Naomba kufahamu CV(wasifu wa Rashid Seif, naibu waziri mpya wa Afya na Ustawi wa jamii.
Ametokea jimbo gani na ana taaluma gani hasa?
Ataumudu mfupa uliomshinda Dr Lucy Nkya?
Kama si Daktari, hatakuwa na Inferiority Complex mbele ya madaktari hivyo kushindwa kuwatendea haki?