Wasiliana na ikulu

Ahsante mkuu lakini sijui kama watasikiliza maoni yetu na kuyafanyia kazi.
 
Nishajaribu mara Jk alipochaguliwa mara ya kwanza na majibu "wewe changia taifa lako achana na sisi" na nimeyaona mwenyewe baada ya miaka mitano jinsi gani hawataki ujue kitu gani Ikulu inafanya kazi.
 
Watu hawachumi zabibu toka katika miiba, wala tini toka katika michongoma. Mti mwema hutoa matunda mema na mti mbaya matunda mabaya! Mti mwema hautoi matunda mabaya na wala mti mbaya hautoi matunda mema (Mt.7:16-18)
 
Wajanja sana katika kuficha uzembe wao, wameanzisha blog badala ya official website ya Ikulu. Wanajua hawawezi ku maintain kitu official official watakua wanachemka kila siku.

Tunataka official website.
 
Kumekucha...si wasome JF watapata mawazo yetu period wasituletee longa longa
 
Back
Top Bottom