Wasifu wa Deo Filikunjombe

Deo hata mimi nimemkubali, lakini wasiwasi wangu ni kwamba hawa jamaa wanaweza kum"Mwakyembe"
 
Safi sana mh Deo wala usihofu wakikumwaga ccm hamia cdm,kwani wapiga kura ndio waamuzi kwenye game huko majimboni
 
Dah, nahisi hii ni bonge la coincidence yaani! Mwenye Mahaba ya Dhati na CCM, akachanganya na jina la mtoa mada (Mwana Mpotevu), kisha vile mtoa mada alivyo deep kuhusu Filikunjombe, ...sio siri, mwenye mahaba huyu anaweza shuku kwamba Mwana Mpotevu ndiye Filikunjombe mwenyewe!!

signature yako ni jibu tosha

Kwa wanaomjua Deo tangia akiwa Makerere alikuwa anauwezo mzuri wa kushawishi.japo alisoma kwa shida sana aliwahi kumrubuni dogo mmoja ampe ada yake atamrudishia baada ya muda mfupi hamkurudishia ikapelekea dogo huyo kufukuzwa kwa kukosa ada alirudi Tanzania na akafanya hivyo tena kwa mwanafunzi mwingine toka tanzania hadi akamaliza Makerere mpaka leo pamoja na kuwa tajiri hajawahi kuwarudishia hela zao hao jamaa wala kuwaomba msamaha.sina imani na uzalendo alionao sasa kuna kitu anatafuta kwa msio mjua.
 
Huyu jamaa nijasiri sana alimlipua Mbunge mstaafu mbele ya wananchi wakati wa kura za maoni. Waliokuwepo siku iyo wanaweza wakasema vizuri, kifupi Prof.
Mwalyosi aliishiwa nguvu hakuamini macho yako kwani ilikuwa kama sinema.
Mhe, Filikunjombe alimchana live bila chenga na kuwaambia wananchi yuko tayari kufa lakini awe amesema ukweli. Akasema " Sisi wananchi wa Ludewa tunakosa maendeleo kwasababu ya viongozi wabinafsi, Mhe, Prof. Mwalyosi mbunge wetu amehongwa gari na mwekezaji na ndio analolitumia saivi kadi hiii hapa inaonyesha gari la subash pamoja na picha hizi hapa. Wananchi tunakufa kwa kukosa ambulance na hili gari lingeweza kusaidia wagonjwa lakini kwa ubinafsi wa mbunge wetu ameamua kulitumia mwenyewe'' Kifupi jamaa akiwa na hakika ya kile anachosema huwa hana wasiwasi.
Big up Mhe, Filikunjombe Mungu akulinde salama ktk safari hii kwani maadui ni wengi sasa.
 
mkuu nilikuwa sijui kama ilikuwa hivi wakati wa kura za maoni, ndio maana basi jimboni kwake alipita bila kupingwa huyu maana nakumbuka hakuwa na mpinzani
 
Hana muda mrefu magamba watamletea mizengwe.

Deo kama kweli unalipa kodi kwa biashara zako kwanini unaogopa kuungana na wanaharakati?
 
Kinachofuatia kumzima Deo Filikunjombe kama inashindikana kwa njia nyingine basi ni kumpa uwaziri ili ashike adabu, lakini Deo be careful, angalia Mwakiembe.
 
Hana muda mrefu magamba watamletea mizengwe.

Deo kama kweli unalipa kodi kwa biashara zako kwanini unaogopa kuungana na wanaharakati?

mie nahisi kwa mambo yalivyo sasa huyu jamaa hata kama analipa kodi lakini abaki ccm, vita inanoga maana adui anakuwa anachapwa kotekote na ndipo anazidi kudhoofika. akihamia CDM atadhoofisha ngovu ya wapiganaji wanao-fight ndani ya nyuma kuhakikisha inabomoka
 
Kinachofuatia kumzima Deo Filikunjombe kama inashindikana kwa njia nyingine basi ni kumpa uwaziri ili ashike adabu, lakini Deo be careful, angalia Mwakiembe.

anaweza akawa waziri kama sitta ama magufuli ambao hawaonii tabu kutofautiana na mabosi wao pale kunapokuwa na ukweli na uhakika wa wanachosimamia
 
Back
Top Bottom