Wasio na vitambulisho marufuku kupiga kura Arumeru-NEC

mtaji wa ccm ni wazee!hivyo kutoandikishwa wapiga kura wapya ni mtaji kwa ccm!ila 2015 wanauhakika wataondoka patupu

Umenena mkuu...tunahitaji hata awamu moja tu ya kuboresha daftari hapo ndo utakuwa mwisho wa gambaz.
 
Kinachotakiwa nchi hii ni machafuko tu kama yaliyotokea Kenya ama Rwanda kwani kuanzia hapo baada ya mazara yatakayojitokeza ndio sheria zitaanza kufuatwa. Vinginevyo tutabaki tunalalamika. Vijana bila kumwaga damu hakuna mabadiliko nchi hii.

Wahi kamwage ya kwako.
 
Tatizo serikali ya magamba bwana haitunzi vitambulisho vyetu! Inani___!! Serikali hii we acha tu. Teh teh teh eeh!!
 
Kama ilivyotarajiwa, visingizio vya kushindwa vimeanza kutafutwa kupitia fomu namba 17.

Pamoja na kutoa povu jiingi kwenye keyboards zenu, IFAHAMIKE TU KWAMBA ARUMERU IMEKULA KWA CDM KAMA ILIVYOKUWA IGUNGA.
 
wanaouza vitambulisho tuwamulike..... Hawa ndo wanaoleta matatizo yote haya na hizi ni ishara wangekuwa na nafasi lazima wangekuwa mafisadi na wao. ACHENI KUUZA VITAMBULISHO WADANGANYIKA.............
 
Kinachotakiwa nchi hii ni machafuko tu kama yaliyotokea Kenya ama Rwanda kwani kuanzia hapo baada ya mazara yatakayojitokeza ndio sheria zitaanza kufuatwa. Vinginevyo tutabaki tunalalamika. Vijana bila kumwaga damu hakuna mabadiliko nchi hii.
Very said kamanda, haki haiombwi, bila machafuko kina Nchemba, Wasira na wengineo wataendelea kudhurumu haki.
 
Sidhani kama CHADEMA inatakiwa kuwa na wasiwasi. Wao focus yao iendelee kuelezea sera na jinsi ya kuwakwamua watu kutoka kwenye dimbwi la matatizo. Sio jambo la ajabu kwa mwana CCM kupigia kura mgombea wa CHADEMA kwa kuona ndiye atakayewasaidia kusukuma gurudumu la maendeleo. Nani ni mwanachama wa chama gani does not hold water here.

Ushauri huu nimeupenda.Unawatia nguvu makamanda walioko mstari wa mbele ws mapambano
 
Back
Top Bottom