Wasomi Mlimani kuchambua hukumu ya mtikila

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,359
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM SCHOOL LF LAW
(FORMERLY FACULTY OF LAW)
STAFF SEMINAR ON THE COURT OF APPEAL DECISION IN
HON ATTORNEY GENERAL v. REVEREND CHRISTOPHER MTIKILA
(MTIKILA II)

VENUE: LECTURE THEATRE I

DATE: Saturday 3rd July 2010 at 11.00 am

CHAIR – Dr. KHOTI KAMANGA (Mwana wa Chilomba)
TOPICS AND SEMINAR LEADERS

1. KESAVANANDA and the Basic Structure Doctrine
- Prof. L. X. Mbunda.

2. What the Court of Appeal decided – Dr. M. K. B. Wambali.

3. What the Court of Appeal did not decide – Prof. G. Mgongo Fimbo.

4. The Politics of MTIKILA II - Dr. S. E. A. Mvungi.

5. Human Rights Litigation after MTIKILA II: National, African and International Perspectives - Prof. C. M. Peter.

NOTES:

1. Presenters are requested to prepare talking notes in good time. Kindly submit them to the undersigned at least two days before the date of presentation.

2. Amicus Curiae, Professors P. J. Kabudi and J. T. Mwaikusa will be in attendance.

Professor G. Mgongo Fimbo

CHAIRMAN, SEMINARS AND CONFERENCES COMMITTEE

29.6.2010.
.
 
Hapo nana wasiwasi haki inaweza isitendeke
 
Haki ipi tena haitatendeka wanaenda kuichambua hukumu ya mahakama ya rufaa, haweendi kuamua kitu

King of Kings hiki si kikao cha mahakama, ni uchambuzi ambao tayari hukumu yake ilishafanywa na mahakam kuu!!!

Wakuu nafikiri hapo hamujanielewa, kwanini Presenter apresent notes atakazoongea? au sijaelewa ""Presenters are requested to prepare talking notes in good time. Kindly submit them to the undersigned at least two days before the date of presentation""
 
Ningeweza kufanya mpango wa kuirusha hiyo hewani ili hat ana sisi tulioko kijijini tuweze kusikia mjadala huu wa kitaaluma.
 
Dayuuuum...hivi hapo Mlimani umri wa kustaafu ni upi? Maana Mgongo Fimbo yuko hapo tokea sijazaliwa na inavyoelekea bado yupo unless ni professor emeritus sasa....
 
amicus curiae baada ya kupata ulaji wemkuwa friends of the government...Prof. Kabudi mm nilichelewa kujuwa kuwa umepata ulaji EAC common market, hongera for being a friend of the killers of democracy( or nimekosea kutumia neno"killer" wasije wakani-Mr.II bure) nitasema wakandamizaji wa demokrasia.
 
Jamani fanyeni mpango, kwa wale mtakaoweza, hiyo kitu ipatikane live! Otherwise, mada zao zibandikwe humu, pls! Title zao zimenivutia sana. Kuna mtu mmoja aliniambia kuwa ukiona hukumu inapondwa hata na watu wa vijijini ujue hiyo hukumu ni balaa!
 
Wakuu mlioahidi kuhudhuria hii kitu naomba mtujulishe yaliyojiri, please!
 
Back
Top Bottom