Wasomi na utumwa kwa wanasiasa

Gabraison jr

Member
Sep 7, 2011
21
1
Jamani wana JF hili la wasomi kuwa watumwa kwa wanasiasa litakoma lini?maana hal ni mbaya sasa wameamia had mashulen kwa mfano leo mkuu wa mkoa alizulu shulen kwetu na kuongea pumba zake kwa dakika 30 lakin yapata wiki hatujasoma kufanya maandaliz.je nini kifanyike?naomba kuwasilisha
 
ha haaa haaa

yaani upo form three lakini umeweza kugundua kuwa mkuu wa mkoa ameongea pumba, kweli hii nchi haina viongozi
 
Jamani wana JF hili la wasomi kuwa watumwa kwa wanasiasa litakoma lini?maana hal ni mbaya sasa wameamia had mashulen kwa mfano leo mkuu wa mkoa alizulu shulen kwetu na kuongea pumba zake kwa dakika 30 lakin yapata wiki hatujasoma kufanya maandaliz.je nini kifanyike?naomba kuwasilisha
mkuu wa mkoa upi?shule gani?pumba zipi?
 
mkuu wa mkoa upi?shule gani?pumba zipi?

mbeya shule ipo chunya kaja shule badala ya kuongea yanayo2husu kama upungufu wa walim,library,laboratory maj n.k ye ana2mia dakika 25 ku2ambia masuala ya barabara dakika 5 kushukuru na kuondoka
 
wasomi tuna njaa sana,we know a lot lakini ikija kwenye swala la maslahi mtu unajifikiria mara mbilimbili kufuata principles au kujipendekeza ili upate chako.
 
mbeya shule ipo chunya kaja shule badala ya kuongea yanayo2husu kama upungufu wa walim,library,laboratory maj n.k ye ana2mia dakika 25 ku2ambia masuala ya barabara dakika 5 kushukuru na kuondoka

upaswi kuumiza kichwa: hao wakuu wa mikoa wapo kisiasa zaidi, ktk mambo ya kitaalamu kwenye taaluma hawana nafasi hao.
 
mbeya shule ipo chunya kaja shule badala ya kuongea yanayo2husu kama upungufu wa walim,library,laboratory maj n.k ye ana2mia dakika 25 ku2ambia masuala ya barabara dakika 5 kushukuru na kuondoka

HHEEEE HEEEEE yaani umenivunja mbavu usiku huu, ndio kaongea hayo,,,upo serious au? i wish wandishi watutafutie hotuba yake ya barabara kwa wanafunzi wa sekondary.
 
Back
Top Bottom