Wasira live Arusha maadhimisho ya CCM mkoa

Tatizo Magamba Wameanzisha Jeshi, Hadi Jana mwenyekiti wao alikuwa anaonyeshwa Gwaride la jeshi la Magamba!! Sasa kama tumefikia mahali chama cha siasa kuwa na Jeshi je amani bado Ipo?
Acha utani bana!!!!
 
kwani ukiwa arusha ndo nini?uko sebuleni na mkeo watu wanambandua jikoni huna habari itakuwa kuwepo arusha ..we vipi?
Natamani mimi ndio ningemtupia hii. Anajua sana CCM wameamua kujitoa akili tu
 
cdm tumewazoea atown kwa vurugu na fujo maana wengi ni wavutabange na wahuni
 
Where is the love?
Siasa za hapa nchini zinatujengea chuki.
tunaelekea wapi?
Kikwete na wenzako mnafurahia hii hali???

Fikiria nje ya box sasa.

Nani mpenda fujo na kwanini anafanya hivyo?
je akipewa nchi itaiweza?

 
duh.............. 'nguli wa siasa'

nguli wa kulala bungeni na kukoroma, nasikia amepanda cheo amekua nguli wa kutoa udenda bungeni na tabia ya mtu mnene akilala kinachofuatia baada ya kukoroma muulize ali kiba baada ya kula mayai ya kuchemsha!
 
duh.............. 'nguli wa siasa'

kwahiyo wewe ulitaka ccm watupige sisi tunyamaze hatujafundishwa hivyo, tuliwaytembezea kichapo kama kawaida, na tulikuwa tunataka hayo maazimisho yenu ya kitaifa myalete huku arusha muone moto wake! Kichapo hadi mwenyekiti wenu kingemkuta!

heri ya chadema wanajua kupigana kuliko magamba wanaojua kuiba na kukataa hadharani
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu;Mhe Stephen Masatu Wasira hivi sasa yuko Meru kuhudhuria maadhimisho ya miaka 35 ya Chama Cha Mapinduzi, yanayaofanyika kimkoa mjini Meru, hapa kwenye Mkutano watu ni wengi sana tofauti na ilivyotaegemewa, kivutio kikubwa kimekuwa ni Wasira ambaye amekaribishwa kama mgeni RASMI kuhudhuria sherehe hizi.
Pia ikumbukwe Wasira ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa (CC) hivyo amepewa dhamana ya kuwa MLEZI wa Chama hicho MKOA WA ARUSHA.
Baadhi ya watu waliohudhuria wamesema wamekuja kwawingi kwa kuwa wanaimani na CCM na hasa kipindi hiki kigumu ambacho mbunge wao

Mhe: Sumari amewatoka,Pamoja na hayo wengi wamsema wanavutiwa na hotuba nzuri za nguli huyo wa siasa hapa nchini, na nukuu;
"Mhe.Wasira akitoa hotuba anaelewaka, utafurahi na kuelimika tofauti na viongozi wengine."




Acha kudanganya watu na kujifurahisha ujinga. Ni WASIRA yupi huyo aliyekuwa kwenye maadhimisho Meru wakati mm nimepishana na maandamano ya ccm saa nne asubuhi maeneo ya posta wakielekea upande wa shoprite na wasira akiwepo?

Usipende kukurupuka.

CCM wewe!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom