chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 533
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu;Mhe Stephen Masatu Wasira hivi sasa yuko Meru kuhudhuria maadhimisho ya miaka 35 ya Chama Cha Mapinduzi, yanayaofanyika kimkoa mjini Meru, hapa kwenye Mkutano watu ni wengi sana tofauti na ilivyotaegemewa, kivutio kikubwa kimekuwa ni Wasira ambaye amekaribishwa kama mgeni RASMI kuhudhuria sherehe hizi.
Pia ikumbukwe Wasira ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa (CC) hivyo amepewa dhamana ya kuwa MLEZI wa Chama hicho MKOA WA ARUSHA.
Baadhi ya watu waliohudhuria wamesema wamekuja kwawingi kwa kuwa wanaimani na CCM na hasa kipindi hiki kigumu ambacho mbunge wao
Mhe: Sumari amewatoka,Pamoja na hayo wengi wamsema wanavutiwa na hotuba nzuri za nguli huyo wa siasa hapa nchini, na nukuu;
"Mhe.Wasira akitoa hotuba anaelewaka, utafurahi na kuelimika tofauti na viongozi wengine."