Wasira,Cheyo na Mrema wakamatwe na kuhojiwa kwa uchochezi.

Kuna gazeti leo limesema :.. walemavu wasema maandamano yana wasumbua, naamini Cheyo, Mrema, Wassira ndiyo walemavu wenyewe.
 
Ndugu Lukansola naona hapa umechanganya watu wawili tofauti. Mimi niliyekuwa namuongelea ni waziri wa habari wa Serikali ya Saddam Hussein akiitwa jina Ali El Sahaf. Aliwahi kukanusha kwamba majeshi ya USA hayajaingia nchi Iraq wakati nyuma yake tukiona vifaru vya majeshi ya USA vikiwa vimemzunguka.

Kutokana na kukataa ukweli dhahiri basi Wamarekani wakambatiza jina COMICAL ALI. Maana ya Comical ni a laughable person. Wamarekani wakamuahidi baada ya vita wangempatia kazi ya uchekeshaji katika TV moja huko USA. Ndiyo maana hata katika zile deck of card for most wanted people in Iraq yeye hakuwemo. Sina uhakika lakini nasikia sasa hivi ni mchekeshaji ktk TV moja huko US.

Ndiyo maana nikaifananisha CCM na COMICAL ALI. CCM ya sasa is a laughable party, ninafikiri baada 2015 wataitwa nchi moja kwenda huko kuwa wachekeshaji kama Ze Comedy.

Asante Bobuk, afu wewe ni mstaarabu sasa, wangekuwa wengine hapa wangenirushia makombora balaa badala ya kutoa maelekezo mura kama ulivyofanya wewe. nimekutupia na ka-thanks kamoja utakao huko.
 
Hao watu walifulia kisiasa na kiuchumi miaka ya nyuma hasa wasira na mrema..huyu wasira alikuwa jiran yet pale wilaya bunda...alichoka jaman huyu mzee hat baiskel ilikuwa issue..house choka...nw wamepewa hifadhi na mafisadi papa wa ccm..wanasahau kabisa hali tete ya watanzania walio maskin na kuwalinda waliowaweka hapo walipo....in shot wanalipa fadhila kwa kutukandamiza...NINA IMAN SANA NA MATUMIZ YA NGUVU YA UMMA..HAWA WATU HAWAFAI JAMAN ...
 
've never seized to doubt Mrema's sanity. Siku zinavyosonga naona ataishia mtaan kama mtu aliechanganikiwa.
Wassira ata muonekano wake hauonyeshi yeye kama mtu mwenye busara ata kidogo.
Cheyo kafilisika uwezo wa kujengo hoja.
 
Are u sure au umetumwa?
 
've never seized to doubt Mrema's sanity. Siku zinavyosonga naona ataishia mtaan kama mtu aliechanganikiwa.
Wassira ata muonekano wake hauonyeshi yeye kama mtu mwenye busara ata kidogo.
Cheyo kafilisika uwezo wa kujengo hoja.

Kinachoendelea hapa ni kuwaandama watu na safari zao za kisiasa hasa atakae onekana yuko aginst cdm;hao uliowataja wanakuzidi uzoefu;akili na hata baraka kwa mungu wametumikia nhi hii kwa uaminifu na kwa moyo huwezi ku-understmet mchango wao na maendeleo katika historia ya nchi hii katika nyadhifa walizopitia,vijana wa leo tuache dharau na kashfa hiyo sio demokrasia au kwa kuwa statement zao zinakuwa kali kwa wapenda maandamano,sipendi uongo na sipendi ufisadi.
 
Back
Top Bottom