Wasome Wanawake tu: Siri za unyago wa Kimakonde!

Sasa unataka tuchangie na wakati ndo kwanza uko kwenye trailer? Natafuta wa kugonganisha nae kichwa kwanza!
 
Hao wote uliowaorodhesha ni ANAHAKU. Lizzy peke yake ndio kifaa.

Na kuhusu mkwara wako hapa umenoa, majipu tayari ninayo, tena makubwa ya haja. Ukitaka naweza kukuruhusu uone yanavyoning'inia chini ya filimbi shaka hayana

Duh. . .sasa unamchungulisha yeyote yule?

@ Zinduna mbona sijaona hiyo PM?
 
mjasiria Ina maana hata Kina AshaDii na RussianRoulette wame - boycot?
Siwataki kabisa ME kwenye huu uzi, wataharibu miiko ya wahenga wa unyago.

Habari yako Zinduna.... Thanks for the thread and kunishtua.... Hatuja boycott dear, maana hii kitu ni maalum kwetu, Asante for the thread. Najaribu kufikiria nini niongeze, na what I can come up with ni kua haya mambo yana umuhimu na faida zake pia.... naona inaenda inapotea katka jamii sasa... RussianRoulette my alter hayupo online... ila nimem mention laters akija hapa namuachia jukumu la kuongea vilivo.
 
Last edited by a moderator:

mamma mia,ulipotelea wapi Mother Theresa!
Nilidhani umejipiga life ban kama mpendwa wetu husninyo.
 
Last edited by a moderator:
mamma mia,ulipotelea wapi Mother Theresa!
Nilidhani umejipiga life ban kama mpendwa wetu husninyo.

B' nakutafuta ujue?? lol.... Nipo dear, nijipe ban wapi tena.... Toka lini naitwa Mother Theresa? You know she is considered as a saint si wajua hilo? Good to see you....
 
Bi mkubwa yaani Likolo hutengeneza imale. Likolo hujipaka imale maungoni mwake na mwa walombo wengine ili kujikinga wasije wakapata upofu wa macho katika kushirikiana nao.

Zindu.....hapa kidogo sijaelewa.......huo upofu unasababishwa na nini......?
 
mie nasubiria darasa la wiki ijayo
BADILI TABIA PM zmekuwa nyingi, wakina ANAHAKU wanataka darsa la unyago liendelee kesho ili wamudu kuokoa ndoa na mahusiano na wenza wao.

DARASA LITAENDELEA KESHO MWANAWANE~~~~~~~~~~
 
Last edited by a moderator:
Kesho Erickb52 na Bishanga watapata majipu kwenye sehemu zao za Faragha kwa kukiuka masharti ya kutochangia uzi huu.
 
Last edited by a moderator:
Kesho Erickb52 na Bishanga watapata majipu kwenye sehemu zao za Faragha kwa kukiuka masharti ya kutochangia uzi huu.

Niko najipanga kuwashushia mapoints ya Ntwara na Lindi kuhusu wanawake wa Kimakonde:
Kwanza wao kusema hapana hawanaga.....Hivi niko sawa au niko nje ya topic?
Lol
Pili ukimtaka mdada wa kimakonde akikukatilia unamshitaki kwa balozi na anaitwa kujieleza kwanini kakukatalia wakati ile kitu kapewa bure na anatakiwa kutoa bure.....Mh sijui sijaelewa mada ila poa tu
Tatu wamakonde wana mfaa sana Bishanga coz wataendana
Nne umetumia maneno magumu ya kiufundi lol yemenishinda Zinduna
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom