Wasomi (PhD..Dr...Msc...etc ) mlioko CCM mmelogwa?

Mtu66

Senior Member
Jun 26, 2007
165
3
...Hainiiingii kabisa akilini
kuamini kwamba wasomi wote mlioko CCM
mnakubali kwamba mikutano wa hadhara inatosha kuwaelezea wapiga kura wenu
sera zenu......

Ni kweli au ndo mnaogopa Mzee Makamba?
Mko wapi kutetea uamuzi wa chama chenu?
 
Only the wisest and the stupidest of men never change
 
Kwani wana sauti vyeti vyao lazima kwanza vikaguliwe na Makamba kabla ya kupewa kama ni ukuu wa Chuo au kazi nyingine, hata Tido Mhando original zote ziko kwa Makamba hadi mkataba utakapokwisha.
 
Ndo maana nkasema Makamba kufanya maamuzi ya chama is too RISKY kwa kweli
 
Makamba nibaba waccm kila asemalo linakubalika na wanaccm wanamuogopa!
 
wako wapi ma dr. Wa ccm?

wamefyata mkia ,mbele ya kutaka kula udokta wameuweka kapuni , wasomi wa bongo .halafu unategemea nchi itaendelea kuwa na wanasiasa wanaoonekana wasomi waliobobea kumbe magirini. Wanaufyata mbele ya makamba ambaye elimu yake ni questionable ukilinganisha na wadhifa alionao kwenye chama
 
Unajua siasa ni kitu cha namna yake sana. Niliwahi kumsikia Mh Prof Jumanne yule wa ELIMU akizungumzia jambo fulani, nilikuwa nimeinama nafanya kazi fulani, halafu nikajisikia kuhuzunishwa na kukasirishwa, nikapiga kelele ni nani huyo Pwaguzi anazungumza kwenye TV, nikakemewa na jamaa zako Waziri tena Profesa. Hawa wakishaingia kule wanakuwa kama migoigoig ( I hope hili si tusi), wanakuwa kama kuruta jeshini...na nimeona hata pale UDSM walimu waliobobea wanavyobabaika kuitetea CCM bila kuwa na imani na CCM, lakini ni lazima aonekane eti anaitetea, hathubutu kusimama peke yake. Na hili ndilo linasababisha waogope kwenda kwenye mdahalo. Anaweza kutetea kitu asichokiamini. UNAFIKI MKUBWA, na HUU NDIO UNAUA NCHI HII
 
Hamjamuelewa Makamba kuna kitu katuficha hapa siyo kuwa wanahitaji mikutano ya hadhara..no..wanahitaji dola tu wao kushinda uchaguzi.
 
Wasomi wengi hupenda kuitwa bongo hupenda kuijitambulisha kwa degree ngapi wanavyo bila kuacha matendo yao maneno yao accomplishment zao kuonyesha uwezo wao na usomi wao.

At the end of the day unatakiwa kuonyesha elimu yako imekusaidiaje na unawezaje kusaidia wengine na taifa kwa jumla.

Wasomi CCM you should act at that status sio kuitwa DR. Prof.Eng............ Mdahalo ni muhimu kwa wananchi achene ile zana kuwa chama mbele ,nchi mbele .
 
Makamba nibaba waccm kila asemalo linakubalika na wanaccm wanamuogopa!

The man is very charismatic and one of the finest politicians this country has ever produced. We, in CCM camp compare him with the likes of Joe Biden. Makamba doesn't shy away from speaking his mind
 
Ignore fools like RAj ambao wako hapa kutuharibia mjadala... alafu Raj inaonekana Kiswahili kinampa shida...
Eti Joe Biden wa Tanzania - PLZ! :mad2: hii inaonyesha mnavyopenda kujipachika majina.. kwa nini mnataka muwe equivalent wa celebrity au politician mwingine? Huu ni kutojiamini mpaka ujifananishe.. mtu mwenye akili timamu hataki kufanana au kufananishwa na mtu , utakuwa unajivunia kuwa WEWE halisia...

Back to the topic: Wasomi wengine ukichunguza wameshakaa pembeni kama Quinine alivyosema the few ambao wame-compromise ni kwamba wameshikiwa akili na elimu na utashi wao na mwalimu wa primary aliyetimuliwa kwa utovu wa nidhamu na kuvunja miiko... ila ukiangalia hata ile thread ya Makamba kuwafunga midomo wagombea, hakuna supporter wa kweli wa CCM aliyeingia huko kuitetea hoja ya Makamba kwa sababu haiwezekana mtu mwenye akili timamu aitetee.
Ukweli ni kuwa hivi sasa kibao kimegeuzwa na wasomi wameanza kuona haya kuhusishwa na CCM, they are almost apologetic ukiwauliza wanagombea CCM.
 
Nimewahikusema kwamba either uwe unafaidika na mfumo wa kiwiziwizi huu ulipo madrakani au uwe na mtindio wa ubongo kama unahitaji kui-support CCM. Mtu mbinafsi ni mtu mbaya sana, me me me me........ wengine wacha wale majani!
Imagine mtu dignity yako umekula shule, unajisalimisha kwa mtu kama makamba. Ni unafiki na ubinafsi wa hali isiyoelezeka. Sikuhizi imebaki kusema tu, Chagua ccm, ni chama dume, wamekimbia midhalo yote, hakuna mafanikio yeyote.
Kwa nini mnakubali kudhalilika namna hii?
 
Yaani hapo umenichekesha kweli.. chama dume ndo maanake nini? Yaani mijitu ya sisiem wako bize wanaendeleza na kusifia mfumo dume na mawazo yao daima yako kwenye ishu za unyumba tu... ila ni sawa kwa level yao hawana upeo wa kufikiri nje ya hapo.. yaani hapo ndo mwisho... mwaka huu hawana hata slogan ya maana hata ile Ari zaidi nguvu zaidi .. wameiua wameweka mabango ya mabilioni na slogan pekee ni Chagua CCM, chagua Kikwete... wameishiwa...
 
Nimewahikusema kwamba either uwe unafaidika na mfumo wa kiwiziwizi huu ulipo madrakani au uwe na mtindio wa ubongo kama unahitaji kui-support CCM. Mtu mbinafsi ni mtu mbaya sana, me me me me........ wengine wacha wale majani!
Imagine mtu dignity yako umekula shule, unajisalimisha kwa mtu kama makamba. Ni unafiki na ubinafsi wa hali isiyoelezeka. Sikuhizi imebaki kusema tu, Chagua ccm, ni chama dume, wamekimbia midhalo yote, hakuna mafanikio yeyote.
Kwa nini mnakubali kudhalilika namna hii?

Ndo maana usishangae wasomi wote mahiri pale UDSM wameishia Botswana au Rwanda ambako michango yao inaheshimika....na wanalipwa kwa kazi zao za kitaaluma......sio hawa MaPhD na MaDr...... wa CCM wanaoBAKA taaluma nchini.....Profosooo Magembe kawa mvivu wa kufikiri hata kuongea...
 
Kweli bwana siku hizi maPhD na maProf. wanafikirishwa live, Ebwana elimu haimati sana siku hizi kinachomata tu ni "kidumu chama" na sifa za kinafiki!
 
Back
Top Bottom