Wasifu wa ndani Mh. Catherine Magige na nia yake ya 2015

Status
Not open for further replies.
Huu uzi hapa siyo mahali pake, halafu kuna vitu vingi inaonekana mtoa mada havijui, acha kuzungumza umbea ongea fact, JF siyo sehemu yako rudi kule FB.
 


d29b398a47L.jpg



Na Mwandishi wetu, DODOMA

MBUNGE wa Viti Maalumu, Catherine Magige, amewalilia vijana kwa kuitaka serikali kuwajiri wanaohitimu vyuo vikuu kwenda kutumikia mahakama mbalimbali nchini badala ya kuwaacha wakihangaika mitaani.


Akichangia katika Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria, bungeni Dodoma, jana, Catherine alieleza kwamba vijana wengi wanaohitimu vyuo vikuu kutoka fani ya sheria wamekuwa wakihangaika mitaani na matokeo yake wengine kujiingiza kwenye mambo yasiyofaa.


Alisema ugumu wa maisha wanaokumbana nao baada ya masomo unawafanya baadhi yao kushindwa kumudu gharama za maisha na matokeo yake kujiingiza kukata tama kimaisha.


Hivyo, aliitaka serikali kuweka mpango ambao utakuwa unawajiri moja kwa moja kutokana na kuonekana uhaba mkubwa wa watumishi wa mahakama, hali itakayosaidia wengi wao kupata ajira kuliko ilivyo sasa.


"Ni muhimu serikali kulitazama hili ili kuwasaidia vijana ambao wanajituma kusoma kwa bidii lakini wanapohitimu masomo yao huishia kuzurura mitaani wakitafuta ajira bila afanikio,"alieleza.


Aidha, aliitaka serikali kuhakikisha inapunguza msongamano wa wafungwa magerezani kwa kuharakisha kesi kuliko ilivyo sasa ambapo kuna mlundikao mkubwa wa keshi katika mahakama nchini.


"Kuwekwe utaratibu maalumu wa kushughulikia kesi hizo ili kupunguza mlundikano wa kesi mahakamani, maana watu wanakaa kwa muda mrefu sana magarezani bila kutendewa haki,"alisema.


Aidha, aliwataka wabunge kuacha kuingilia mhimili wa mahakama kwa kuujadili bungeni, kwani kufanyua hivyo ni kuvuka mpika ya bunge na matokeo yake kuingilia mhimili mwingine wa dola.


"Lazima tuheshimu mihimili mingine, vinginevyo tunawezakujikuta tukifanya mambo ambayo hayahusiani na kazi za bunge , kitu ambacho kitaleta picha mbaya ya bunge kuingilia mihimili mingine,"alieleza.


Pia, aliwataka vijana kujitokeza kwa wingi katika kutoa maoni ya mchakato wa katiba, kwani hiyo ndiyo fursa pekee kwa vijana kutambulika katika katiba hiyo kuliko ilivyo sasa.


Alisema kwamba kushindwa kwa vijana kutoa maoni yao katika mchakato huo ni kupoteza fursa adhimu ambayo haitapatikana tena kwa miaka mingi ijayo, hivyo kuwaomba kushiriki kwa wingi katika mchakato huo wa kutoa maoni.

 
sasa issue ni nini hapa? huyu si malaya tu?

Aaah! we vp umuite malaya mh mbunge! hivi hilo dume lenye umri wa miaka 58 linaweza kuibiwa na binti mdogo! kama we ndo mkewe basi kuna mahali umechemka ktk unyumba rudi unyagoni kajifunze!
 
duuuuuuuuuuuuuu sijaonaga wanaume wambea we akosa bahati tulia mzee akamue shenzy weye:israel:
 
Huyo Mheshimiwa ndio naona kuwa ni mheshimiwa pekee wa viti maalum anajituma sana na kujali jamii. Hongera kwa hilo na kachukue jimbo kabisa 2015 kama halima mdee. Kura yangu unapatA
http://issamichuzi.blogspot.com/2013/04/magige-foundation-yatoa-msaada-dodoma.html?m=1
 
Ana mvuto kimapenzi na nadhani ataendelea kuwavutia viti maalum ccm atapata kwani hata makofi bungeni ni mpigaji
 
ana mvuto kimapenzi na nadhani ataendelea kuwavutia viti maalum ccm atapata kwani hata makofi bungeni ni mpigaji

hivi ni lazima neno "mapenzi" kutajwa hapa kila huyu dada akiongelewa? Ni muda watanzania umefika tukaacha majungu na unafiki ili kusonga mbele. Mie nimesema ni mfano wa kuigwa kwa mambo ya kijamii anayofanya sasa kuhusu mapenzi yametoka wapi hapa. That's her personal businness
 
Mh!Ni mdhuri athee,thatha hebu nambie ashaolewaga huyu au niudhe ile nyumba'ngu moja nijitothe.Mhhh!Akae mbali na yule aliyefumaniwa Igunga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom