Tido Mhando original zote ziko kwa Makamba hadi mkataba utakapokwisha.
Kaka nimeipenda hiyo, haiwezekani we' ufanye kazi mahali kama BBC afu ufanye uchizi anaoufanya huyu bwana, nae anafikirishwa vilevile na nina uhakika anajiandaa kugombea ubunge na shati la kijani.
 
Only the wisest and the stupidest of men never change

At least nimepata hii quote!

Kwenye ccm usomi hauna nafasi, na wala hauko applicable!
Hamuoni kila kitu kinakuwa dictated na Makamba ambaye hana hata darasa, lakini maprof wanakipokea kwa kutetemeka, bila hata kujaribu ku'digest?

Achana na politiki bana!
 
At least nimepata hii quote!

Kwenye ccm usomi hauna nafasi, na wala hauko applicable!
Hamuoni kila kitu kinakuwa dictated na Makamba ambaye hana hata darasa, lakini maprof wanakipokea kwa kutetemeka, bila hata kujaribu ku'digest?

Achana na politiki bana!


Debate wafe mzee?
 
Back
Top Bottom