Wasira live Arusha maadhimisho ya CCM mkoa

Mikoa ya watu makini inaongozwa na chadema. Arusha hawataki ujinga. CCM waende Dodoma, Singida, Lindi na Mtwara ambako watu wake bado hawajajitambua.
 
Wanachama wa CDM wakiwaonesha lama ya V wana CCM, wanapigwa.

Je wanachama wa CCM nao wakiwaonesha alama ya dole gumba wanachama CDM
nao wapigwe?! Iko wapi political tolerance? Mbona CCM bado mna mawzo mgando ya
CHAMA KIMOJA KUSHIKA HATAMU ZA NCHI? This is the era of multi partism someni alama
za nyakati.
 
chugaaaaa!kama mbele hawana masihara hawa,hasa vijana maisha yamewapiga kwelikweli
 
Where is the love?
Siasa za hapa nchini zinatujengea chuki.
tunaelekea wapi?
Kikwete na wenzako mnafurahia hii hali???
 
sasa hivi mnakosea kusema kila anayenyoosha vidole viwili tayari ni mwanachama wa chadema.Mtambue kuwa kuna wasio kuwa na chama na wa vyama vingine wakati mwingine wanafanya hiyo katika kukiunga mkono tu kama namna yakuionyesha ccm kuwa wanachosimamia chadema ni sahihi
 
Sijui lema na vijana wake walilishwa nini na Mungu...miji yote apa tz ingekuwa kama arachuga tungekuwa mbali sana.big up machaliii daresalama stand up!!
 
sasa hivi mnakosea kusema kila anayenyoosha vidole viwili tayari ni mwanachama wa chadema.Mtambue kuwa kuna wasio kuwa na chama na wa vyama vingine wakati mwingine wanafanya hiyo katika kukiunga mkono tu kama namna yakuionyesha ccm kuwa wanachosimamia chadema ni sahihi

hakika umenena vyema.
 
CCM ukiwaonesha V (Vidole viwili) wanakasirika na kukukamata kisa wao wana dola.

Dawa yao moja ni kuwakimbiza, zomea na kupiga. Hii ni mpaka wapate Akili
 
mimi nipo arusha sijaona wala sina haki ya kusema ni uongo.
ngoja nifuatilie kwa machalii wa kilombero nitawaletea ukweli.
 
Tatizo Magamba Wameanzisha Jeshi, Hadi Jana mwenyekiti wao alikuwa anaonyeshwa Gwaride la jeshi la Magamba!! Sasa kama tumefikia mahali chama cha siasa kuwa na Jeshi je amani bado Ipo?
 
Kwa Arusha hii si ajabu, kwa sisi tuliopo huku mazingira kama hayo ni sekunde yoyote yanatokea!..Kuna unreported issues nyingi sana ambazo zinatokea mara kwa mara na zenye mwelekeo wa fujo kati ya vyAMA hivi!
 
Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapo. Habari hizi ni za uzushi mie mwenyewe niko Arusha mbona sikuliona ? Acha kuleta unyunyu humu ndani habari hz ulitakiwa umpelekee mumeo. Na waonyesha ww si mtanzania , angalia red hapo juu.

Kamuulize wasira kilichopata, sisi watu wa Arusha hatuipendi CCM kabisa na malengo yetu kufutilia mbali masalia ya CCM yaliyobaki, hadi kufikia 2015 CCM wasiwe na uwezo hata wa kupata kura elf 2 hapa Arusha! Kama unabisha mbona vyombo vya habari havijatangaza habari maazimisho yenu hapa Arusha?
 
Mimi mwenyewe kuna mtu nlimngóa jino hapo hapo karibu na kona ya MBAUDO, wanatuletea ujinga hapa!!
 
Najua lengo lako ni kutaka kujua wana JF watarect vipi na uzushi huu, mi naweza kukwambia tu NJAA ITAKUUWA.
 
Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapo. Habari hizi ni za uzushi mie mwenyewe niko Arusha mbona sikuliona ? Acha kuleta unyunyu humu ndani habari hz ulitakiwa umpelekee mumeo. Na waonyesha ww si mtanzania , angalia red hapo juu.

Du. Inamaana ukiwa Arusha tu ndio unakuwa maeneo yoooooooooooooote ya Arusha. Ahahahaha
 
Chadema mnajua kupigana! Ni chama cha fujo na kupigana kina wavuta bangi kibao kuanzia Taifa hadi mitaani!
Hongera Chadema lazima kieleweke!

Kwahiyo wewe ulitaka CCM watupige Sisi tunyamaze hatujafundishwa hivyo, tuliwaytembezea kichapo kama kawaida, na tulikuwa tunataka hayo maazimisho yenu ya kitaifa myalete huku Arusha muone moto wake! Kichapo hadi mwenyekiti wenu kingemkuta!
 
Back
Top Bottom