Wasiwasi ndo akili: Malipo ya dowans yameshafanyika

Hakuna njia ya kimfumo wa kimahakama utakaoweza kuzuia malipo haya. Tulichemka, lzm tulipe. Hata kama El na Ra walituuza kina Sita na Shelukindo wakatuingiza mtaroni. Njia pekee ni JK kupiga udikteta kwamba halipi kitu ambacho hawezi. Hili ni bao tujipange upya. chungu kumeza ila ndo dawa.
 
Back
Top Bottom